Chama cha Mawakala wa Forodha Tanzania (TAFFA), kwa kushirikiana na Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), kinawafahamisha wadau wa biashara, waagizaji, wasafirishaji wa mizigo na umma kwa ujumla kuwa kuanzia tarehe 1 Agosti 2026 utaanza kutumika Mfumo wa Kielektroniki
Chama cha Mawakala wa Forodha Tanzania (TAFFA), kwa kushirikiana na Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), kinawafahamisha wadau wa biashara, waagizaji, wasafirishaji wa mizigo na umma kwa ujumla kuwa kuanzia tarehe 1 Agosti 2026
Mfumo huo umeunganishwa na Mfumo wa Forodha wa TANESW na utatumika kusimamia mizigo yote ya uingizaji nchini (imports), usafirishaji wa bidhaa kwenda nje ya nchi (exports), pamoja na mizigo ya transit inayopita Tanzania Bara kuelekea nchi jirani.
Mkurugenzi Mtendaji wa Bodi ya Usimamizi wa Stakabadhi za Ghala (WRRB), Bw. Asangye Bangu amesema warsha hiyo ni kujadiliana na kuja na mwarobaini ya changamoto zao pamoja na kuzitatua kuelekea dira ya 2050.
CHAMA cha Wataalamu wa Milki Tanzania (AREPTA), kimeiomba serikali kuharakisha mchakato wa upatikanaji wa sheria ya udhibiti wa sekta ya milki kuu ili kukabiliana na changamoto zinazosababishwa na madalali wasiokuwa wataalamu.
Akizungumza katika Mkutano Mkuu wa mwaka 2026 uliobeba
kaulimbiu ;Crowd Funding for Real Estate Investment: A Strategic Approach to Achieving Tanzania Vision 2050' leo jijini Dodoma , Rais wa AREPTA, Boniphace Yumba, amesema sekta ya milki imeendelea kukumbwa na migogoro
Kupitia ukurasa wake wa mtandao wa kijamii wa X (zamani Twitter), mwanasiasa na msomi wa masuala ya maendeleo, Mkurugenzi wa Kituo cha Ubia kati ya Sekta ya Umma na Binafsi (PPPC), David Kafulila, ametoa ujumbe maalum wa maadhimisho ya Siku ya Mama Duniani akisisitiza umuhimua
Amesema malezi na uwekezaji sahihi katika kipindi hicho vinaweza kusaidia kupunguza changamoto ya udumavu wa akili kwa watoto, ambayo bado ni tatizo kubwa barani Afrika. Akinukuu tafiti za World Bank, Kafulila amesema uwekezaji sahihi kwa watoto wa Afrika katika siku 1,000 za
Serikali Yatatua Changamoto ya Wafanyabiashara Kariakoo bongo5.com/serikali-yatatua-…
Mbunge wa Jimbo la Musoma Mjini, Mheshimiwa Mgore Miraji Kigera, ameadhimisha sikukuu ya Eid Al Fitri kwa kugusa maisha ya watoto yatima zaidi ya 120 kwa kuwakaribisha katika hafla ya chai ya asubuhi mara baada ya Swala ya Eid.
Mchungaji wa Usharika wa Kijitonyama Dk. Eliano Kimaro amesema serikali yoyote duniani haiwezi kuajira wahitimu wote katika nchi husika lazima kuwe na miradi ya familia ambayo itaweza kujiajiri na kuajiri.



