I have just mined 24 $USDS on @swapfone! π₯
Mine $USDS directly from your phone at swapfone.org
π Download Swapfone: swapfone.org
Start mining NOW! βοΈ
10
SASA KITU ALIKIPATIA MUNGU YA NINI KUNYIMANA.. TUNYIMANE HELA TUNAZOTAFUTA KWA JASHO, ILA SIO TULIVOPEWA NA MUNGU
88
SABABU 10 ZINAZOWEZA KUMFANYA MTU ASIWEZE KULALA KWA MUDA NI... π§΅π§΅π§΅
1. Msongo wa mawazo (Stress) β Watu wengi hushindwa kulala wanapokuwa na mawazo mengi au matatizo.
2. Hofu au wasiwasi (Anxiety) β Wasiwasi kuhusu maisha au hali fulani inaweza kuzuia usingizi.
1
119
7. Kubadilika kwa muda wa saa ya mwili β Kufanya kazi za zamu au kusafiri katika maeneo yenye tofauti ya wakati kunaweza kuvuruga ratiba ya usingizi.
8. Kula chakula kizito usiku β Kula kabla ya kulala kunaweza kuleta kiungulia au usumbufu wa tumbo unaozuia usingizi.
1
39
C.H.I.Z.I K.I.C.H.I.Z.I retweeted
Mambo ni mengi muda mchache π
leo natoa ofa wazee ila kuna challenge kidogo hapa lazima ipate washindi
SWALI:
1. Mchezaji gani atafunga goli la kwanza?
mchezo wa ligi ya mabingwa barani afrika CBE ya Ethiopia v Yanga SC ya Tanzania? nani kuibuka kidedea leo ππ
Share utabiri wako hapa kwa washindi watakaopatia watapata shilingi elfu ishirini na tano (25,000) Vigezo na masharti kuzingatiwa,
kigezi ni kidogo sana we follow page ya ( @KishambaMedia π) na kisha weka utabiri wako kwa wakati. watakaopewa kipaumbele ni wale watakaojibu mapema kabla ya muda wa mechi saa 9
#KishambaUPDATES
NILIKUWA NIMEKAA ZANGU PEKE ANGU KWA DAKK 25 HIVI. MARA TUMBO LIMEJAA GESI NAHITAJI KUJAMBA KWA USTAARABU WANGU NKACHEKI HUKU NA KULE HAKUNA MTU IKABIDI NIJAMBE . ILE NAMALIZA TU KUJAMBA DEMU ANGU ANATOKEA MOJA KWA MOJA ANAKUJA NILIPOKAA NA HARUFU IMEANZA KUSAAMBAA MUDA HUO
ππ
1
2
138
*ZAMANI TULIOGOPA SANA KUTOWAPA HELA ZA KUTOSHA WATOTO WETU WA KIKE SAHIVI MAMBO YAMEBADLIKA SANA NI BORA KUMPA MTOTO WA KIUME HELA YA KUTOSHA... DUNIA IMEBADLIKA SANA SAHIVI*
5
89
A group of professors were called and sat on a plane.
When the doors closed and the plane is about to take off, all the professors were informed that this plane is made by their students. Then all the professors rush toward the plane doors.
2
2
201









