Pinned Tweet
Ukipata nafasi ya kumtia neno lolote Mwanaume la kumpa moyo, aman na nguvu ya kuendelea kusonga mbele we fanya hivo.... Hii dunia haina huruma na wanaume.
Sku hizi biashara nyingi zinazotangazwa ma wadada lazima ageuke shape ionekane mapaja nyonyo.. na haijalishi iwe biashara ya chupi twendee.. biashara ya vitanda twendee.. kukopesha magari geukaa twendee.
What happened mbona mitandao inatisha.. Ukiscoll reels 5 basi 3 za ajabu.
9
Kirombo retweeted
Na Degree yangu, nimeamka kuchunga ng'ombe 📌
Huku kijinini wameanza kunidharau wanaona kama nilifeli chuo.
Ety nakuaje kijinini baada ya kuwa maofisini
Wachana na kushika Fagio waoshe pants zao wenyewe, watandike kitanda, waoshe vyombo... This kizazi tunawaendekeza sana.... Kipengele kidogo tu utaskia Dada Fanya hivo Fanya vile aaahg Qmmk
Kama mtoto wako anaweza kutumia simu, tablet na kucheza game bila shida, basi ana uwezo wa kushika ufagio, dekio na kuosha vyombo.
7
Kwa bahati mbaya zaidi asilimia kubwa ya Wazazi Maskini huzaa watoto kama mradi wao wakiamini watakuja kusaidiwa na watoto wao, huu ni UPUMBAVU.
Ni mwendelezo wa UMASKINI tu kuamini Kwamba UKIOA au ukipata watoto ndo utaanza kufanikiwa au eti ndo milango ya mafanikio itafunguka.
Mbona hii nchi ingekua na MATAJIRI WENGI SANA kama formula ndo iyo.
1
11
Kirombo retweeted
Ukipata nafasi ya kumtia neno lolote Mwanaume la kumpa moyo, aman na nguvu ya kuendelea kusonga mbele we fanya hivo.... Hii dunia haina huruma na wanaume.
Hii ni kubwa kuliko binafsi na wish Nifanye adventure before this year ends... Huu mwaka umekuja na Mambo mengi + na - sana I have to take my Medulla somewhere to heal it a little.
Juzi kati Nimeumwa na jipu la Kujirudia nimeenda zahanati Moja hapa DSM wameniandkia dawa na kunifanyia upasuaji maana lilijirudia na Cha anabu wakati naondka nesi mmoja akanishauri nikacheki Afya yangu kwenye Tent Nje na Majengo yak nkasema hii kubwa.Kwenda kumbe ni HIV Testing
2
23
Tatizo si kutukanwa th problem is being told truth that hurts while ended up just like Twaha, Mdude, Nchimbi, Pole2× and more others... Then the responsible authorities kept quiet not Helding accountable the respective individuals.
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Patrobas Katambi amewakumbusha Wananchi kutumia Mitandao ya Kijamii kwa uwajibikaji na kuacha kusambaza taarifa za uchochezi, matusi, picha za utupu pamoja na taarifa za uongo zinazokiuka maadili na Sheria za Nchi.
Akizungumza na Wananchi wa Madangwa Halmashauri ya Mtama Mkoani Lindi, wakati wa ziara ya Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Deogratius Ndejembi amesisitiza kuwa kila mtumiaji wa mitandao ya kijamii anapaswa kuwa makini na maudhui anayoyapokea na kuyasambaza.
Aidha, ametoa onyo kwa wote watakaohusika na kusambaza maudhui yanayokiuka maadili na sheria, ikiwemo matusi dhidi ya Viongozi, picha za utupu, lugha za matusi na taarifa za uongo.
Ameongeza kuwa maendeleo ya Taifa yanategemea uwepo wa amani, utulivu na usalama, akisisitiza kuwa bila misingi hiyo, juhudi za kuleta maendeleo haziwezi kufanikiwa.
#MillardAyoUPDATES
5
Kuna Time Pia ukiona Mambo yanakataa not going as planned.... Jaribu Ku abstain from sex, Social Media, trying to please or prove to anyone for at least 3-6 months then comeback with Another energy ✊
Kama unataka umaskini ukuzoee kupita kiasi basi wekeza kwenye mahusiano ya mapenzi na wanawake wengi
8















