Mimi niliingis chop cha bar kujisaidia nikakuta kibunda cha pesa chini. Nikakiokota nijaendelea kukojoa mkojo ukawa hautoki. Nikasepa.siki hizi kila nikienda choo cha ile Bar sikuti pesa mpaka nikamlalamikia meneja馃榾
Siku hizi ukikutana na mtu akakuomba hela we mpe tu, Juzi kuna mwamba alikuja akanambia ameibiwa nauli inabidi atembee kwa miguu nimsaidie elfu moja tu....Nikatisha nikampatia
Wakati naondoka zangu akanambia kijana nimegundua una roho nzuri sana mimi nilikuwa nakupima tu kwa roho yako nzuri nakupatia laki moja ya bure馃檶
Sasa hivi nishajisemea nikiombwa pesa kama ninayo natoa huenda wapo wengi sana mataikuni wanaotupima roho zetu





















