CHEBOI JACOB 🇰🇪 retweeted
Karibisho la Ibada
Mungu ametuingiza kwa mwezi wa baraka na wa kuzalisha, nawe salimia na ukaribishe kanisa lako, mchungaji wako kwa mwezi huu.
@EvahMwalili
#Nuru47Jumapili #HapaNdipo #Radio47
CHEBOI JACOB 🇰🇪 retweeted
Bwana Yesu apewe sifa! Umeamkaje Mwana Ligi? Karibu kwenye ibada ya uncompromised, undiluted gospel ndani ya #Nuru47Jumapili, tubarikiwe pamoja. Unapata nuru ukiwa wapi?
Watch us live: radio47.fm
Join WhatsApp channel: rb.gy/iwp64y
WhatsApp No: 0719 739487
X: @radio47_Kenya: x.com/Radio47_Kenya
Facebook: igit.me/lMsI3
TikTok: igit.me/wHdwb
Instagram: igit.me/x07C7
Filikita Jillo
#Nuru47Jumapili #HapaNdipo
CHEBOI JACOB 🇰🇪 retweeted
#NENO
1 Petero 5:8
Kaeni macho. Kesheni, maana adui yenu Ibilisi, huzunguka- zunguka akinguruma kama simba, akitafuta mtu atakayemmeza.
Filikita Jillo
#Nuru47 #HapaNdipo
CHEBOI JACOB 🇰🇪 retweeted
Wiki mpya inaanza vizuri zaidi ukiwa ndani ya #Nuru47 pamoja na @FilikitaJillo . Karibu tupokee baraka za wiki mpya.
Watch us live: radio47.fm
Join WhatsApp channel: rb.gy/iwp64y
WhatsApp No: 0719 739487
X: @radio47_Kenya: x.com/Radio47_Kenya
Facebook: igit.me/lMsI3
TikTok: igit.me/wHdwb
Instagram: igit.me/x07C7
#HapaNdipo #Nuru47
CHEBOI JACOB 🇰🇪 retweeted
Happy Furahiday! 🥳 Wiki tunaihitimisha kwa vibes, vicheko na burudani non-stop ndani ya show kubwa zaidi na @CaptMwashumbe, @Alex_Mwakideu na @djimmokenya🔥
Unabambika na show ukiwa wapi? 📻🎉
Watch us live: radio47.fm
Join WhatsApp channel: rb.gy/iwp64y
WhatsApp No: 0719 739487
X: @radio47_Kenya: x.com/Radio47_Kenya
Facebook: igit.me/lMsI3
TikTok: igit.me/wHdwb
Instagram: igit.me/x07C7
#MwashumbeNaMwakideu #Radio47FunFriday #HapaNdipo
CHEBOI JACOB 🇰🇪 retweeted
Dondoo Magazetini: "ODM itaendea urais 2027" Winnie Odinga
Tangazo la Winnie Odinga linajiri majuma kadhaa baada ya baadhi wa viongozi wa ODM kusema hawatakubali kiti chochote chini ya naibu rais katika ushirikiano wao na UDA katika uchaguzi mkuu 2027.
#MwashumbeNaMwakideu #HapaNdipo
CHEBOI JACOB 🇰🇪 retweeted
Karibisho la Ibada...
Unashiriki service wapi? Salimia church yako hewani kisha tutambue walimu wa teens, jamani Mungu awape hekima zaidi ya kuelekeza hawa watoto. Amina! @EvahMwalili @Radio47_Kenya #nuru47jumapili
#nuru47jumapili
CHEBOI JACOB 🇰🇪 retweeted
Bwana Yesu asifiwe Mwana Ligi, kwema? Umeamkaje? Tuingie church, Karibu sana 🤗, uko area gani? Uncompromised, undiluted gospel ndio hii, hapa ndipo! @EvahMwalili @Radio47_Kenya #nuru47jumapili
#nuru47jumapili
CHEBOI JACOB 🇰🇪 retweeted
Hallo hallo, kwema? Bwana Yesu asifiwe Mwana Ligi! Karibu sana church, ni mwisho wa mwezi, Jumapili ya mwisho ya Novemba na tunafunga mwezi vyema! Pokea nuru uncompromised, undiluted, hapa ndipo! @EvahMwalili @Radio47_Kenya #Nuru47Jumapili
#Nuru47Jumapili
CHEBOI JACOB 🇰🇪 retweeted
Dondoo Magazetini:
Kinara mpya wa ODM asuka kikosi thabiti cha kumsaidia kukabiliana na uasi chamani. Je, unadhani ni kina nani?
Watch us live: radio47.fm
Join WhatsApp channel: rb.gy/iwp64y
WhatsApp No: 0719 739487
#MwashumbeNaMwakideu #HapaNdipo
CHEBOI JACOB 🇰🇪 retweeted
Wagwan wadau❤️🔥 How are you this beautiful morning and where are you listening us from
#CaptainMwashumbe #MwashumbeNaMwakideu
CHEBOI JACOB 🇰🇪 retweeted
Hallo hallo 👋👋 kwema? Umeamka? Karibu tukamilishe Septemba, kilicho chako hakitacheleweshwa, kipakate sasa! Pokea nuru this Declaration Tuesday, hapa ndipo! @EvahMwalili @Radio47_Kenya #NuruNaEvahMwalili
#NuruNaEvahMwalili
CHEBOI JACOB 🇰🇪 retweeted
Ombi langu Bwana wangu pekee sitaweza uwepo wako Bwana uwe nami. Good morning. @AlkaMbumba @EvahMwalili @Radio47_Kenya #NuruNaEvahMwalili
#NuruNaEvahMwalili
CHEBOI JACOB 🇰🇪 retweeted
Yesu apewe sifa sana, umeamkaje? Karibu kwa Jumapili ya mwisho ya Septemba, ibada imeanza, ni uncompromised undiluted gospel, uko tayari? Hapa ndipo! @EvahMwalili @Radio47_Kenya #Nuru47Jumapili
#Nuru47Jumapili
CHEBOI JACOB 🇰🇪 retweeted
Welcome to Himizo Friday, uko tayari kupokea nuru uncompromised? Uko area gani? Good morning 🌞. Hapa ndipo!! @EvahMwalili @Radio47_Kenya #NuruNaEvahMwalili
#NuruNaEvahMwalili
CHEBOI JACOB 🇰🇪 retweeted
It's #TBT ndani ya the biggest Breakfast show with the Big Boyz of Radio @CaptMwashumbe and @Alex_Mwakideu. Hebu tukumbushane games tulikuwa tukicheza zamani.
#MwashumbeNaMwakideu #HapaNdipo
CHEBOI JACOB 🇰🇪 retweeted
Karibu ndani ya Ebenezer Thursday na @EvahMwalili tujikumbushe kule Bwana ametutoa.
#NuruNaEvahMwalili





























