Hon.Ambassador Dr. Pindi Chana (@dr_pindi) header
Hon.Ambassador Dr. Pindi Chana (@dr_pindi) profile picture

Hon. Ambassador Dr. Pindi Chana is the Minister for Natural Resources and Tourism 🇹🇿🇹🇿

Dodoma, Tanzania
Joined October 2022
Photo by Hon.Ambassador Dr. Pindi Chana (@dr_pindi)Photo by Hon.Ambassador Dr. Pindi Chana (@dr_pindi)Photo by Hon.Ambassador Dr. Pindi Chana (@dr_pindi)Photo by Hon.Ambassador Dr. Pindi Chana (@dr_pindi)Photo by Hon.Ambassador Dr. Pindi Chana (@dr_pindi)Photo by Hon.Ambassador Dr. Pindi Chana (@dr_pindi)Photo by Hon.Ambassador Dr. Pindi Chana (@dr_pindi)Photo by Hon.Ambassador Dr. Pindi Chana (@dr_pindi)Photo by Hon.Ambassador Dr. Pindi Chana (@dr_pindi)Photo by Hon.Ambassador Dr. Pindi Chana (@dr_pindi)
Desemba 4,2025 nilishiriki katika Jukwaa la Wanawake 2025 lililofanyika katika Kituo cha Mikutano cha Jakaya Kikwete (JKCC) jijini Dodoma.
1
3
86
Leo Septemba 22, 2025 nimeshiriki katika mkutano wa hadhara wa Mgombea mwenza wa Kiti cha Urais kwa tiketi ya CCM, Dkt Emmanuel Nchimbi Wilayani Ludewa Mkoani Njombe.
1
5
286
Leo Septemba 18, 2025 nikiwa kwenye kampeni za Uchaguzi Mkuu kutafuta kura za Mgombea urais kwa Tiketi ya CCM, Mhe.Dkt Samia Suluhu Hassan Mkoani Iringa Mtaa wa Kihesa Kilolo.
1
3
157
Mheshimiwa Balozi Dkt. Pindi Chana akiwa katika harakati za kuzisaka kura za CCM chocho kwa chocho, mtaa kwa mtaa Mkoani Njombe leo Septemba 20 2025.
1
1
313
Jana Septemba 19, 2025 nimetembelea shule za msingi Kambarage na Deo Mwanyika zilizopo Halmashauri ya Mji wa Njombe na kuwazawadia wanafunzi waliofanya vizuri katika masomo yao kama motisha ya kuendelea kusonga mbele kielimu.
2
7
360
Nikiwa na Mheshimiwa Festo Sanga na viongozi wengine katika harakati za kutafuta kura za Mgombea urais kwa tiketi ya CCM, Mhe.Dkt.Samia Suluhu Hassan ikiwa ni kampeni za Uchaguzi Mkuu Wilayani Makete Mkoani Njombe leo Septemba 19,2025.
2
1
7
227
Leo Agosti 9, 2025 nimeelekeza Jeshi la Uhifadhi (JU) na Jeshi la Polisi (PT) kuendelea kushirikiana katika utatuzi wa changamoto zinazoikabili Sekta ya Maliasili na Utalii ikiwemo matukio ya ujangili na utoroshaji wa nyara za Serikali.
2
2
6
305
Leo Juni 9,2025 nimeshiriki katika mapokezi ya Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Kassim Majaliwa alipowasili katika Uwanja wa Ndege wa Nduli, Mkoani Iringa kwa ajili ya kufungua rasmi Mashindano ya UMITASHUMTA na UMISSETA Mkoani humo.
2
4
163
Leo tarehe 4 Agosti, 2025 nimetembelea Maonesho ya Nanenane yanayoendelea kwenye viwanja vya Nanenane Nzuguni jijini Dodoma ambapo nimesisitiza wananchi kutembelea kwenye maonesho hayo ili kupata elimu ya uzalishaji wa mazao na kujifunza utalii wa vyakula.
2
3
112
Leo Wizara ya Maliasili na Utalii imezindua Mkakati wa Taifa wa Usimamizi na Uendelezaji wa Mikoko 2025–2035, ikiwa ni hatua madhubuti ya kulinda, kurejesha na kutumia kwa tija rasilimali hiyo muhimu ya mazingira, ambapo zaidi ya Sh bilioni 54 zimetengwa kwa ajili ya utekelezaji
1
1
59
Usiku wa Juni 28,2025 nimekuwa mgeni rasmi katika hafla ya utoaji tuzo za 32 za kimataifa kanda ya Afrika na Bahari ya Hindi ambapo pamoja na kutwaa tuzo lukuki, Tanzania imetangazwa kuwa mshindi wa tuzo ya kuwa kivutio bora Afrika Jijini Dar es Salaam.
1
1
71
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe.Dkt.Samia Suluhu Hassan katika picha ya pamoja na Mawaziri mara baada ya kikao cha mwisho cha Baraza la Mawaziri cha Serikali ya Awamu ya Sita kilichofanyika Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma leo Julai 14, 2025.
1
1
54
Leo Julai 14, 2025 nimepokea na kukabidhi vifaa vya kisasa vya kusaidia kupambana na kudhibiti ujangili na kukabiliana na wanyamapori wakali na waharibifu kutoka kwa Shirika la Maendeleo la Umoja wa Mataifa (UNDP) kupitia Mradi wa Kupambana na Ujangili na Biashara haramu wa (IWT)
1
1
41