Pinned Tweet
Lijitu linasapoti umalaya wa jinsia moja ndio liwe lirais la ufipa halafu mpige move?
Sasa CDM toka huyu mwamba wa one love aingie mmefanya nini zaidi ya kuchoma taifa na uharifu mkubwa kwenye taifa letu.
Mhaini anyongwe.
Mhaini anyongwe.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, anatarajiwa kushiriki Mkutano wa 31 wa Umoja wa Mataifa kuhusu Mabadiliko ya Tabianchi (COP31), jijini Antalya, Uturuki.
Ushiriki wa Tanzania ni fursa ya kuimarisha
diplomasia ya mazingira, kutafuta uwekezaji katika nishati safi na kusukuma ajenda ya maendeleo endelevu.
Tanzania inaendelea kushiriki katika
1
5
mazungumzo ya kimataifa yanayogusa mustakabali wa uchumi na maisha ya wananchi wake.
#NishatiSafiSamia #SamiaCOP31 #SiNdotoTena
Ni wakati wa kukutana, kujifunza, kushirikiana na kufungua milango ya mafanikio.
Geita tunakuja kwa kishindo!
Matukio makubwa, vijana wengi, fursa zisizo na mipaka!
#Tumokwenyebatalachimbo 💪🔥
📍 Sekta binafsi yapongeza uongozi wa Rais Samia.
✓ Yatambua juhudi za Serikali katika kuwawezesha wazawa kunufaika na fursa za kiuchumi nchini.
✓ Yaitaka Wizara ya Madini kuwa mfano wa kuigwa katika utendaji na usimamizi kwa wizara nyingine.
SSH 2530 retweeted
Zero tariffs, infinite possibilities! Glad to see Tanzanian coffee, honey and handmade art so well-received at the 9th China International Import Expo (#CIIE). May Tanzanian exhibitors leverage this platform to expand path into the Chinese market and share in fresh development opportunities.
Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, akimuapisha Mhe. George Masaju, Jaji Mkuu wa Tanzania kuwa Mwenyekiti wa Kamati ya Usaili wa Wajumbe wa Tume Huru ya Uchaguzi kwenye hafla iliyofanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam, tarehe 09 Novemba,
2026. Kamati ya Usaili wa Wajumbe wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi imeainishwa kwenye Kifungu cha 9 (1) cha Sheria Na. 2 ya Mwaka 2024. Kifungu cha 9 (2) kinawataka wajumbe kuapa mbele ya Rais kabla ya kuanza
1
13
Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, akimuapisha Mhe. Khamis Ramadhan Abdalla, Jaji Mkuu wa Zanzibar kuwa Makamu Mwenyekiti wa Kamati ya Usaili ya Wajumbe wa Tume Huru ya Uchaguzi kwenye hafla
iliyofanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam, tarehe 09 Novemba, 2026. Kamati ya Usaili wa Wajumbe wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi imeainishwa kwenye Kifungu cha 9 (1) cha Sheria Na. 2 ya Mwaka 2024. Kifungu cha 9 (2) kinawataka wajumbe kuapa mbele ya
Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, akimuapisha Ndugu Dunford George Mpelumbe, Mwenyekiti wa Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora kuwa Mjumbe wa Kamati ya Usaili ya Wajumbe wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi kwenye hafla
iliyofanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 09 Novemba, 2026. Kamati ya Usaili wa Wajumbe wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi imeainishwa kwenye Kifungu cha 9 (1) cha Sheria Na. 2 ya Mwaka 2024. Kifungu cha 9 (2) kinawataka wajumbe kuapa mbele ya
1
4
Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, akimuapisha Ndugu Omar Ali Omar Bhai, Makamu Mwenyekiti wa Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora kuwa Mjumbe wa Kamati ya Usaili ya Wajumbe wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi kwenye hafla
iliyofanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam, tarehe 09 Novemba, 2026. Kamati ya Usaili wa Wajumbe wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi imeainishwa kwenye Kifungu cha 9 (1) cha Sheria Na. 2 ya Mwaka 2024. Kifungu cha 9 (2) kinawataka wajumbe kuapa mbele ya
1
2
Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, akiwa na Mhe. Dkt. Moses Kusiluka, Katibu Mkuu Kiongozi katika picha na Wajumbe wa Kamati ya Usaili ya Wajumbe wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi baada ya hafla ya uapisho iliyofanyika Ikulu Jijini Dar
es Salaam, tarehe 09 Novemba, 2026. Kamati ya Usaili wa Wajumbe wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi imeainishwa kwenye Kifungu cha 9 (1) cha Sheria Na. 2 ya Mwaka 2024. Kifungu cha 9 (2) kinawataka wajumbe kuapa mbele ya Rais kabla ya kuanza kutekeleza
1
8















