mKigoma ⚓ (@husseinabui) header
mKigoma ⚓ (@husseinabui) profile picture

Muslim.. (Salafy)

sumbawanga
Joined June 2011
Photo by mKigoma ⚓ (@husseinabui)Photo by mKigoma ⚓ (@husseinabui)Photo by mKigoma ⚓ (@husseinabui)Photo by mKigoma ⚓ (@husseinabui)Photo by mKigoma ⚓ (@husseinabui)Photo by mKigoma ⚓ (@husseinabui)Photo by mKigoma ⚓ (@husseinabui)Photo by mKigoma ⚓ (@husseinabui)Photo by mKigoma ⚓ (@husseinabui)Photo by mKigoma ⚓ (@husseinabui)
mKigoma ⚓ retweeted
3
17
257
Msikiti huu twaswali hivi hivi na durusi zaendelea hivi hivi ila wasi wasi wetu ni matone ya mvua kuharibu vitabu vyetu Hali si shwari nimepambana ninefikia hapa hivyo mwenye kuwa na chochote basi tupupie kheri hii kwa kufunika ili tupate utulivu wa IBADA Mwenye mbao,bati nk
1
4
11
260
mKigoma ⚓ retweeted
29.10.2026 🕊️ We will never forget you
20
48
747
WE WILL NEVER FORGIVE, NEVER FORGET 29 October Rest Easy Champs
1
56
2
104
1,117
mKigoma ⚓ retweeted
#TANZANIA: KAULI ZA VIONGOZI HAZINA UKWELI, KUWA MKWELI USAMEHEWE, KUENDELEA KUTEKA HAKUWEZI KUTUFIKISHA SEHEMU NZURI- SHEIKH MNGODO Sheikh wa Shura ya Maimamu, Abubakar Mngodo leo Oktoba 29, 2026 ameungana na Mtandao wa Watetezi wa Haki za Binadamu kuomboleza vifo vya wananchi waliouawa wakati na baada ya uchaguzi mkuu wa Oktoba 29, 2025 nchini Tanzania amesema kauli zinazotolewa na viongozi wa serikali zimejaa uongo na kwamba hawataki kukubali kuwa watu waliuawa wengine waliuawa wakiwa majumbani, amewataka viongozi kukili ukweli ili taifa lipate uponyaji badala ya kuendelea kuteka watu wanaosema ukweli. Zaidi: youtu.be/H23WIdF7MQY
8
72
1
230
12,301
– at Mombasa, Kenya
4
7
71
mKigoma ⚓ retweeted
October 29, 2025 Tarehe ambayo watanzania hatutaisahau!!
13
250
6
1,126
21,637
Now I can finally read the Quran ♥️
2
5
2
11
422
📍VIPI MTU ANALINGANIA NA HAJASOMA?! 🎙️ SHEIKH ABUL FADHL QAASIM MAFUTA حفظه الله تعالى ورعاه 📡 ISAIDIE JAMII KUFIKIWA NA UJUMBEE HUU MUHIMU – at Dar es Salaam, Tanzania
1
3
9
134
October 29 A Day To Remember
10
27
204
Hamtotanguliza kheri isipokuwa mtaikuta kwa Allaah Basi changia ujenzi wa marqaz hii ya Ahmad ibn hanbal Watu wa kilosa mtendeni b wapate pakusemea Haq Pakufundushia Haq na pakumuabudia Allaah kwa Haq Mahtaji yetu ni mengi hivyo hatudharau hata jero No ya kuchangia 0769141414
1
7
16
315
– at Dar es Salaam, Tanzania
1
3
7
149
Hiyo ni KIBRI, ambacho ni Maradhi ya Moyo hatari mno kwa Wanadamu & Majini, Humpelekea Mtu kutokupenda kabisa Haki na mwisho wa Kibri ni Fedheha & Kukutanana na Ghadhabu za 'Allāh Jālla Jalâluhū'.
Wakistaafu wanatunga vitabu juu ya maisha yao na kukiri Wakifanya makosa fulani wakiwa kwa hatam. Ila wakati wapo kwa HATAM wakiambiwa hili sio sawa wapo radhi kukupoteza/kuua. Why tusubiri kukiri na kuomba msamaha kwa kuandika vitabu ilihali tunaweza rekebisha.
1
2
72
🤖 Made with AI
1
2
7
144
– at Nyali, Kenya
3
7
132
mKigoma ⚓ retweeted
[Elimu Ya Dini Ni Lazima Kusoma] Anasema Shaykh 'Abdul'Azizi bin 'Abdillah bin Baaz رحمه الله: "Elimu Ziko Za Aina Mbili, 1. Elimu Ya Dini 2. Elimu Ya Kidunia, Na Elimu Ya Dini Ni Wajibu Kwa Kila Aliyekalifishwa Na Sheria Kuwa Ni Mwenye Kujifunza Yale Aliyomuwajibishia Allahﷻ, Na Yale Ambayo Allah Kamuharamishia, Na Yale Ambayo Haifai Yeye Kuwa Mjinga Kwayo Kama Ambavyo Wamelisema Hilo Wanachuoni, Jambo La Wajibu Kwa Kila Aliyetenzwa Nguvu Na Sheria Katika Wanawake Na Wanaume Ajifunze Yale Ambayo Allah Kamuwajibishia Na Awe Ni Mwenye Kutafta Ufahamu Katika Dini Yake, Ayafahamu Yale Ambayo Allah Kumuwajibishia Katika Swala Na Mengineyo, Mpka Ayafahamu Yale Ambayo Kamuharamishia Allah Katika Ushirkina Na Mengineyo, Na Mpka Amwabudu Mola Wake Kwa Uoni [Elimu] [فتاوى نور على الدرب (٢٥/٩)]
5
1
15
506
FURSA YA AJIRA Kampuni ya #MZADARecruitmentAgency ambayo ni wakala wa ajira mwenye leseni namBA 041/2026, tunahitaji wanawake/wasichana wa kufanya kazi za ndani (Maids) nchini Oman. SIFA:- 1. Mwenye umri baina ya miaka 20-35 2. Mwenye afya njema 3. Anayejua kusoma na kuandika. 4. Mwenye hati ya kusafiria na mzoefu anapewa kipaumbele. Kwa muhitaji, tuma taarifa zako kupitia whatsapp namba +255 753 594 683
2
2
199
الأَبناءُ علىٰ دينِ أُمَّهاتِهم فِي الغَالِب. Mara nyingi Watoto wanakuwa katika Dini ya Mama zao... فاظفر بذات الدين تربت يداك Hivyo Chagua Mke mwenye Dini itapata baraka mikono yako.
6
10
161
mKigoma ⚓ retweeted
Chukia utakavyo, lakini Uislamu ni dini ya haki. ☝️🕌 Uislamu unatoa mwongozo katika maisha, unafundisha haki, uadilifu na heshima kwa binadamu. Unaweza kuuchukia Uislamu, lakini chuki yako haibadilishi usilamu ni dini ya haki إِنَّ الدِّينَ عِندَ اللَّهِ الْإِسْلَامُ☝️
41
26
5
132
7,130