WAHEHE & WASWAHILI, naombeni ushauri wenu, Hili Tangazo Litakaa AIRPORT YA IRINGA NDULI, Je Niweke La A au B?
NAPOKEA MAONI🙏
🪄 Mimi Ndo Fimbo Kuu Ya WASOMI, kuteseka mmeumbiwa daima na hamtakaa MJE kuona Furaha katika maisha yenu
Nashukuru Mungu Sina Bachelor Degree Yoyote Hapa Maishani, Huenda Ningekuwa Mpumbavu Kama Walivyo Wasomi Wengi Katika Africa Yetu, Walichobarikiwa Ni Kulia Lia, Kumiliki Vitu Visivyo Na Maana Ili Waonekane Wana Hela, Kujifanya Wanyamwezi Kwa Kuvaa Midosho & Mitumba🤝
" Kukataa Ukweli Mchungu Wa Maisha Imepelekea Vijana Wengi Wasomi Kuendelea Kuwa Maskini Wa Kudumu Maishani, Kulaumu Mfumo Na Serikali Kumezidi Kuwaweka Nyuma Kimaendeleo"
Exclusive Interview Na Mr Teodous Chakwe-Mkurugenzi Wa Shule Za St.Theophilo Rpt Schools
"KUWA NA DEGREE NA KUTARAJIA UWE TAJIRI DEGREE,NI SAWA KUWA NA PILIPLI MKONONI THEN UJIKUNE MACHONI LAZIMA UWASHWE"
•Mtaala wa elimu naweza kubali haupo sawa sana,lakini je msomi kuliona Hilo kama tatizo ulifanyeje? Au ndo ulianza kuilaumu serikali & wazazi kwa ujinga wako?
Tazama hii Video 2020,wakati naanzisha biashara ya Food Delivery & Smart Wash,hii ndo ilikua Promo Video,wakati huo Niliosoma Nao Degree in HISTORY,wanakesha na vitabu na modules za chuhila,halafu Leo wanalialia kama vibwengo!
VIJANA WASOMI,kama huna ajira & una hustle Kuondokana na umaskini,personally nitamchangia 20k kijana mmoja Kila wiki kwa ajili ya Nauli imboost kusambaza CV yake,pia Msomi yoyote Nitampa connection kupitia CV yake Aajiriwe,Na pia Nitatengeneza Fundraiser kuwaboost Mtaji! hapo Je?
"building my own business has taught me a lot of things,basic one is don't trust anyone,also respect the customers"
Mimi na Mkurugenzi Mkuu wa shule ya St.Theophilo School (Afande M Esther) Tumeingia Makubaliano Ya Kibiashara Kupitia MUSINGI ENTERPRISES na pia ushirikiano katika sekta mbalimbali,Na Kwa Hakika Mkataba huu utaleta Matokeo Chanya Kwa Pande Zote Mbili!
It was a Great Honour meeting with my Brother & Inspiration in Business Matters @Sirjeff_D,What I learnt from this Brother is Never Give Up even if You see no light ahead of you just keep going,it is Allowed to rest but not to Quit!




















