daudi mboma retweeted
Heartfelt gratitude for sponsoring #STICE2024! Your support is a cornerstone of Science,Technology, Innovation and collaboration as we drive forward towards a brighter, tech-powered future.
Thank you for believing in the vision!
@WBTanzania @vetatanzania @CRDBBankPlc @tanzaniaportshq @Funguo_Tz @eGA_Tanzania @UNICEFTanzania @WIPO @UNCDF @TTCLCorporation
#Gratitude #Partnerships
daudi mboma retweeted
#STICE2024 UPDATES:
Kwa kipindi cha Miaka mitatu 2021 mpaka 2024 Serikali imetoa zaidi ya Shilingi Bolioni 32 ili kunufaisha miradi ya Utafiti na Ubunifu nchuni.
Hayo ameyasema Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko wakati wa Ufunguzi wa Kongamano la Tisa la Wanasayansi, Watafiti, na Wabunifu la #STICE2024 lililoanza leo Desemba 2 hadi 4, 2024, katika Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Julius Nyerere, Dar es Salaam.
#MamaYupoKazini #Tanzanialnnovation #MamaKatekeleza
daudi mboma retweeted
Mkurugenzi Mkuu wa Tume ya Taifa ya Sayansi na Teknolojia (COSTECH), Dkt. Amos Nungu, amesema tume hiyo imeendelea kufadhili tafiti na ubunifu katika sekta mbalimbali kama kilimo, afya, na elimu kwa lengo la kutatua changamoto za kijamii.
COSTECH pia imekuwa kiunganishi kati ya wabunifu na taasisi zinazosaidia kuendeleza ubunifu, ikiwapa msaada wa kitaaluma na kukuza mawazo yao.
Amesema hayo Novemba 22, 2024 katika kikao kazi kati ya taasisi hiyo na wahariri kutoka vyombo mbalimbali vya habari nchini kilichofanyika katika ukumbi wa mikutano wa COSTECH jijini Dar es Salaam.
Dkt. Nungu amebainisha kuwa COSTECH imejikita katika diplomasia ya sayansi na kuimarisha ushirikiano wa kimataifa ambapo amesema hivi karibuni tume hiyo ilitembelewa na Waziri wa Elimu, Utafiti, na Ubunifu wa Uswisi, ambaye alijadili masuala ya elimu ya amali, utafiti, na ubunifu.
Katika jitihada za kukuza sayansi na teknolojia, COSTECH imeandaa kongamano kubwa la kitaifa litakalofanyika tarehe 2-4 Desemba 2024, katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Mwalimu Julius Nyerere, Dar es Salaam.
Kongamano hilo litawahusisha wabunifu, watafiti, watunga sera, na wafanya maamuzi, likiwa na kauli mbiu “Matumizi ya Sayansi, Teknolojia na Ubunifu katika Kuhimili Mabadiliko ya Tabia Nchi na Maendeleo ya Uchumi Shindani.”
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan, anatarajiwa kuwa mgeni rasmi ambapo pia ataongoza uzinduzi wa mfuko wa TZS bilioni 2.3 kwa ajili ya wabunifu na kutoa shilingi bilioni 6.3 kwa watafiti mahiri. Aidha, atakabidhi hundi kwa timu 19 za watafiti walionufaika kupitia ubunifu wa kisayansi.
Kwa upande wake, Mkurugenzi wa Usimamizi wa Maarifa wa COSTECH, Dkt. David Mboma, amesema tume hiyo inaratibu na kuhamasisha shughuli za sayansi, teknolojia na ubunifu nchini, akisisitiza umuhimu wa vyombo vya habari katika kusambaza taarifa za kisayansi kwa jamii.
Dkt. Mboma amebainisha kuwa waandishi wa habari ni kiungo muhimu katika kueneza maarifa yanayohamasisha maendeleo ya kisayansi na kiteknolojia.
Naye Mwenyekiti wa Jukwaa la Wahariri Tanzania (TEF), Deodatus Balile, ameunga mkono jitihada za COSTECH na kuitaka Serikali kuongeza uwekezaji katika sekta ya sayansi, teknolojia, na ubunifu, akitolea mfano mafanikio ya mataifa kama Brazil na China.
Balile amesisitiza kuwa sayansi haina mbadala, na maendeleo ya taifa lazima yajikite kwenye msingi wa kiteknolojia na kisayansi.
