Pinned Tweet
Leo, kwa kushirikiana na wadau wetu FTMA, tunazindua rasmi mfumo wa kidijitali unaoitwa MKULIMA HUB Mkoani Njombe. Mfumo unaowaunganisha wakulima wadogo na huduma na bidhaa zote kwenye mnyororo mzima wa thamani.
#FarmToMarket
MkulimaHub retweeted
I am so delighted to my dedicated team and partners for making horticulture an economic frontier in Zanzibar as it now offers a ray of hope to the traditional clove-dependent economy! Gvt data shows Znz now export 500MT of tomato surplus to Mainland & fetch Sh 1.2bn/- or so!
MkulimaHub retweeted
The multinational corporations are making inroads into Tanzania to unlock the banana industry. One is a subsidiary of ATB, the giant retail trade company in Ukraine. It demands 10 containers of cavendish bananas each month to satisfy its 1,500 hungry supermarket chains worldwide
We are committed to ensuring that farmers grow part of the digital agricultural revolution, They will now register, weigh crops, sell and buy inputs, access loans, Insurance and markets through this system.
#FarmToMarket
Tumejipanga kuhakikisha wakulima wanakua sehemu ya mapinduzi ya sekta ya kilimo kidijitali, wanaifurahia teknolojia hii ya @hub_mkulima . Sasa watasajiliana kwenye mfumo, kupima mazao, kuuza na kununua pembejeo kupitia mfumo huu.
#FarmToMarket
MkulimaHub retweeted
If you are investing,remember to diversify your portfolio! Riskier Vs Less Riskier,Liquid Vs Non Liquid!!
Mapema leo ofisi ya mkuu wa mkoa RUKWA, @hub_mkulima kwa kushirikiana na BRITEN chini ya @WFP tumekabidhi Mizani ya kidijitali, Tablets na Printa zilizounganishwa na mfumo, kwa afisa kilimo wa mkoa kwa ajili ya kuvipatia vituoa vya huduma kwa wakulima FSCs.
#FarmToMarket
Another Batch of Digital weighing Scales and Tablets transported today, to be distributed to Farmer Service Centers in Rukwa and Katavi.
Pamoja na uzinduzi, pia tumekabidhi Mizani ya kisasa yenye teknolojia ya bluetooth iliyounganishwa na mfumo ili kupata taarifa sahihi kwa muda halisi kutoka ghalani. Pia tumekabidhi Tableti zitakazotumika na FSCs zaidi ya 40 kuwasiliana kwenye Mfumo.
#FarmToMarket
Mgeni Rasmi, Mrajisi wa Mkoa wa Njombe, Kwa niaba ya Mkuu wa Mkoa, Ameipongeza MkulimaHub kwa kuja na wazo hili, pia amesisitiza wakulima kuendelea kuzalisha mazao yenye ubora ili kuendana na mahitaji ya soko.
Bofya mkulimahub.co.tz/ kujifunza zaidi mfumo unayofanya kazi.
































