Jamii Voice (@jamiivoice) header
Jamii Voice (@jamiivoice) profile picture

VOICE OF JAMII

Joined August 2020
Photo by Jamii Voice (@jamiivoice)Photo by Jamii Voice (@jamiivoice)Photo by Jamii Voice (@jamiivoice)Photo by Jamii Voice (@jamiivoice)Photo by Jamii Voice (@jamiivoice)Photo by Jamii Voice (@jamiivoice)Photo by Jamii Voice (@jamiivoice)Photo by Jamii Voice (@jamiivoice)Photo by Jamii Voice (@jamiivoice)Photo by Jamii Voice (@jamiivoice)
HABARI: Askari wa Jeshi la Polisi Wilayani Tunduru Festo Jonathan Mathias anadaiwa kuuawa na wafugaji katika Kijiji cha Azimio jana tarehe 8 Novemba 2026. Mauwaji hayo yametokea baada ya wafugaji ambao mifugo yao ilikamatwa kwenye operesheni inayoendelea Wilayani Tunduru.
183
HABARI: Mkazi wa Shinyanga aliyejitambulisha kwa jina la Joyce, amemweleza Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba, kuwa alipigwa na kujeruhiwa wakati wa uchaguzi wa Oktoba 29, 2025, huku nguo zake zote zikichomwa moto.
3
8
2,741
Katibu wa Itikadi, Uenezi na Mafunzo (CCM) Kenani Kihongosi amesema Rais Samia ameendelea kufungua milango ya maridhiano nchini, akieleza kuwa hata Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu, ambaye amehukumiwa jana, Novemba 6, 2026, CCM inamuombea apate nafasi ya kutoka gerezani.
16
1
1
11
3,098
HABARI: Mbunge wa Viti Maalum, Sigrada Mligo akifafanua kuhusu kuhukumiwa jela miaka minne, Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu.
2
38
226
7,110
HABARI: Mbunge wa Viti Maalum kupitia CHAUMA, Sigrada Mligo, amesema amepokea kwa maumivu makali hukumu iliyotolewa dhidi ya Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu, akieleza kuwa hakutarajia matokeo hayo.
8
58
2
216
9,632
Katibu Mkuu wa CHADEMA, John Mnyika
1
61
358
9,871
HABARI: Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, John Heche ametoa msimamo mkali wa Chama hicho baada ya Mweyekiti, Tundu Lissu kuhukumiwa kifungo cha Miaka minne jela kwa kosa la uchochezi.
1
32
137
3,276
HABARI: Katika shauku ya kusubiri nini kitaamuliwa dhidi ya Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA, Mapema leo tayari baadhi ya watanzania na wanachama wa chama hicho wakiwa wameshawasili ndani ya ukumbi wa Mahakama
2
20
1
106
2,739
HABARI: Hali ilivyo katika baadhi ya maeneo jinsi yanavyoonekana Asubuhi hii ndani ya Jiji la Dar es salaam kuelekea Uamuzi wa kihistoria katika Hukumu ya Kesi ya Uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu ambayo itatolewa leo Novemba 6, 2026 Mahakama Kuu ya Tanzania
2
9
1
32
2,673
HABARI: Aliyekuwa Mgombea Urais kupitia Act Wazalendo, Luhaga Mpina amesisitiza kuwa watafanya siasa za kuhoji na kuchukua hatua dhidi ya matatizo yanayowasibu wananchi. Amesema watakapofuatilia na kuona imeshindikana watachukua hatua za kufungua kesi Mahakamani.
1
5
12
652
HABARI: Aliyekuwa Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Act Wazalendo, Luhaga Mpina amesema ikiwa imesalia masaa machache kuelekea uamuzi wa Kesi dhidi ya Mwenyekiti wa Chadema, Tundu Lissu, kuwa uamuzi wowote utaleta sura mpya dhidi ya Siasa za Tanzania.
10
47
1,012
Bungeni: Mbunge wa Jimbo la Momba, Condester Sichalwe, ameomba mwongozo wa Spika akimtuhumu Naibu Waziri wa Maji, Mhandisi Kundo Mathew, kuipotosha Bunge kuhusu hali ya upatikanaji wa maji katika Kijiji cha Lwatwe.
2
21
1,308
Bungeni: Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba, amesema Serikali inalipa uzito suala la Katiba Mpya na kwamba taratibu za kisheria kuelekea utekelezaji wake zinaendelea.
1
2
7
1,161
Mbunge wa Jimbo la Korogwe Mjini, CPA Charles Njama, amesema kamati hiyo imebaini ubadhirifu wa fedha katika ujenzi wa kiwanja cha mpira Arusha ikiwemo usanifu wa kiwanja.
5
22
1
146
7,895
HABARI: Mwanahabari Mkongwe na Mwenyekiti wa Kituo cha Wanahabari Watetezi wa Rasilimali na Taarifa (MECIRA) Habibu Mchange, ameyasema hayo leo Novemba 4, 2026 wakati akizungumza na Wanahabari jijini Dar es salaam
139
9
14
91
34,330
HABARI: Mwanahabari Mkongwe na Mwenyekiti wa Kituo cha Wanahabari Watetezi wa Rasilimali na Taarifa (MECIRA) Habibu Mchange, amesema watanzania wanapaswa kutumia migogoro iliyopo Chadema kama sehemu ya kupima uwezo wao wa kuaminiwa kuongoza nchi.
3
2
14
1,671
HABARI: Mwanahabari Mkongwe na Mwenyekiti wa Kituo cha Wanahabari Watetezi wa Rasilimali na Taarifa (MECIRA) Habibu Mchange, ameyasema hayo leo Novemba 4, 2026 wakati akizungumza na Wanahabari jijini Dar es salaam
8
1,085
HABARI: Diwani wa Kariakoo, Haji Manara, amewataka viongozi wa Serikali, vyombo vya usalama na taasisi za dini kutoa msimamo kuhusu kile alichokiita kuongezeka kwa matukio ya ushoga na usagaji nchini, akihoji kama jambo hilo limebarikiwa kimya kimya.
28
10
4
115
68,335
HABARI: Familia ya marehemu Mzee Alute Mughwai Lissu imetangaza kuwa mazishi yake yatafanyika Jumanne, Novemba 10, 2026, katika Kijiji cha Mahambe, nyumbani kwa marehemu mkoani Singida.
1
5
25
1,090
HABARI: Aliyekuwa mgombea urais kupitia ACT-Wazalendo, Luhaga Mpina, amewataka wananchi kuikataa CCM, akidai chama hicho kimeshindwa kusimamia Serikali.
4
17
979