♟️ (@iamFallacy) header
♟️ (@iamFallacy) profile picture

Agenda must agend, No room for facts, Hater,

Joined November 2015
Photo by ♟️ (@iamFallacy)Photo by ♟️ (@iamFallacy)Photo by ♟️ (@iamFallacy)Photo by ♟️ (@iamFallacy)Photo by ♟️ (@iamFallacy)Photo by ♟️ (@iamFallacy)Photo by ♟️ (@iamFallacy)Photo by ♟️ (@iamFallacy)Photo by ♟️ (@iamFallacy)Photo by ♟️ (@iamFallacy)
Fvck you Mikel Arteta, Arsenal fans and all other ops😀
9
24
10
94
59,715
Yani mtu anapewa 10k ili aseme $2.5m ni ndogo
69
35
11
285
13,510
Kuna vitu ni ngumu sana kuadmit ila PL is washed
19
7
8
70
4,927
Vipigo mfululizo vipo karibu sana
Low-key hamna timu inaongoza kutulaza njaa wawekezaji kama Arsenal, ile timu sio yakubetia now 😂🙌
10
2
28
1,665
You are not politically neutral You are just a coward comfortable with injustice that doesnt affect you
45
4,556
133
11,998
143,393
Hili anguko la Man City nalifurahia mno kutoka mtimani🙏🙏
4
5
2
104
2,647
Kindly Retweet🙏🏽 📱Samsung S26 Ultra📦 ▪️128Gb - 2,350,000/= 📱Google Pixel 10 Pro XL📦 ▪️256Gb - 2,250,000/= FREE: Cover + Protector & Charger 🔌 - [Trade-In (Exchange) & Cash Deals] Tel. +255 628 139 218 (Calisah) +255 747 689 218 📍Kariakoo. Aggrey street
2
19
2
21
694
♟️ retweeted
ADHABU YA LISSU NI YA KIMKAKATI: Jaji ametoa miaka 4 kwa TAL pasipo kuzingatia KANUNI & MIONGOZO ya utoaji ADHABU! Kisheria, adhabu inapaswa kutolewa kwa kuzingatia sheria & miongozo. Huu ni UTARATIBU wa LAZIMA sio hiyari ya Jaji. Kanuni ambazo mahakama imekiuka KIMKAKATI: 1. KUKIUKWA KWA KIFUNGU CHA 172(2)(c) cha CPA (Siku 577 za Mahabusu). Mahakama inapotoa adhabu ya kifungo, inapaswa KUZINGATIA (kupunguza) muda WOTE ambao mtuhumiwa alikaa gerezani au chini ya ulinzi kabla ya kukutwa na hatia. Msimamo huu ni wa kisheria na wa lazima chini ya Kifungu cha 172(2)(c) kikisomwa sambamba na Miongozo ya Utoaji Adhabu ya Mahakama (Tanzania Sentencing Guidelines 2023). TAL alikaa mahabusu kwa jumla ya siku 577 kabla ya hukumu yake. Kisheria, siku hizi zilitakiwa kukatwa moja kwa moja kwenye miaka 4 (siku 1,461) na kumbakizia adhabu ya siku 884 anapoingia gerezani kutumikia kifungo siku ya kwanza. 2. KUFUMBIA MACHO MISIMAMO YA MAAMUZI (PRECEDENTS) ZA MAHAKAMA YA RUFANI. Kwa kuacha kukata siku hizo 577, jopo la majaji 3 limekiuka kwa makusudi(kimkakati) misimamo thabiti ya kisheria iliyowekwa na Mahakama ya Rufani ya Tanzania (Court of Appeal), ambayo INALAZIMISHA mahakama za chini kukata muda wa mahabusu. Baadhi ya kesi hizo ni: Godbless Simon vs Republic (Criminal Appeal No. 647 of 2022) [TZCA 355]: Ambapo Mahakama ya Rufani ilisisitiza kuwa kuacha kukata muda wa mahabusu ni ukiukwaji wa matakwa ya lazima ya Kifungu cha 172(2)(c) cha CPA, na ikalazimika kuingilia kati kupunguza adhabu ili kufidia muda huo uliosahaulika. Pia, kesi ya Waziri Amani vs Republic: Ambapo Mahakama ya Rufani ilibainisha wazi kuwa kutohesabu muda tangu mshtakiwa alipokamatwa hadi siku ya hukumu kunafanya adhabu nzima kuwa na kasoro ya kisheria (illegal sentence). 