Pinned Tweet
Hatimaye LEO NIMEKAMILISHA safari nyingine ya MIAKA 5 ya UTUMISHI, nikiwakilisha JIMBO la KAWE kwenye BUNGE la J/ Muungano wa Tanzania. Asante sana WANANCHI wa KAWE kwa HESHIMA hii KUBWA, ASANTE sana CHADEMA kwa kuniamini, Asanteni sana WATANZANIA wenzangu!! Tunasonga 😍😍✊🏿✊🏿.
Ooh kumbe system.....! Uwe na usiku mwema.
Replying to @halimamdee
Naongelea system Mkuu, usidhani nimekubeza, sisi tusshapiga kilimo cha msimu tumelia lakini Growers wakubwa Field wanaenda rarely
Maisha Mapya.......Marafiki WAPYA. Mlango mmoja ukifungwa, mwingine lazima Utafunguka tu. 😃! Green Gold ( 🥑 ).
Lakini unamfuatilia.....😃😃😃! Mie nipo SAWA SAWA...🥑😃😃!!!na walioshirikiana kuniita MSALITI wakageukana na kuitana WASALITI kwa lugha NGUMU sana . Ukikua (unaonekana bado mtoto) utakuwa makini sana kwa kila neno unalolisikia kwa binadamu mmoja ...dhidi ya mwingine..... ! Glad unanichukia...lakini unanichungulia 😀😀😀!
😂😂 utakuwa SBS ? Kumalizia MACHUNGU 😊📌❤️!
Mhe. NAONA Timu yako pendwa … imeamua KUTUKIMBIA tena !! 😂😂😂! Hiki sio kiwango cha FINALIST wa KOMBE la SHIRIKISHO!!
Na mimi Nakubaliana nawe 100%. Unajua heshima ilishaondoka 5years ago.. sasa nashangaa kwa nini sipotei kwenye VIDOLE vyenu mkiwa MNACHAPA spana ! 😄! Ni wazi tu MNANICHUKIA mpaka MNANIPENDA..
Replying to @halimamdee
Halima kukijenga chawa Kwa nguvu kubwa hakukupi mamlaka ya kusaliti. Hatujawah kuwa na mjadala wenye kupuuza harakati zako katika ujenzi wa Chadema ila usaliti ndio kinachoondoa heshima yako .
Nami napenda iwe hivyo . Tena ndio SAFI. 😂 ! Yaaani HAKUNA hata kaushahidi.. huoni kanafanya maisha yanakuwa simple sana .
Replying to @halimamdee
Dada Halima kujenga taasisi sio tatizo ishu ni ur EXIT' imefanya hata hakuna finger prints mlizoacha ambazo zinakumbukwa au kiwa acknowledge
Tumejenga taasisi HATUA kwa HATUA wakati wao wananyonya au hata hawajazaliwa 😂😂… Leo wanamiliki SMARTPHONE wanatuvimbia humu 😂😂😂! KWa BİTİ NZITO NZITO .. nikitaka punguza stress natembelea’ga’ hii DUNIA. Ni ya kipekee sana ! 😂
Replying to @halimamdee
Nakumbuka kile kikao cha mtu kwa mtu ukwamani ndugu ulikijenga chama.
Acha hawa watoto wakudharau










