HUGO (@deohugo) header
HUGO (@deohugo) profile picture

Customer Experience Expert | Project Management | iFresh Beard & Hair Care Products

Tanzania
Joined December 2010
Photo by HUGO (@deohugo)Photo by HUGO (@deohugo)Photo by HUGO (@deohugo)Photo by HUGO (@deohugo)Photo by HUGO (@deohugo)Photo by HUGO (@deohugo)Photo by HUGO (@deohugo)
Suala la kilimo cha vitunguu Iringa liliishia wapi, wakuu? Nakumbuka kuna vijana walikuwa na hamasa kubwa sana kuhusu hii project. 😀
2
148
Biashara 4 ambazo haziwezi kufa kirahisi ukiwa serious: 1. Elimisha – Elimu na maarifa rika zote. 2. Tibisha – Afya ya binadamu, wanyama na mimea. 3. Lisha – Kilimo na uzalishaji wa chakula. 4. Makazi – Makazi na huduma za nyumba. Ipi nyingine? 🤔
211
Bila kutaja kazi yako, comment kwa kutumia maneno unayoyazungumza mara kwa mara kazini, halafu waache wataalamu wakutajie unafanya kazi gani! 😄
12
1
6
15
3,505
Kama huyu anatizama hapo..umpate mchemsho na pilipiliiii
Iwe ya kuchemsha unywe supu au kukaanga ule makange?👀
1
1
256
Mfanyabiashara, mtende mteja wako kama mfalme! Mheshimu, mhudumie kwa ubora na timiza ahadi zako. Kumbuka, mteja akiridhika, anarudi; akithaminiwa, anakutangaza! 🤝
2
3
1,442
Hizi foleni sasa si usumbufu, na ni adhabu kabisa! Unapoteza muda, nguvu ya akili na amani ya moyo barabarani. 😩🚗
5
181
HUGO retweeted
#BeardCookies - FRESH ALL WEEK! Healthy, soft & well-groomed beard with iFresh Beard Growth Oil! 💧 📲 Order: 0758 555 551 🚚 Mikoani tunatuma! #iFreshBeard #Beards #NdevuZinaRahaYake #viral
6
5
118
#BeardCookies - FRESH ALL WEEK! Healthy, soft & well-groomed beard with iFresh Beard Growth Oil! 💧 📲 Order: 0758 555 551 🚚 Mikoani tunatuma! #iFreshBeard #Beards #NdevuZinaRahaYake #viral
6
5
118
Simba 🔥
1
78
Weekend 🔥
104
Game za Simba SC zinastahili kuingia kwenye PS5! Mashabiki tupate nafasi ya kucheza na timu yetu pendwa, Simba dhidi ya Yanga na timu nyingine za Afrika. Hii itakuwa hatua kubwa kwa soka la Tanzania! 🦁🇹🇿 #SimbaSC #PS5 #TanzaniaFootball
1
5
178
Engineer yeye hana neno?
190
Ukisikiliza hii kwenye JBL 🔥
1
1
11
565
Sunday brain teaser
1
3
137
Ukitumia Android kama Samsung, unaweza usitamani kurudi tena kwenye iPhone! 😎🔥
3
2
1
40
3,520
Beard Cookies 🍪😋 - Serving Fresh All Weekend Long! 🫡🔥 📞 0758555551
4
7
312
Asali tupu
3
51
3,189
Simba ana uwezo wa kumfunga Chelsea akikaa vibaya
1
2
1
3
1,287
Yanga Dodo wameokota
164