3. HILA YA KUFUMBIA MACHO ADHABU YA FAINI (OPTION OF FINE). Hapa kuna upotoshaji mkubwa zaidi wa kisheria na hila iliyofanywa na mahakama. Ikiwa sheria inayomtia hatiani TAL inatoa adhabu ya Faini AU Kifungo (Option of a Fine or Imprisonment), kanuni za kisheria na miongozo ya utoaji adhabu INALAZIMU Jaji kuipa kipaumbele faini kwanza, hususan kwa mkosaji aliyetiwa hatiani kwa MARA YA KWANZA (first offender). 👆🏽 Hili ni TAKWA LA LAZIMA la Miongozo ya Mahakama: Chini ya Miongozo ya Utoaji Adhabu ya Tanzania ya Mwaka 2023 (The Tanzania Sentencing Guidelines, 2023) [Kanuni ya 137 / Sehemu ya (i)], sheria inaelekeza wazi kuwa: "Pale ambapo kosa lina adhabu ya faini au kifungo, mkosaji wa mara ya kwanza anapaswa kupewa adhabu ya faini, isipokuwa tu kama kosa hilo ni la kikatili sana..." Msimamo wa Kimahakama kuhusu suala hili (Precedents): Katika kesi maarufu ya Salum Shabani v. Republic [1985] TLR 71, Mahakama ilitamka wazi kuwa: "Ambapo Bunge limetoa hiyari ya faini au kifungo, mahakama inapolazimika kutoa adhabu LAZIMA ihakikishe kuwa adhabu ya faini inatolewa kwanza, na kifungo kinakuja tu pale mshitakiwa anaposhindwa kulipa faini hiyo (in default of payment)." HILA ILIYOTUMIKA: Jaji amefanya HILA kwa kufumbia macho kwa makusudi maelekezo ya kesi tajwa 👆🏽 & miongozo ya utoaji adhabu. Alijua fika kuwa TAL ana uwezo wa kulipa faini na wananchi wangemchangia ndani ya dakika chache. Ili kukwepa TAL asilipe faini na kubaki nje, Jaji aliruka kabisa hiyari ya faini na kumtwanga kifungo cha moja kwa moja cha miaka 4 gerezani bila sababu za msingi za kisheria zilizothibitishwa. 4. MPANGO WA KUZUIA DHAMANA WAKATI WA RUFAA (Bail Pending Appeal). Hapa ndipo penye SIRI kubwa ya kimkakati ya ADHABU hii. Chini ya sheria za utaratibu wa makosa ya jinai, mahakama ina mamlaka ya kutoa dhamana kwa mfungwa anayesubiri rufaa yake isikilizwe (Bail Pending Appeal) pale tu kunapokuwa na sababu maalum (exceptional circumstances): ikiwemo hali ya afya, muda aliotumikia na uliobaki wa kifungo, sababu ambazo hulazimisha mahakama kutoa dhamana hii ni pamoja na ADHABU KUWA FUPI au MUDA MCHACHE WA KIFUNGO (Short Custodial Sentence), kwani kuna hatari adhabu ikaisha kabla ya rufaa kusikilizwa. INAENDELEA 👇🏽
22
136
5
440
28,529
🚨💣 𝗕𝗥𝗘𝗔𝗞𝗜𝗡𝗚: Jeremie Frimpong is open to leaving Liverpool and playing for a Saudi club, having been offered to Al Hilal, reports @ismaeelmahmoudd.
