Sam Amany (@sam_amany) header
Sam Amany (@sam_amany) profile picture

Journalist(Swahili News Anchor/Reporter) @Radio Maisha/KTN News Former News Editor @LuluFm, Malindi Former News Anchor/ Reporter@Radio Salaam,Msa

Nairobi
Joined July 2015
Photo by Sam Amany (@sam_amany)Photo by Sam Amany (@sam_amany)Photo by Sam Amany (@sam_amany)Photo by Sam Amany (@sam_amany)Photo by Sam Amany (@sam_amany)Photo by Sam Amany (@sam_amany)Photo by Sam Amany (@sam_amany)Photo by Sam Amany (@sam_amany)Photo by Sam Amany (@sam_amany)Photo by Sam Amany (@sam_amany)
Sam Amany retweeted
Siasa katika Kaunti ya Kisii ziligeuka vurugu Ijumaa baada ya mapumziko ya msafara wa vuguvugu la Linda Mwananchi kuishia ghasia na mapambano ya ana kwa ana. #KTNLeoWikendi
1
3
7
3,284
Sam Amany retweeted
Katibu Mkuu wa COTU, Francis Atwoli, amemkosoa aliyekuwa Naibu Rais Rigathi Gachagua, akimwita kiongozi aliyepoteza mwelekeo na asiye na rekodi ya maendeleo. #KTNLeoWikendi
2
2
4
2,905
Sam Amany retweeted
Familia moja katika kijiji cha Mugutha, Juja, Kaunti ya Kiambu, iko katika majonzi baada ya jamaa wao wawili kutoweka katika mazingira ya kutatanisha. #KTNLeoWikendi
1
1
2
2,677
Sam Amany retweeted
Shughuli ya utambuzi wa miili ya waathiriwa wa ajali ya barabarani iliyotokea Ijumaa eneo la Nyanja imeanza katika Hospitali ya Londiani, Kaunti ya Nakuru. #KTNLeoWikendi
1
2
3
3,283
Sam Amany retweeted
President William Ruto: The government did not propose any of the taxes that were widely alleged. Specifically, there was no proposal to introduce taxes on freehold land or any land for that matter. There was no proposal to introduce taxes on mitumba, and there was no change to the rental income tax as alleged.
1
2
8
5,646
Sam Amany retweeted
Kitengo cha uchunguzi cha KTN kiligundua mtandao unaouza vitambulisho na stakabadhi muhimu kwa raia wa kigeni ndani ya idara ya usajili na uhamiaji, hali inayoibua wasiwasi mkubwa wa usalama wa kitaifa. #KTNLeoWikendi
2
16
4
15
1,366
Sam Amany retweeted
Gavana wa Murang'a Irungu Kang'ata sasa amejiunga na mrengo wa Linda Mwananchi, huku akiendeleza cheche dhidi ya serikali ya Kenya Kwanza. #KTNLeoWikendi
8
29
1,944
Sam Amany retweeted
Rais William Ruto amesisitiza kuwa ataendelea kutekeleza ajenda ya maendeleo aliyowaahidi Wakenya, akisema serikali yake inalenga kuimarisha maisha ya Wakenya licha ya ukosoaji kutoka kwa wapinzani wake. #KTNLeoWikendi
1
1
1
817
Sam Amany retweeted
Muungano wa upinzani umehitimisha ziara yake ya siku tatu eneo la magharibi mwa nchi leo kwa ibada katika Kanisa Katoliki la St. Mary's Kibabii, Kanduyi, kabla ya viongozi hao kuhutubia mikutano ya kisiasa maeneo ya Chwele na Naitiri, Kaunti ya Bungoma, na Kaunti ya Trans-Nzoia.
1
492
Sam Amany retweeted
Wasafiri na wamiliki wa magari kote nchini usiku wa manane wataanza kupata afueni, baada ya Mamlaka ya Kudhibiti Nishati na Petroli (EPRA) kutangaza kupungua kwa bei ya mafuta ya dizeli kwa shilingi 10, huku bei ya petroli ikishuka kwa senti 22 pekee. #KTNLeoWikendi
1
1
537
Sam Amany retweeted
Sekta ya elimu ilipata mgao mkubwa wa shilingi bilioni 781.5, ikiwa ndiyo sehemu kubwa zaidi ya bajeti ya taifa. Hata hivyo, nyuma ya takwimu hizo kuna changamoto za ufadhili zinazoendelea kuongezeka. #KTNLeoWikendi
1
530
Sam Amany retweeted
Ikulu chini ya Rais William Ruto imepigwa kurunzi baada ya ripoti ya Mdhibiti wa Bajeti kuonyesha ilitumia shilingi bilioni 11.6 katika miezi tisa ya kwanza ya bajeti ya mwaka 2025/2026, ikizidi matumizi yaliyotengewa. #KTNLeoWikendi
4
8
1,524
Sam Amany retweeted
Hatma ya washukiwa waliotiwa mbaroni kwa sakata ya kuagiza mafuta nje ya nchi sasa haijulikani, huku wakitarajiwa kufikishwa mahakamani kesho ili kusomewa mashitaka dhidi yao. #KTNLEO
2
3
968
Sam Amany retweeted
Wizara ya Kawi ililazimika kutumia mamlaka ya dharura na kupuuza mfumo wa kawaida wa uagizaji mafuta wa G2G baada ya kampuni kuu ya uuzaji mafuta iliyoteuliwa kushindwa kuwasilisha mafuta nchini. #KTNLEO
1
2
1,013
Sam Amany retweeted
Yajayo kwenye KTN Leo Wikendi! #KTNLeoWikendi
1
1
631
Sam Amany retweeted
Nabii Dkt David Owuor amejipata kwenye uchunguzi kufuatia madai ya miujiza ya uponyaji wakati wa mkutano wake wa mwisho wa mwaka uliofanyika mjini Nakuru. #KTNLeoWikendi
1
5
1,288
Sam Amany retweeted
Mwili mmoja umeokolewa kutoka kwenye mabaki ya jengo lililoporomoka katika mtaa wa South C, jijini Nairobi. #KTNLeoWikendi
1
1
1
807
Sam Amany retweeted
Maduka ya sare za shule humu nchini yanakabiliwa na changamoto ya kukidhi mahitaji ya sare za shule za Kidato cha 10 huku shule zikitarajiwa kufunguliwa Januari 12. #KTNLeoWikendi
2
2
584
Sam Amany retweeted
Rais William Ruto anaendelea kuimarisha vita dhidi ya mihadarati nchini, akiapa kuunda sheria kali za kukabiliana na wauzaji wa dawa za kulevya. #KTNLeoWikendi
1
1
678
Sam Amany retweeted
Rais wa Venezuela, Nicolas Maduro, na mkewe Cilia Flores, waliokamatwa, hatimaye walitua nchini Marekani usiku wa kuamkia Jumapili wakiwa chini ya ulinzi mkali wa maafisa wa vitengo mbalimbali vya usalama, vikiwemo vya kupambana na dawa za kulevya (DEA). #KTNLeoWikendi
1
2
1,130