Waziri wa Afya Zanzibar, Mhe. Nassor Ahmed Mazrui, amezindua rasmi kambi ya matibabu ya Afya Bora, Maisha Bora inayofanyika Kinduni, Kaskazini B, ambapo ameipongeza Zanzibar Maisha Bora Foundation kwa jitihada zake za kuwafikishia wananchi huduma bure za afya karibu na makazi yao
KUANZIA LEO!
Afya njema ndiyo msingi wa kila mafanikio. Usisubiri hadi ugonjwa ukukute, njoo upimwe, upate ushauri na matibabu bila malipo.
Kambi ya 06 ya Matibabu Bure ya Afya Bora, Maisha Bora inakusubiri.
Kituo cha Afya Kinduni, Unguja, Viwanja vya Kinduni, Academy Grounds
Zimebaki siku 4!
Mariam Mwinyi Walkathon inakaribia! Anza kujiandaa, kila hatua ni uwekezaji wa afya yako.
📅 Tarehe 7 Novemba 2026
#MariamMwinyiWalkathon #ZMBF #AfyaBoraMaishaBora
Zimebaki siku 5!

Ndg. Makame Machano Haji, Mwenyekiti wa kambi ya matibabu Afya Bora, Maisha Bora na Mjumbe wa Bodi ya Wadhamini ZMBF, akielezea uratibu na maandalizi ya kambi ya sita inayofanyika Kinduni, Kaskazini B.
Afya njema ndiyo msingi wa kila mafanikio. Usisubiri hadi ugonjwa ukukute, njoo upimwe, upate ushauri na matibabu bila malipo.
Kambi ya 06 ya Matibabu Bure ya Afya Bora, Maisha Bora inakusubiri.
📍 Kituo cha Afya Kinduni, Unguja, Viwanja vya Kinduni, Academy Grounds.
Zimebaki siku 6!
Mariam Mwinyi Walkathon inakaribia! Anza kujiandaa, kila hatua ni uwekezaji wa afya yako.
📅 Tarehe 7 Novemba 2026
#MariamMwinyiWalkathon #ZMBF #AfyaBoraMaishaBora
Zimebaki siku 2!
Afya njema ndiyo msingi wa kila mafanikio. Usisubiri hadi ugonjwa ukukute, njoo upimwe, upate ushauri na matibabu bila malipo.
Kambi ya 06 ya Matibabu Bure ya Afya Bora, Maisha Bora inakusubiri.
📍 Kituo cha Afya Kinduni, Unguja
📅 3 – 7 Novemba 2026.
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar na Mlezi wa Kambi ya "Afya Bora, Maisha Bora", Mheshimiwa Hemed Suleiman Abdulla, anawakaribisha wananchi wote wa Zanzibar kwenye Kambi ya Matibabu Bure inayoandaliwa na ZMBF pamoja na Wizara ya Afya Zanzibar.
Zimebaki siku 7!
Mariam Mwinyi Walkathon inakaribia! Anza kujiandaa, kila hatua ni uwekezaji wa afya yako.
📅 Tarehe 7 Novemba 2026
#MariamMwinyiWalkathon #ZMBF #AfyaBoraMaishaBora
Zimebaki siku 3!
Huduma za matibabu zinakuja karibu nawe, bila gharama. Usikose fursa hii adhimu ya kuimarisha afya yako na ya familia yako.
📍 Kituo cha Afya Kinduni, Unguja
📅 3 – 7 Novemba 2026
#KambiYa6 #ZMBF #AfyaBoraMaishaBora
Zimebaki siku 8!
Siku kumi kabla ya Walkathon. Anza kutembea dakika 15 kila siku ili mwili wako uwe tayari.
Tarehe 7 Novemba 2026.
#MariamMwinyiWalkathon #ZMBF #AfyaBoraMaishaBora
Zimebaki siku 4!
Afya njema ndiyo msingi wa kila mafanikio. Usisubiri hadi ugonjwa ukukute, njoo upimwe, upate ushauri na matibabu bila malipo.
Kambi ya 06 ya Matibabu Bure ya Afya Bora, Maisha Bora inakusubiri.
📍 Kituo cha Afya Kinduni, Unguja, Viwanja vya Kinduni, Academy.
Mke wa Rais wa Zanzibar, Msarifu na Mwenyekiti wa Bodi ya Wadhamini ya Taasisi ya Zanzibar Maisha Bora Foundation (ZMBF),Mama Mariam H. Mwinyi, leo tarehe 29 Oktoba 2026 ametembelea wanawake wapiga mbizi wa jadi wa Haenyeo katika Kisiwa cha Jeju, Korea Kusini.
Uzoefu huo unaonesha fursa kwa wanawake wa Zanzibar hususan wakulima wa mwani katika kuongeza thamani ya bidhaa zao na kuunganisha kilimo cha mwani na utalii, na kuongeza kipato kupitia uchumi wa buluu.
ZMBF na Wizara ya Afya Zanzibar tunayo furaha kumkaribisha YAS kama Mshirika wetu wa Platinum katika Kambi ya Sita ya Afya Bora, Maisha Bora, itakayofanyika kuanzia tarehe 3 hadi 7 Novemba 2026 katika Kituo cha Afya Kinduni na viwanja vya Kinduni Academy Grounds, Kaskazini “B”.
Zimebaki siku 5!
Huduma za matibabu zinakuja karibu nawe, bila gharama. Usikose fursa hii adhimu ya kuimarisha afya yako na ya familia yako.
📍 Kituo cha Afya Kinduni, Unguja
📅 3 – 7 Novemba 2026
#KambiYa6 #ZMBF #AfyaBoraMaishaBora
Zimebaki siku 10!