Justine Limbe Jr retweeted
Replying to @16Limbe @MarekaMalili
Hawa watu sijui wanawaza nini.!
Misinformation
Justine Limbe Jr retweeted
Mafundisho: Sioni wapi Yesu alisema wapigwe risasi:
1. Love God
2. Love your neighbour as yourself
3. Forgive
4. Seek God's kingdom
5. Serve humbly
6. Repent and believe the Gospel
7. Be merciful.
8. Deny yourself
9. Pray consistently
10. Share the faith
Justine Limbe Jr retweeted
Mambo ninayaona katika roho yanatia hofu sana. Ombeni, ombeni. Narudia ombeni. Mengine siruhusiwi kuandika. Tunaweza kujuta miaka mingi ijayo.
Justine Limbe Jr retweeted
Niliona wamama wanaomboleza kwa ajili ya uchungu wa watoto wao, ndugu hawaoni wapendwa wao. Kilikuwa kilio na majonzi, itafanyika hata mchana. Bila woga wala kificho, hofu itatanda, watu wataomboleza kwa ajili ya wapendwa wao kwa siku kadhaa ndipo nuru itatokea ghafla. Mwenye
Justine Limbe Jr retweeted
Kwa wasioelewa dressing code ya Kanisa Katoliki: Rangi ya SHEREHE (Festive Colour) ni NYEUPE. ZAMBARAU na NYEUSI ni rangi za KUOMBOLEZA/TOBA.
Hivyo Padre kuvaa Kanzu nyeusi na Stola ya ZAMBARAU siku ya kuapishwa kwake ni kuonyesha hakuwakilisha Kanisa kwenye sherehe bali MSIBA!
Justine Limbe Jr retweeted
Ground Breaking Ceremony for Faru Graphite Project in Mahenge, Morogoro.
Hii ni kuashiria kuanza kwa shughuli za ujenzi wa mgodi wa madini ya kinywe huko Mahenge.
Sisi kama team @ASNLAdvisory tunaona fahari kwa mteja wetu kufikia hatua hii. Tunawatakia heri.
#LocalContent
Justine Limbe Jr retweeted
We issued this in 2024.
Come 2025, 3 mines are on the run at about USD 2Bn CAPEX.
Need a reliable Mining Sector Partner? Karibu @ASNLAdvisory
#LocalContent
#Procurement
#GovernmentRelations
#Audit
#duediligence
Justine Limbe Jr retweeted
Ukiamua kumkataa SHETANI mkatae na mambo yake yote sio unachagua vitu nusu nusu. Pombe hunywi ila ngono ndio balaa, kusengenya, uongo, dhulma na mengine mengi. Choices ni mbili tu either MOTO au BARIDI hakuna kuwa VUGUVUGU.
Justine Limbe Jr retweeted
Replying to @16Limbe @DadaConso
Feb 2020 ilikuwa Tsh 145
Jan 2021 ilikuwa Tsh 205
Jan 2022 ilikuwa Tsh 430
Jan 2023 ilikuwa Tsh 460
Jan 2024 ilikuwa Tsh 780
Justine Limbe Jr retweeted
Kwa wote walioamini wazo letu, tunawashukuru sana.
To all who believed in our idea, thank you
Justine Limbe Jr retweeted
More to the partners list for Women in Procurement Breakfast.
From an idea to reality, an @ASNLAdvisory initiative on GENDER BASED PROCUREMENT..
JOIN US wipsct.co.tz
Justine Limbe Jr retweeted
Replying to @simbahd @ASNLAdvisory
Join us to welcome BBC MEDIA ACTION, attendee
wipsct.co.tz
Justine Limbe Jr retweeted
A huge endorsement: The Procurement Board is fully supportive of the Women In Procurement Initiatives.
Join us: wipsct.co.tz
Justine Limbe Jr retweeted
Women in Procurement and Supply Chain Breakfast
An @ASNLAdvisory Initiative, Collaboration Announcement
Procurement and Supplies Professionals and Technicians Board (PSPTB)
Join us wipsct.co.tz. REGISTRATION closes soon.
Justine Limbe Jr retweeted
Women in Procurement and Supply Chain Breakfast
An @ASNLAdvisory Initiative, Collaboration Announcement
Knowledge Partner - Stanbic Bank
Join us wipsct.co.tz. REGISTRATION closes soon.
Justine Limbe Jr retweeted
Women in Procurement Breakfast - Unlocking Procurement Opportunities for Women.
An @ASNLAdvisory Initiative




