Kongamano hilo linatarajiwa kutoa mchango mkubwa katika kuboresha sera za kitaifa za sayansi, teknolojia na ubunifu, na kuendeleza juhudi za kukabiliana na changamoto za kijamii na kiuchumi.
daudi mboma retweeted
👋 Our latest #KidsOR & @smiletrain Scholar is Dr Lazaro Mboma.
Lazaro, who works at MUHAS in Tanzania, has covered a wide range of cases in recent months & we are delighted he's been able to provide life changing surgery to so many children.
Keep up the great work Lazaro! 💙
daudi mboma retweeted
Attending the closing ceremony of the 2nd Technical Education exhibition organized by @NACTE_Tanzania. GoH was Hon. Prof. Ndalichako, Minister MoEST. Congratulations to NACTE for a successful event and to @dar_dit for becoming the overall winner.
daudi mboma retweeted
Maonesho ya Pili ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi m.facebook.com/story.php?sto…
daudi mboma retweeted
It is absolutely exhausting trying to protect your need to feel right and superior to others;
Embracing the possibility that you might be wrong breeds open-mindedness, empathy, humility, and inner peace;
We are not always right, and that is okay.
daudi mboma retweeted
DODOMA. Mjumbe wa Bodi ya Ushauri wa Kitaalamu ya Kituo cha Umahiri wa Tehama (RAFIC) cha DIT, Jumanne Mtambalike ametembelea banda la DIT katika Maonesho ya MAKISATU 2021 muda huu na kuipongeza kwa bunifu nzuri zinazotatua changamoto katika jamii
True and effective-BLACK FRIDAY VIBES
@munirmdee @SiphoPaints @mbundub @VNgailo @allymodaSr @OutsearchGent @alicelvenich @squaregadget1 @Karuhawe @bajabiri
True and effective-BLACK FRIDAY VIBES
@munirmdee @SiphoPaints @mbundub @VNgailo @allymodaSr @OutsearchGent @alicelvenich @squaregadget1 @Karuhawe @bajabiri
True and effective-BLACK FRIDAY VIBES
@munirmdee @JaneDavidGonsa1 @Happy10856539 @SiphoPaints @mbundub @VNgailo @allymodaSr @OutsearchGent @squaregadget1 @Karuhawe
True and effective-BLACK FRIDAY VIBES
@munirmdee @JaneDavidGonsa1 @Happy10856539 @SiphoPaints @mbundub @VNgailo @allymodaSr @OutsearchGent @squaregadget1 @Karuhawe
daudi mboma retweeted
Mkemia Mkuu wa Serikali, Dkt. Fidelice Mafumiko, akisikiliza maelezo ya ubunifu wa mashine ya kupumulia (ventilator mashine) iliyotengenezwa na wanafunzi wa DIT. Wanafunzi Innocent Douglas na Aiche Rogers mwaka wa kwanza Diploma Biomedical engineering wakitoa maelezo.
daudi mboma retweeted
Mtaalamu wa TEHAMA, Ombeni Mnzava akielezea kifaa Cha ukusanyaji takwimu za hali ya hewa (Automatic Weather Station) kilichobuniwa na kutengenezwa na Taasisi ya Teknolojia Dar es Salaam kupitia Mradi wa WIMEA-ICT katika maonesho ya 44 ya Kimataifa jijini Dar es Salaam.
No child should be left behind...... @ Mabibo, Dar Es Salaam, Tanzania instagram.com/p/ByxNky5H1mDR…
daudi mboma retweeted
Are you in #Milwaukee on 20th July? Join us for fantastic family friendly fun and help us support vulnerable kids in Tanzania. Help us provide a quality #education transforming some of TZ's most kids' lives: m.facebook.com/events/434548…
daudi mboma retweeted
Tunapata faraja kuona mafunzo yetu ya ujuzi na maarifa ya ujasiriamali tuliyotoa kwa kikundi cha kina mama cha @HouseofBlueHope yanafanyiwa kazi na wameanza biashara yao ndogo ya kuuza juice ya miwa. Tunawatakia kila la kheri na tutakua nao bega kwa bega kuona wanatimiza malengo.
































