Revaycolizer retweeted
Ukiwa na duka lenye bidhaa nyingi, lazima unajua hii: mteja anauliza bei, mfanyakazi wako anakupigia simu, wewe uko busy, mteja anaondoka.
So nimetengeneza beibook ๐: daftari la bei kwenye simu yako na ya kila mfanyakazi wako. Ukibadilisha bei mara moja, kila mtu anaiona papo hapo.
Ni bure kwa sasa โ beibook.app
@gabyconscious boss, hii itakufaa sana kwenye kazi zako coz najua unauza electronics, na una bidhaa nyingi na bei zinabadilika kila siku. Ningependa kusikia maoni yako mkuu ๐
Request Repost ๐งต
@0x0256 @99Zaburi @anon_codex @StanleyMasinde_ @Issa_Ally_Mdoe @revaycolizer @DadyUtenga @TOTTechs @NjiwaFLow @kimjisena @mafolebaraka @makeleletech @iamdastani @Kibali02 @ankkala @salymdev @Neville983 @Abuumaryami_008 @j_kalebu @gregootz_ @Lonerx_znz @elisha_bulalu @Benji_Fernandes @EsirEid
Revaycolizer retweeted
Tarehe 22 Mei 2026, niliweka post hapa nikiuliza kama kuna mtu ana MikroTik router ambayo ningeweza kuazima. Sikutaka kununua โ nilitaka kuazima tu. It was for our final year project, Ndio hivyo hii project ilianza.
Leo, it's a working WiFi Billing System, na ni Final Year Project yetu pale @udomtheofficial.
Inafanya nini: Huu mfumo unageuza MikroTik router yoyote kuwa self-service WiFi business โ customer analipa kwa mobile money, anaingia online mwenyewe, na mwenye biashara anaona kila kitu kwenye dashboard moja.
Mteja anajiungaje: kuna njia mbili za mteja kuingia.
1. Customer anaconnect, anapelekwa kwenye captive portal, anachagua package, analipa na M-Pesa / Airtel Money / Tigo Pesa / Halo Pesa, anapata mtandao ndani ya sekunde. Hakuna anayemhudumia.
2. Mwenye biashara anagenerate batch ya vouchers, anaziprint, anauza pale counter kwa wanaokuja na cash.
Njia yoyote ile, voucher code inatengenezwa na system, inafuatiliwa na system, na inaexpire yenyewe. Na taarifa zote zinaishia kwenye dashboard moja: nani yuko online, voucher zipi zimetumika, zipi bado hazijauzwa, na kiasi gani kimeingia leo.
The architecture: hapa tumetumia MikroTik hAP lite inayotumia RouterOS kama hotspot gateway โ hii router ni low entry, lakini tulinunua tulichoweza kumudu.
On the backend: Node.js inayoshughulikia vouchers, sessions, and reconciliation with the router + a MYSQL database.
Payment integration tumetumia Snippe (inamilikiwa na @NeuroTech_HQ ), ime-act kama payment layer ya mobile money na cards.
Ugumu wa hii project: sehemu kubwa ya hii project haikuwa coding. Ilikuwa networking, issues kama subnet mismatch iliyokuwa cancel kila request kimya kimya kwa siku 4 mfululizo. Issues za firewall rules zilizofanya kazi kwenye router moja na kuvurugika kwenye nyingine. Issue nyingi zilikuwa networking.
Dashboard ilichukua siku kadhaa. Lakini networking ilichukua wiki kadhaa.
Shukrani kubwa kwa Joe (@tzniceguy) โ router unayoiona kwenye hizi picha ipo kwa sababu yake. Asante sana. (tzniceguy.vercel.app)
Na kwa team iliyojenga hii pamoja nami: @Jovination_ , Plensia Lukosi, Pili Sona, na Juma Mzingwa. Tulipitia mengi.
Kama una hoteli, hostel, cafรฉ, apartment block au ISP ndogo na bado unauza internet kwa vocha za karatasi na WhatsApp group โ hii ndio alternative yako.
Lakini kitu ambacho sikutegemea kukigundua nikiwa nai-develop hii project: hii system sio product ya hoteli tu. Ni ya mahali popote watu wanakaa na wanapo wanasubiri.
Stendi. SGR. Hospitali. Library. Banking halls. Lodge.
Popote penye foleni, au watu wanapo kaa kuna watu wako tayari kutoa elfu moja bila kusita ili wa-enjoy wakati wana subiri โ na kuna mwenye jengo ambaye hakusanyi hata shilingi moja kati ya hizo na anatoa WiFi ya bure.
Waiting time ndio kitu pekee kila sehemu inauza bure.
