WasafiTv (@wasafitv) header
WasafiTv (@wasafitv) profile picture

Official Twitter Page for Wasafi TV Channel | AZAM-411 | DSTV 296 | ZUKU-028 | STARTIMES-444 & 333 | COCONUT TV-20 | DodomaCable-113 Visit Our Website

Joined December 2017
Photo by WasafiTv (@wasafitv)Photo by WasafiTv (@wasafitv)Photo by WasafiTv (@wasafitv)Photo by WasafiTv (@wasafitv)Photo by WasafiTv (@wasafitv)Photo by WasafiTv (@wasafitv)Photo by WasafiTv (@wasafitv)Photo by WasafiTv (@wasafitv)Photo by WasafiTv (@wasafitv)Photo by WasafiTv (@wasafitv)
WasafiTv retweeted
2
36
WasafiTv retweeted
2
48
WasafiTv retweeted
JAZA ENDELEA PATA ! SAFARI NI YAKO ⛽️ Hakuna Tena Ku-Park Chombo Kwasababu ya Kuishiwa Mafuta ! Jisajili Sasa app.jazago.co.tz | jazago.co.tz au Piga *149*46*1# upate Mkopo wa Mafuta / ⛽️🏍️🚘 #JazaGo #JazaEndeleaPata
1
33
WasafiTv retweeted
Jisajili Sasa app.jazago.co.tz | jazago.co.tz au Piga *149*46*1# upate Mkopo wa Mafuta / Gesi kwenye Kituo Cha Mafuta Kilichopo Karibu Yako , Kisha uendeleee na MISELE ! Utalipa Baadae . ⛽️🏍️🚘 #JazaGo #JazaEndeleaPata
1
26
WasafiTv retweeted
Jisajili Sasa app.jazago.co.tz | jazago.co.tz au Piga *149*46*10# upate Mkopo wa Mafuta / Gesi kwenye Kituo Cha Mafuta Kilichopo Karibu Yako , Kisha uendeleee na MISELE ! Utalipa Baadae . ⛽️🏍️🚘 #JazaGo #JazaEndeleaPata
1
27
WasafiTv retweeted
Tunajaza ! TunaPata Na Kuendelea na Biashara ⛽️ Jisajili Sasa app.jazago.co.tz | jazago.co.tz au Piga *149*46*10# upate Mkopo wa Mafuta / Gesi kwenye Kituo Cha Mafuta Kilichopo Karibu Yako , Kisha uendeleee na MISELE ! Utalipa Baadae . ⛽️🏍️🚘 #JazaEndeleaPata
1
26
Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Foundation for Disabilities Hope (FDH), Maiko Salali, ametoa wito kwa Watanzania kuendelea kulinda na kudumisha amani nchini, akisisitiza kuwa amani ni msingi muhimu wa maendeleo na usalama wa makundi yote katika jamii, wakiwemo walemavu
2
1,129
CFAO Mobility na BOA kuwezesha Watanzania kumiliki magari mapya kwa kulipa asilimia 20 pekee Watanzania sasa wanaweza kumiliki magari mapya yenye kilomita sifuri kwa kulipa asilimia 20 ya thamani ya gari, huku asilimia 80 iliyobaki ikifadhiliwa na Bank of Africa Tanzania.
2
651
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais – Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Ridhwan Kikwete, amesema kuwa sekta ya bima ina nafasi muhimu katika kuchochea maendeleo ya kiuchumi, kwa kuwa ni nyenzo madhubuti ya kulinda biashara na uwekezaji dhidi ya hatari mbalimbali.
1
1
6
1,177
Katibu wa NEC, Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa CCM, Kenani Kihongosi amewatoa hofu wananchi wa Kaliua kuwa mambo yote yalioahidiwa na serikali kwa wanachi katika ilani ya uchaguzi ya 2025-2030 yatatekelezwa ikiwemo ujenzi wa Barabara ya Mpanda- Kaliua -Kahama.
3
1,035
Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Dkt. Moses Kusiluka, amesema nia ya Serikali ni kuona kwamba TEHAMA inafanya huduma za umma zinakuwa bora, zinapatikana kwa wakati, kwa uwazi na kwa usalama.
3
782
Katibu Mwenezi wa Chama Cha Mapinduzi CCM Taifa Kenan Kihongosi amewataka Watanzania wote bila kujali vyama vyao vya siasa kuungana kutunza amani ya nchi ambayo ni tunu na urithi ulioachwa na Waasisi wa Taifa.
1
682
Katibu wa NEC, Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa Chama Cha Mapinduzi Taifa, Kenani Kihongosi, amewasisitiza wakazi wa Kata ya Puge Wilayani Nzega kuwa wazalendo namba moja wa kulinda amani ya nchi, akibainisha kuwa amani ndiyo msingi wa maendeleo ya Taifa.
6
1
4
598
Katibu wa Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi Taifa, Itikadi, Uenezi na Mafunzo, Kenani Kihongosi ameanza ziara ya kukagua miradi mbalimbali ya maendeleo iliyotekelezwa na serikali ya awamu ya sita katika kipindi cha siku 100 za utekelezaji wa ahadi za Rais Dkt.Samia Suluhu
12
3
7
658
Viongozi wa serikali na taasisi za uvuvi kutoka nchi za Afrika Mashariki wameeleza kwa pamoja wasiwasi wao juu ya kuendelea kwa uvuvi haramu katika Ukanda wa Kusini Magharibi wa Bahari ya Hindi, wakionya kuwa meli kubwa za uvuvi hasa kutoka mataifa ya mbali .
4
358
Mhe. Abdallah Ulega amesema Serikali ya awamu ya sita imefanya mabadiliko katika sheria ya zabuni nchini ambapo kwasasa Miradi yote isiyozidi gharama ya Shilingi Bilioni 50 itafanywa na makandarasi wazawa ili kuchochea mzunguko wa fedha na kutoa uzoefu kwa Makandarasi wazawa.
1
2
8
756
Mkuu wa Wilaya ya Kahama Mhe. Frank Nkinda amekabidhi Hundi ya zaidi ya Bilioni moja kwa vikundi vya wanawake, vijana na watu wenye ulemavu fedha zinazotokana na asilimia 10 ya mapato ya ndani ya Halmashauri.
2
340
Waziri Prof. Kitila Alexander Mkumbo, amewasilisha Bungeni Jijini Dodoma Mpango Elekezi wa Maendeleo wa Muda Mrefu 2026/27-2050/51, Mpango wa Nne wa Maendeleo wa Taifa wa Miaka Mitano (2026/27-2030/31) pamoja na Mapendekezo ya Mpango wa Maendeleo wa Taifa wa Mwaka 2026/27.
2
305
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais - Mipango na Uwekezaji, Profesa Kitila Alexander Mkumbo, amesema kuwa dhima ya Mpango wa Nne wa Maendeleo wa Taifa wa Miaka Mitano (2026/27-2030/31) ni Mageuzi kwa Ajili ya Ukuaji wa Uchumi Jumuishi na Uzalishaji wa Ajira.
2
427
Waziri wa Ujenzi, Abdallah Ulega ameagiza kuanza utaratibu wa kuvunja mkataba wa kampuni ya ujenzi kutoka China ambayo imekuwa ikisuasua katika ujenzi wa barabara ya Omurushaka – Kyerwa yenye urefu wa kilomita 50.
1
5
567