Hoolio retweeted
Kitu inafanya Kenya tukk nyuma in Tech ni juu tu ya corruption. Morris Mbetsa a Kenyan Tech guy invented this technology for KPLC. As in the video, he showcased his presentations which problem he was solving. Hao cartels wako Kenya Power kama hawangekua sahii hata haungekua unaenda kwa jirani kueka tokens ati juu zako zimeisha. Haungekua unahitaji kukua na mainswitch ndio uzime stima yako. Stima ikipotea haikua inahitaji utoke nje uone kama kwa jirani kuna stima ndio ujue ni tokens ama ni stima haziko. Hizi vitu zote ungekua unafanya tu na simu. Hata sijui hizo 20 digits unaeka ndio upate tokens you could not even need that. All you need is just a smartphone and internet. And anything to do with your electricity ungefanya ukiwa any part of the world. Hii ni project yake to KPLC in 2020. 6 years later bado haijakua implemented juu ya corruption and those cartels in KPLC. Tag KPLC waone vitu wanawacha kuadapt in technology na kazi ni kutupea kitu inakaa remote ati anytime stima inapotea unafinya some digits ndio upate tokens. Hiyo ishapitwa na wakati. We need new technology