Kama hilo ni jengo lako, let's talk. Natengeneza vitu kama hivi. DMs wazi. ๐ฉ
Checki Kazi zangu nyingine: patrickpaul.co.tz
Req->Repost ๐งต
@0x0256 @99Zaburi @ShijaDenis @EsirEid @anon_codex @gabyconscious @Issa_Ally_Mdoe @revaycolizer @DadyUtenga @TOTTechs @NjiwaFLow @kimjisena @mafolebaraka @makeleletech @Kibali02 @ankkala @salymdev @Neville983 @Abuumaryami_008 @j_kalebu @iamdastani @gregootz_ @Lonerx_znz @elisha_bulalu
Revaycolizer retweeted
Replying to @gabyconscious
Chochote kinacho guswa na computer software, kinaweza kikafanywa na AI, hakuna anaye bisha.
Ila brother, hear me out
Kujua CODING ndio ilikuwa tatizo, as of now kuwa coder/programmer ndo uko kwenye hatihati ya kuwa replaced, watakao baki ni wale ambao hawajisumbui na Coding kaka...
Trust me, software engineering was never about writing codes, ilo ilikuwa part of it (na tena a friction kwasababu you had to type out the codes and become really good at syntax writing.
Na hicho ndicho AI inafanya sasa.
Ila software engineering, Ni more about system thinking my brother.
You wanna build something, you have to fully understand how to do it.
Wewe undhani kujua HTML na Javascript ndo wewe ni Software Engineer ๐๐๐
Abeg...
Overseer is designed for operators who need visibility into their AI systems. Every operation is traceable, every decision is logged, and every output can be reviewed.
Think of it as mission control for your AI operations: the place where routing, supervision, tool execution, workflows, and evidence all stay visible instead of disappearing behind a black box.
overseer.aimsoftwares.com/
#llm #ai #technology #tadc
Unlike simple AI chatbots or basic agent runners, Overseer provides a complete orchestration layer for AI operations. You can design complex workflows, assign supervisors for quality control, configure planners for task decomposition, and inspect every execution trace.
Revaycolizer retweeted
Na hii ndio Ofisi yangu kwa sasa.... ๐
โจ๐ฏ
Ni kupika tuu mpaka mida mibovu.... ๐จ๐พโ๐ป
โDear client,
I'm available for work, njoo tufanye kazi, njoo tu-build something real. I am a Software Engineer โ
โCheck out more on my portfolio: patrickpaul.co.tz
โ#Repost #TechTwitter
Revaycolizer retweeted
FINALLYYYY ๐ฅณ๐ฅณ๐ฅณ
I'm done with this Master Piece!!!
It's been quite a journey, but nimemaliza.
Ladies & Gentlemen... The iPF Meal System. โจ
Revaycolizer retweeted
Kuna apps & platforms zimefungiwa hapa Tanzania ๐น๐ฟ, including Telegram & ๐.
Shida nkwmaba currently nafanya kazi on both of those platform.
VPN inahitajika ya uhakika... But ni changamoto
So I built my own VPN instead of paying or blindly trusting one.
Thread... ๐งต
Revaycolizer retweeted
Hiyo AI ya Google (NANO BANANA ๐)
ITENGWE ๐ฅ๐ฅ๐ฅ๐ฅ
Thread ya jinsi ya kutengeneza picha kama hivi๐งต
Revaycolizer retweeted
Nisapoti.com: The Good, The Bad, The Ugly
Okay, let's do this, so nimecheck hii platform mpya, Nisapoti, and I must say, ina potential kubwa kwa creators hapa TZ! If you donโt know, ni kama Patreon ya bongo where fans wanaweza kuwatip favorate creators wao.
Thread ๐งต
DataDisplay version 1.0.4 comes with a tons of features giving you a lot of more control on how you can switch from dropdown action buttons to view data as modal or to view data using link #php #doctrineorm #packagist
DataDisplay class is a dynamic PHP data table renderer built with Sweet Alert and Bootstrap. In earlier version it supports either classes or just using doctrine #doctrineorm #PHP
packagist.org/packages/revayโฆ
Revaycolizer retweeted
1 yr ago, I built cpage.co.tz to solve "university assignment" coverpage creation & "nearby stationery shops" printing issues. ๐
Posted on TikTok & it blew up. ๐
Been a wild, blessed ride so far and I am grateful! ๐
Devs, pls check it out & share! ๐ฅ๏ธ๐ค๐ฅ๐ค
Building android Apps has never been this easy @dioxuslabs
New version enabled deleting files from Dropbox @Dropbox, upload file to supabase storage and also delete file from supabase storage @supabase
npmjs.com/package/revay-storโฆ
Updated now you can upload files using cloudinary and also Dropbox all the tough task I simplified it for you making you only focus on development
. Thanks for the downloads
npmjs.com/package/revay-storโฆ





