136
113
88
2,483
172,216
Ifike hatua umeme na Internet vitambuliwe kama basic needs. Aisee Mbeya wanakata umeme saa 11 asubuhi wanaleta saa 5 usiku🤣🤣🤣
8
11
4
84
2,181
Mtoto wa Raisi wa Kenya amenyenyekea Mwanaume mpaka ameolewa. Kuna wewe na salary yako ya Tsh 500k-1.5mil unasema huwezi nyenyekea mwanaume. Shenzzy,
25
57
7
480
44,075
♟️ retweeted
Ile abadili yenu haifanyagi kazi kwenye mambo ya msingi au inasubiri mtu aibe viatu msikitini ndio asomewe ?
108
110
21
807
41,768
hii nchi hii...daaaah!!!
62
444
102
726
Kwenda home haijawai kuwa makosa.
"Makosa utafanya kubwa ni kurudi kwa mzazi after graduating "
1
5
225
Li-Mbowe muda huu lingekuwa linanyoosha suti kuelekea ikulu kusaini mikataba ya ulaghai...
8
23
223
4,744
♟️ retweeted
TAL alimwonyesha Nabii Lema kwamba—ile kauli ya Mange kuwa ana balls haikuwa porojo! TAL ameonyesha balls zake kweli kweli! Kafanya submission ya kibabe sana! Hajaomba msamaha kwa namna yoyote wala kuonyesha unyonge! Stay safe TAL👊🏽💪🏽
45
155
3
1,089
28,414
♟️ retweeted
92% - Trey Nyoni has completed 92% of his passes under high-intensity pressure in the @ChampionsLeague this season. This is the highest accuracy of any midfielder with 100+ attempted, ahead of Pedri in second (91%). Composure.
58
790
139
6,236
189,030
Kulipia vitu vya 100k kupitia Lipa namba wanakata 3500. Fees zipo juu sana hizi. Hii 3,500 taslimu nakula lunch na maji kabisa.
14
11
6
184
171,103
Facts
VIDEO: Mbunge wa Jimbo la Mwibara, Alphaxard Kangi Lugola ameitaka Serikali kurekebisha sheria zinazompa mamlaka Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), ili aweze kuwa na mamlaka ya kiuchunguzi dhidi ya ubadhirifu na matumizi mabaya ya fedha za umma, akisema mamlaka alizonazo sasa hazitoshi. Lugola ametoa kauli hiyo leo, Novemba 4, 2026, Bungeni jijini Dodoma, wakati akichangia taarifa za Kamati za Kudumu za Bunge za Hesabu za Serikali za Mitaa (LAAC), Hesabu za Serikali (PAC) na Uwekezaji wa Mitaji ya Umma (PIC), kuhusu ripoti za CAG, akieleza kuwa kwa sasa CAG anaishia kukagua na kubaini viashiria vya wizi, ubadhirifu na ufisadi, bila kuwa na mamlaka ya kufanya uchunguzi wa kina. Amesema marekebisho hayo yanapaswa kumpa CAG mamlaka ya kufanya uchunguzi wa kifedha (Forensic Financial Investigation), ikiwemo uwezo wa kuwaita na kuwahoji watuhumiwa pamoja na kukusanya ushahidi wa kina ili kubaini kama kuna makosa ya jinai, akisisitiza kuwa hatua hiyo itaimarisha uwajibikaji katika usimamizi wa fedha za umma.
2
16
712
Wanangu wapo kila sehemu
Voted for El-Sayed because I align with the islamic belief that women shouldn’t have rights!
1
18
1,258
Kitu ambacho nimekuja ku-realize ni kuwa AFRICANS we are less human (most of us) wakifuatiwa na waarabu. Inawezekanaje miaka nenda miaka rudi tupo vile vile tunajua solution na hatutaki kuitumia. Tunawaua watu ambao ni sahihi wakutuongoza tunawazunguka wenzetu na kuwauza kwa maadui. Narudia tena 90% ya biashara ya utumwa ilikuwa facilitated na waafrica wenyewe.
40
76
7
376
19,438