Nerst (@nerst06) header
Nerst (@nerst06) profile picture

Medicine| @ManCity| @Barca what are you afraid to lose when nothing in the world belongs to you✨️

Here
Joined January 2020
Photo by Nerst (@nerst06)Photo by Nerst (@nerst06)Photo by Nerst (@nerst06)Photo by Nerst (@nerst06)Photo by Nerst (@nerst06)Photo by Nerst (@nerst06)Photo by Nerst (@nerst06)Photo by Nerst (@nerst06)Photo by Nerst (@nerst06)
Nerst retweeted
"Hii Nchi sio yenu na sisi sio ng'ombe wenu" Tumewatukana kisomi sana 😅😅
1
84
357
7,044
You are not politically neutral You are just a coward comfortable with injustice that doesnt affect you
45
4,556
133
11,997
143,322
Nerst retweeted
Faut virer tous les enzo du club, Enzo Maresca, Enzo Fernandez, Enzo Donnarumma etc
125
2,026
168
25,794
339,712
Nerst retweeted
These losses are all on Enzo Maresca and I don’t want to hear otherwise. Clearly hasn’t learnt anything from that PSG game and his tactics are the worst I have seen
32
200
6
2,034
19,922
hii nchi hii...daaaah!!!
62
443
102
726
Cheki majeraha haya still wanamtesa 🥲
61
301
20
1,613
105,044
🚨Kwaiyo kumbe Taivina aliliwa ada na kanji 2019 🤣🤣🤣 Anasema mpka wahindi watajane nan alikula iyo fee..!🤣🤣🤣
42
75
1
814
26,000
As a country we are fucked.
14
46
2
282
4,963
Uyu ata akae gerezani uchaguzi ufanyike pasipo yeye kushiriki campaign still ma CCM hamuwezi kushinda street Ina appreciate kile anachokifanya 📌na ataishi kwenye mioyo ya Watanzania in our all entire life ❤️.
5
69
345
4,805
Halafu bado kuna watu wanataka CDM waende kwenye meza ya maridhiano hahah
11
34
345
8,303
🥹Daah Huyu Jamaaa 🫡🫡😩🙌🏾 Mpaka internet inazimwa HUYU NI MWANAUME🔥🔥🔥🔥🙌🏾
13
543
11
2,541
37,944
Nerst retweeted
Bro went bar to bar with Jamhuri, defended himself with no access to his lawyers and witnesses and the Cort didn't find him guilty of TREASON. He didn't lose his mind and kept smiling in every appearance he made despite foul play, Tundu Antipas Lissu is GOATED 🙌
3
178
5
448
11,702
SIKU YA AIBU KWA UTAWALA WA SHERIA! Sisi ni nchi inayofuata mfumo wa Common Law, siyo mfumo wa Civil Law Katika mfumo wetu, Mahakama ni mwamuzi huru na asiyeegemea upande wowote (impartial adjudicator), siyo mpelelezi, siyo mwendesha mashtaka, wala siyo mtunga mashtaka. Lakini kwa hali ya kushangaza, leo tunakutana na Mahakama inayochukua majukumu yote kwa wakati mmoja: inaandaa shtaka (charge), inafanya uchunguzi, inaendesha mashtaka, inakusanya ushahidi, inabaini kosa, inamkuta mtuhumiwa na hatimaye kumhukumu, bila kumpa nafasi ya kusikilizwa ipasavyo. Huu siyo utendaji wa Mahakama inayosimamia haki. Huu ni kuvuruga misingi ya haki asilia (Principles of Natural Justice), haki ya kusikilizwa (Right to be Heard) na kanuni ya kutokuwa hakimu katika shauri lako mwenyewe (Nemo Judex in Causa Sua). Mahakama haiwezi kuwa mlalamikaji, mpelelezi, mwendesha mashtaka na hakimu kwa wakati mmoja. Hata kama ni kosa dogo lazima liwe cognate offence yaani kosa linaloendana au kuhusiana na kosa analoshtakiwa. Naliwe sehemu ya shitaka na ushahidi utolewe kuhusu hilo na mtuhumiwa ajitetee. Na pia ni Kanuni za Msingi katika Taifa letu kwamba kunapokuwa na adhabu ya Kigungo na Faini au vyote kwa pamoja ni lazima uanze kwanza na adhabu ya faini akishindwa kinafuata kifungo. HII NI AIBU KUBWA. Kazi ya Mahakama ni kutenda haki kwa kusikiliza pande zote kwa usawa, siyo kutafuta au kubuni njia za kumtia mtu hatiani. Tunapofika hapa, tunakuwa hatujadili tena hatima ya mtuhumiwa mmoja tu; tunajadili uhai wa utawala wa sheria katika nchi yetu. UKWELI, HAKI NA UWAJIBIKAJI NDIVYO VITALIPONYA TAIFA! BAK MWABUKUSI
40
449
5
1,365
35,593
Tuanze kupima kati ya mtoto wa kike na wa Kiume yupo ana uwezo wa ku raise mtaji kirahisi, nadhani it can be a good start kwenye huu mjadala.
Saivi ukienda kwenye jengo lenye frame nyingi utaona sehemu kubwa ni biashara zinazomilikiwa na wanawake, wengine wameanza kujenga nyumba za kuishi kabisa, masela tukaze tusije tia huruma huko mbeleni.
6
10
2
107
8,225
mzee alute aliniambia lissu alipozaliwa hakukua na mvua kubwa zilizoambatana na radi kama wengi wanavyotaka kuamini. well, angekuwa hai angeshangaa kuona vitu vilivyoambatana na hukumu ya mchongo dhidi yake: kuzimwa kwa intaneti na umeme, na kunajisiwa kukubwa kwa mahakama!
5
112
1
656
11,128
Nerst retweeted
“Sheria inapotaja adhabu ya faini au kifungo, ni lazima kwanza itoe adhabu ya faini. Huu ni msimamo wa kisheria.” “Mkinipa maximum sentence itakuwa ni ushaidi kuwa mmeelekezwa.” Soma kwa sauti ya LISSU ndio utapata vibe😄
13
202
5
1,625
34,447
Tumshukuru Mungu sana kwa maisha ya Tundu Lissu. Mwaka na miezi nane iliyopita umekuwa wa kujitoa mhanga kwa ajili ya nchi yetu. What a Man!!
26
339
4
1,607
18,621
Because nobody really cares anyway
Why do Men pretend that they are ok ???
204
12,833
192
70,797
1,102,004
💔💔💔 binadamu wanapanga Mungu nae anapanga, Hakika mipango ya Mungu ni mizuri mno ngoja tutaona.
8
24
2
67
878
Nyundo 4 Kwa Kosa Ambalo Hujashitakiwa Nalo. Mungu Wetu Halali Wala Haendi Likizo. TUTAFIKA.
31
164
1,223