ᥱ01 retweeted
Kwenye kutafuta haya matunda wengi tushashuka toka juu kwa mwendo usiofurahisha na kuacha makovu ya maisha! 😁.
ᥱ01 retweeted
Huyu jamaa amenitoa MACHOZI.
Katumia lugha nyepesi sana kuelewesha watu. Usipomuelewa huyu jamaa basi.
REPOST 200
ᥱ01 retweeted
X wajuaji ,eti mwanaume akikwambia take care maana yake ni nini ?😂😂😂Kuna vitu sielewi aisee
ᥱ01 retweeted
Android yangu natoka Tiktok naingia WhatsApp but bado video ya Tiktok inacheza kwa background
ᥱ01 retweeted
wewe jiulize tu, maisha yao yatakuwaje bila wewe!!..
kisha utagundua, watakula, wataenjoy na kuishi as if hukuwahi kuwepo, hivyo jipende, jijali na kufurahia maisha yako,..
ᥱ01 retweeted
Kudate mkaka wa miaka 30+ inabidi ujipange na ufunge mkanda wa ujasiri🙌 those uncles wako na hasira muda wote🥹💔
ᥱ01 retweeted
Madeleka anauliza swali la muhimu sana hapa.
Tuiamini tume huru ya uchaguzi (wakina MWAMBEGELE) au MAHAKAMA iliyoamuru Lissu afungwe Jela?
ᥱ01 retweeted
Mzee wetu Mhe @TunduALissu kila moment yake hua inafurahisha,
Ni mzee ambae muda wote yupo happy Mwenyezi Mungu amlinde sana na kumpa moyo wa kuto kukata tamaa🙏
ᥱ01 retweeted
UJUMBE WA MUHIMU SANA HUU KWA WANACHADEMA KIPINDI HIKI.
ASANTE MAKAMU @HecheJohn
REPOST 200
ᥱ01 retweeted
Askofu Bagonza wa Kanisa la KKKT, Dayosisi ya Karagwe, aliyasema hayo Novemba 16, 2026, wakati akizungumza na kituo cha Wino Tanzania kuhusu taarifa za kutishiwa kuuawa, kupotezwa baada ya kutoa maoni yake.
Nini maoni yako?
Fuatilia zaidi jamii.app/BagonzaVitisho
#JamiiForums #Uwajibikaji #HakiZaBinadamu















