Mahakama ya Tanzania retweeted
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa, Jaji Mkuu wa Tanzania Mhe. Profesa Ibrahim Hamis Juma pamoja na Mwakilishi wa Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano ambaye ni Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Utawala, Katiba na Sheria Mhe. Dkt. Joseph Kizito Mhagama na Viongozi mbalimbali mara baada ya kukabidhiwa nakala 3 za Sheria za Tanzania zilizofanyiwa urekebu kwa mujibu wa kifungu cha 17 cha Sheria ya urekebu wa sheria kwa ajili ya kumbukumbu, Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma tarehe 23 Aprili, 2025.
Mahakama ya Tanzania retweeted
Rais Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akizindua Jengo la Makao Makuu ya Mahakama ya Tanzania, Tume ya Utumishi wa Mahakama pamoja na Nyumba za Makazi ya Majaji Jijini, Dodoma, tarehe 05 Aprili, 2025.
Mahakama ya Tanzania retweeted
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Majaji, Viongozi pamoja na wageni mbalimbali waliohudhuria hafla ya uzinduzi wa Jengo la Makao Makuu ya Mahakama ya Tanzania, Tume ya Utumishi wa Mahakama pamoja na Makazi ya Majaji Jijini Dodoma tarehe 05 Aprili, 2025.
Mahakama ya Tanzania retweeted
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akimkabidhi Jaji Mkuu wa Tanzania Profesa Ibrahim Hamis Juma mfano wa ufunguo mara baada ya uzinduzi wa Jengo la Makao Makuu ya Mahakama ya Tanzania, Tume ya Utumishi wa Mahakama pamoja na Makazi ya Majaji tarehe 05 Aprili, 2025, Jijini Dodoma.
Mahakama ya Tanzania retweeted
Taswira ya Jengo la Makao Makuu ya Mahakama ya Tanzania, Tume ya Utumishi wa Mahakama pamoja na Makazi ya Majaji ambayo yamezinduliwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, tarehe 05 Aprili, 2025 Jijini Dodoma.
Mahakama ya Tanzania retweeted
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akizindua Jengo la Makao Makuu ya Mahakama ya Tanzania, Tume ya Utumishi wa Mahakama pamoja na Nyumba za Makazi ya Majaji Mkoani Dodoma, tarehe 05 Aprili, 2025.
BADO SIKU 06 !
-
📅 Tarehe: 05 Aprili 2025
⏰ Muda: 1:30 Asubuhi
📍 Mahali: Makao Makuu ya Mahakama - Dodoma
-
Mgeni rasmi:
🇹🇿 MHE. DKT. SAMIA SULUHU HASSAN
RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA
#mahakamayatanzania #judiciarytanzania #Tanzania #SamiaSuluhuHassan #dodoma
BADO SIKU 07 !
-
📅 Tarehe: 05 Aprili 2025
⏰ Muda: 1:30 Asubuhi
📍 Mahali: Makao Makuu ya Mahakama - Dodoma
-
Mgeni rasmi:
🇹🇿 MHE. DKT. SAMIA SULUHU HASSAN
RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA
#mahakamayatanzania #judiciarytanzania #Tanzania #SamiaSuluhuHassan #dodoma
Mahakama ya Tanzania inakukaribisha kwenye Uzinduzi wa Majengo mapya ya Mahakama! 🏛️
-
📅 Tarehe: 05 Aprili, 2025
⏰ Muda: 1:30 Asubuhi
📍 Mahali: Makao Makuu ya Mahakama - Dodoma
-
Mgeni rasmi:
🇹🇿 MHE. DKT. SAMIA SULUHU HASSAN
RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA
Heri ya Siku ya Kimataifa ya Wanawake 2025
-
"Wanawake na Wasichana 2025: Tuimarishe Haki Usawa na Uwezeshaji"
#mahakamayatanzania
#judiciarytanzania
Heri ya Siku ya Kimataifa ya Wanawake 2025
-
"Wanawake na Wasichana 2025: Tuimarishe Haki Usawa na Uwezeshaji"
#mahakamayatanzania
#judiciarytanzania










































