
Mtanganyika | Mkulima | Polygamist |Afisa Ubashiri | Beer & Bebez | Babu | Katikati ya usiku nitaamka nikushukuru 🙏🏿 #VituVyaPeponi #MatomboStyle⭐️
Matombo, Morogoro, Tanganyika
Joined November 2010
- Tweets232K
- Following542
- Followers71.6K
- Likes32.6K
Pinned Tweet
UKWELI MCHUNGU: Kama baba yako angeamua kukwambia mabaya aliyokuwa anafanyiwa na mama yako hiyo heshima unayompa mama yako leo wala usingempa. Mama zetu tunawaheshimu na kuwapenda kwa sababu tu baba zetu waliamua “kufa kiume” na mambo yao moyoni. Heshima kwa wababa/wanaume wote!!
NYANI MZEE retweeted
Replying to @jwise017
Kaka umeshatoka Magufuli City au ndio Mji wa Serikali — Dodoma?
NYANI MZEE retweeted
Ndugu wa tumbo moja; mmoja hata baskeli hana; mwingine uwani kwake yamepaki magari manne. Tuseme nini sasa kuhusu maisha?















