
A media personality & MC @mcambua East African | From Dar es salaam, Tanzania
Joined May 2013
- Tweets892
- Following137
- Followers8.8K
- Likes52
Dullah Planet retweeted
Kwa baraka zote kutoka kwa Rais wa @CrownMediaTZ amemkabidhi taji la ushindi wa kujiunga kwenye Familia ya kifamle. Bingwa kabisa, uzoefu wa kutosha, kiswahili safi, aliyeibeba Bongo Fleva mabegani kwa miaka 15 @dullah_planet planet kwa pamoja tumkaribishe FUNDI NYUMBANI.
😂 WALIKUWEPO PIA….
#ndoampyatown
ABDULRAZAQ & SALMA💕 instagram.com/p/CmllPCKNeAF/…
WALIKUWEPO PIA🔥
Mtag unayemjua….
#ndoampyatown
ABDULRAZAQ & SALMA💕 instagram.com/p/CmllAdbNFga/…
Kuchi Kuchi Hotahe😀👌🏽
#ndoampyatown
ABDULRAZAQ & SALMA💕 instagram.com/p/CmlkrLnNsA9/…
#ndoampyatown
Mwamba Huyu Hapa👌🏽
ABDULRAZAQ & SALMA💕
Umejipata kaka👊🏽
Dj: @djgweta_tz
Venue : @gmelegancehall
📸 : @mtakigamba
#McAmbua🎤 instagram.com/p/CmljuhXtCVx/…
KAMA KULIKUWA NA UMUHIMU WA KUWA NA MC WATATU BASI WANGEPANGWA VIZURI ILI KILA MTU AFANYE KAZI YAKE KWA UHURU NA UFANISI….
HONGERA WANANCHI🔥
Wengine wanavua hadi nguo mradi apate ka clip watu wanampigia makelele, apost IG ajifurahishe. But not anything to improve perfomance" - Director Hanscana.
Wewe ni kipi huwa kinakuboa kwenye shows za wasanii wetu wa Bongofleva?
Kwa mujibu wa Insta story ya Hanscana ameandika;
"Kuna tofauti kubwa kati ya show nzuri na shangwe. Wengi mna-show mbaya mmmmmno kila anayepanda analilia shangwe anasahau performance yani atafanya vyovyote apate shangwe.
Director nguli wa Video za muziki wa Bongofleva nchini, Hanscana amewachana wasanii wa muziki huo wanaowaza kupata shangwe jukwani na sio kufanya show nzuri na kuongeza kuwa kuna utofauti mkubwa kati ya shangwe na performance nzuri.
6. Sierra Leone, alama 50
7. Botswana, alama 48
8. Gambia, alama 45
9. Ghana, alama 40
10. Mauritius, alama 28
Kipimo cha Amani Duniani, Global Peace Index (GPI) kimetaja nchi 10 zenye amani zaidi mwaka 2022, Kusini mwa Jangwa la Sahara.
Nchi hizo ni;
1. Senegal, alama 70
2. Namibia, alama 68
3. Malawi, alama 65
4. Guinea ya Ikweta, alama 59
5. Zambia, alama 56



