Software Engineer & Founder of WebYetu | 3D Artist | Animator

Tanzania
Joined July 2014
Innogh retweeted
Mnakumbuka ule uzi nilipost mwezi wa 3 kuhusu biashara nyingi Tanzania kutokuwa na website? 😢 Hii ni kwa wafanyabiashara, developers wadogo na content creators. Sio siri tena. Lilianza kama wazo, lakini mpaka leo @WebYetu tayari ina watumiaji zaidi ya 700+ πŸš€πŸ§΅ Uzi mfupi... πŸ‘‡
Kuna kitu kinachonisumbua sana kuhusu biashara za Tanzania. Unaweza kupita mtaani, kuona duka zuri, chakula kitamu, huduma nzuri... Ukitafuta Google β€” HAIPO. 😢 🧡Uzi... πŸ‘‡
1
1
6
583

Lengo langu ni kuhakikisha kila biashara Tanzania inapata website bila kisingizio cha gharama au ugumu wa kutengeneza.Kama una biashara au wewe ni developer unayetaka kuwahudumia wateja wako kwa haraka: πŸ‘‰ webyetu.com #WebYetu #TechTanzania #Tanzania
1
29
Do you remember when you joined X? I do! #MyXAnniversary
160
Kila mtu anatamani ajue anawezaje kutengeneza websites na software nyinginezo. Uwepo wa AI huenda umefanya hili jambo liwe rahisi sana, ila bado wengi wanafanya makosa na hawajui pa kuanzia. AI ilichorahisisha ni kukupa timu nzima ya software dev sehemu moja na weqe kubaki kuwa PROJECT MANAGER. Unapokuwa Project manager mara nyingi hata hautahitaji kujua wala kuelewa sana code ya program mstari kwa mstari inafanya nini. Hiyo ni kazi ya programmers, kazi yako wewe ni kuwa software engineer anayeelewa hiyo software product inabidi ifanye nini? Kwa namna gani? Iwe na usalama wa namna gani? Watumiaji wataitumia vipi? Itakuwa deployed to production kwa namna ipi na wapi? Hivyo ni baadhi ya vity unavyohitaji kujua. Natamani sana watu wajifunze, waelewe na walau waweze kuwa project managers au software engineers ambao wanaweza kutengeneza softwares bila kujua programming. Niliwahi kuwapa elimu ya kujifunza programming bila kwenda chuo. Leo nawapa darasa ya VIBE CODING. Yani kutengeneza software bila kuwa na ufahamu wa programming languages. Mtu anaweza kuona hauwezekani, ila inawezekana. Mfano mimi mwenyewe siijui flutter ya kutengeneza Mobile Applications, ila nimetengeneza App ya AkibaPlus na ndani ya wiki mbili na siku tatu imepata watumiaji 104 na inafanya kazi kwa ubora wa hali ya juu. Yote sababu najua product inabidi iwe vipi na natumia AI kama team yangu ya programmers. Muhimu ni kuweza fikiria kama software engineer na product manager. Hiyo ndiyo sababu nimeleta hii masterclass ambayo itafundisha kila kitu na hata mtu ambaye hakuwa anajua kabisa chochote kuhusu software development atatoka akiwa anajua na anaelewa wapi anaanzia na ataweza tengeneza software. Nina nafasi za watu 12 na kati hao ikiwa mtu atatoka bado hawezi kutengeneza software nitamrudishia pesa yake. Masterclasss: VIBE CODING MASTERCALSS Tarehe: 1 mpaka 7 July 2026 Mahali: Online Gharama: TZS 150,000 kwa kila mtu Namna ya kulipia ni kupitia link hii duka.habaritechnology.com/ha… baada ya malipo utapewa access Zimebaki nafasi 10 mpaka sasa. Unahitaji kuwa na vitu viwili tu. COMPUTER & INTERNET @ally_eh @gabyconscious
2
5
6
435
App yangu niliyotengeneza kwa kutumia Ai inatoa ajira ya pili ya moja kwa moja sasa, ni kitu ambacho wakati naanza nisingeweza kumwelezea mtu akaelewa. WebYetu ni yetu sote. @WebYetu
1
2
5
517
Mimi pamoja na Claude tumeshakamilisha jamboβœ…
1
8
528
Kuna watu humu wanaclaim kwamba wao ni developers lakini ukiangalia kazi zao unaona kabia hamna kitu hapa, they were just lucky 🫡
1
4
167
Innogh retweeted
Kitu unachosahau ni kwamba AI ina context pana sana ukilinganisha na mwanadamu mmoja mmoja, yaani wanadamu wanajua sana kuliko AI lakini ni ukiunganisha uelewa wa wanadamu wengi, mwanadamu mmoja hawezi hata kujaribu kucompete na context na reasoning ambayo AI iko nayo hata siku 1
Hapana sio kitu kile kile. Kwa namna naijua AI inavyofanya kazi ni anaangalia data ilizokuwa trained on na kutambua possible patterns zinazounganisha hizi data (hiyo ndo prediction) ndipo ikupe output. Haina awareness wala uelewa ni inatambua tu patterns kulingana na namna imekuwa trained. Binadamu tunatambua patterns, lakini kwa kuelewa context ya kile kilichopo kisha tuna evaluate context ipi ni sahihi. Usahihi tunaupata kwa kujiuliza kama assumptions na uelewa tulio nao ni sahihi. Judgement yetu iko based na uncertainty. AI inaiga reasoning ila binadamu tunafanya actual reasoning na kufanya rvaluation ya hizo reasons. Ndiyo maana unakuta mara nyingi AI zinafanya halkucination. Sababu pattern prediction yake haiwezi kujudge reasoning kwa usahihi. Binadamu pia anakosea ila sio kwa namna hiyo sawa na AI. AI ni kama mwanafunzi ambaye amesoma kwa memorization ya maswali mengi anatoa majibu ya haraka NECTA na anafaulu. Ila kwenye uhalisia akipewa real world scenario anashindwa tumia alichokisoma. Wakati binadamu ni mwanasayansi ambaye anajua kupima nadharia (hypothesis), kuhoji matokeo na kubadili hypothesis kulingana na evidence ya matokeo.
1
1
2
191

Vitu ambavyo ai inaweza kuwa out of context kwa kipindi hiki ni vitu ambavyo havipo mtandaoni kabisa, pamoja na hayo inaweza kusolve complex problems ambazo haina context nazo kwa kuunganisha uelewa alionao kwenye vitu vingine ambavyo vinafanania hicho kitu kipya.
1
76
Usikariri kwamba AI inajua tu vitu ambavyo wameifeed, sasahivi AI inascrape internet vibaya mno na inaweza kupull information ziliropo kwenye web in real time na kuziapply kufanya task mbalimbali. Kitu ambacho ni changamoto ku kuiambia iotee wewe umekula nini mchana.
46
Unaweza kutengenezea reataurants hizi Digital Menu watakulipa vizuri sana
11
11
1
45
4,384
Kwa mliopata hii ebook bure hakikisha unadownload pdf yake kabisa ili uweze kuisoma baadae maana muda wa offer ukiisha ile link haitafanya kazi tena, kama utasahau kudownload pdf basi unaweza kukipata kwenye email yako uliyoandika. Kama kuna ambae hajaipata bado anicheck mapema.
67