
African beauty in pictures @YoungAfricansSC @ChelseaFC
Joined May 2022
- Tweets82K
- Following2.3K
- Followers34.3K
- Likes103K
TheProtégéTZ retweeted
🙏Usipite kimya,nisaidie #Repost tafadhali🥰
👉 Size S,M,L,Xl,& XXL
👉Bei 25,000/=
Wa.me/+255717251747
Au 0713800448
📍Kariakoo,Tunatuma Ndani na Nje ya Nchi
TheProtégéTZ retweeted
🙏Usipite kimya,nisaidie #Repost tafadhali🥰
👉 Size S,M,L,Xl,& XXL
👉Bei 25,000/=
Wa.me/+255717251747
Au 0713800448
📍Kariakoo,Tunatuma Ndani na Nje ya Nchi
TheProtégéTZ retweeted
Klabu za Yanga na Simba zinazoiwakilisha Tanzania katika michuano ya Ligi ya Mabingwa Afrika (CAF Champions League) msimu wa 2026/27 zimefahamu Wapinzani wao katika hatua ya Makundi baada ya kufanyika kwa droo ya michuano hiyo.
Kwa mujibu wa droo hiyo, Yanga imepangwa Kundi B pamoja na Zamalek SC ya Misri, MC Alger ya Algeria na Club Africain ya Tunisia.
Kwa upande wake, Simba imepangwa Kundi C pamoja na RS Berkane ya Morocco, Orlando Pirates ya Afrika Kusini na Colombe Sportive ya Cameroon.
Michezo ya hatua ya makundi inatarajiwa kuanza Novemba 27 hadi 29, 2026, huku raundi ya mwisho ikitarajiwa kuchezwa Januari 22 hadi 24, 2027.
#MillardAyoUPDATES
1/3. Hey @TeamYouTube, I urgently need access to the Hijacked Channel Recovery Form.
My channel was terminated after an unauthorized session hijacking on May 25, 2023, around 12:09 PM. Four crack/malware videos (Movavi, Adobe Fresco, After Effects, Quillbot)
2/3. were automated-uploaded at the exact same minute without my knowledge.
My regular appeal was denied because the system reviewed the unauthorized videos rather than the hijacking. This has now triggered a circumvention ban on my new email. My Google account is re-secured.
1
79
3/3. Could you please send me the specialized hijacking form?
Original Channel URL: youtube.com/channel/UCHSrUYd…
26
TheProtégéTZ retweeted
KUHUSU KIFO CHA JOSHUA MOLLEL:
Jana zimesambaa picha za matukio baadhi ya jinsi alivyokuwa anateswa na wapalestina (Hamas). Baadhi ya maswali ambayo nimeona watu wengi wakiyauliza kwenye maoni ni kama: Joshua alikuwa anatafuta nini kwenye eneo la vita? Na je kuna uthibitisho
Spurs kila msimu wanasajili wachezaji wengi wazuri, ila wakifika tu uwanjani wanasahau kufunga magoli
5
551
Kumbe huwa yanapata joto??
Wachina🙌🙌 teapaw.org/Egyptianmemees/status/…
3
777












