Abel Alfred Kinyondo, Ph.D. (@AbelKinyondo) profile picture

Natural Resources| Economic Governance| Tourism| Political Economics| Gender| Microfinance| Public Health| God| Family| Football, in no particular order!

Dar es Salaam, Tanzania
Joined October 2014
Photo by Abel Alfred Kinyondo, Ph.D. (@AbelKinyondo)Photo by Abel Alfred Kinyondo, Ph.D. (@AbelKinyondo)Photo by Abel Alfred Kinyondo, Ph.D. (@AbelKinyondo)Photo by Abel Alfred Kinyondo, Ph.D. (@AbelKinyondo)Photo by Abel Alfred Kinyondo, Ph.D. (@AbelKinyondo)Photo by Abel Alfred Kinyondo, Ph.D. (@AbelKinyondo)Photo by Abel Alfred Kinyondo, Ph.D. (@AbelKinyondo)Photo by Abel Alfred Kinyondo, Ph.D. (@AbelKinyondo)Photo by Abel Alfred Kinyondo, Ph.D. (@AbelKinyondo)Photo by Abel Alfred Kinyondo, Ph.D. (@AbelKinyondo)
Abel Alfred Kinyondo, Ph.D. retweeted
SESSION 6: Critical Minerals and the Just Transition How can Tanzania harness its critical mineral resources while ensuring a fair, inclusive and sustainable transition that benefits all citizens? Moderated by Rajabu Mniama (HakiRasilimali), the session brings together experts to explore the opportunities, challenges and governance approaches needed to ensure critical minerals contribute to sustainable development and shared prosperity. Speakers: - Prof. Abel Kinyondo – Energy Expert, University of Dar es Salaam (UDSM) - Silas O’lang – Natural Resource Governance Institute (NRGI) #JukwaaLaUziduaji2026 #HakiRasilimali
5
6
131
Talk about a proper couple in town...Two great human beings!
Replying to @raiyajenerali
@raiyajenerali , najivunia sana kuwa mke wako!!! ❤️😘💕 Umejitokeza na kusimama kidete kuhesabiwa kudai haki, ukweli na uwajibikaji. Hapa hakuna uchawa chawa!!! Najivunia kwamba wewe si kama wale majaji wa Mahakama Kuu wanaouza utu na heshima yao kwa vipande thelathini vya fedha… Hao tuwaogope kama ukoma!!! Ni suala la muda tu. Tutarudi tulikotoka na kuwa tena taifa lenye utu na heshima, linalosimamia ukweli, ambako haki ni ya kila mtu na kila mwenye mamlaka anawajibika kwa wananchi.
46
Kwani umeacha kufanya 'Strategic Engagements?' Kila mtu afanye kazi zake, wewe endelea na Strategic engagements halafu waache akina Heche 'waendelee kufurahia' Lissu akibaki jela. Kila mtu afanye biashara au majukumu yake.
Mwenyekit Tundu Lissu amehukumiwa kifungo cha miaka minne kwa kosa la uchochezi ambalo, kwa mtazamo wangu, ni la kutengenezwa. Safari sasa ni kwenda Mahakama ya Rufaa, lakini tusisahau kwamba hata Mahakama ya Rufaa haiwezi kuwa mbadala wa dhamiri ya umma katika kutetea haki na kupinga matumizi mabaya ya mifumo ya dola. Mahakama ya rufaa ya Lissu haipaswi kuwa Mahakama ya Rufaa pekee. Inapaswa kuwa umma wote tunaohofia kwamba kesi hizi zinatumika kama njia ya kuwanyamazisha na kuwadhibiti wanasiasa wakosoaji. Hatari kubwa zaidi si kifungo cha Lissu pekee. Ni uwezekano wa kifungo kutengeneza mazoea hatimaye kuwa sehemu ya mfumo wa kawaida wa kudhibiti upinzani. Hapo ndipo tunapopaswa kuwa na wasiwasi. Leo hukumu imetolewa, lakini nchi inaendelea na shughuli zake kana kwamba hakuna jambo kubwa lililotokea. Kana kwamba ni mtu mwingine wa kawaida tu aliyefungwa. Hii ni ishara inayopaswa kutufanya tutafakari kwa kina kuhusu hali ya dhamiri ya jamii yetu. Watu wengi, wakiwemo wanachama wetu, tayari wako mahabusu. Tusipojiuliza kwa pamoja tunakoelekea, tunaweza kuamka siku moja na kukuta magereza yamekuwa sehemu ya kawaida ya maisha ya kisiasa ya nchi yetu. Uonevu hauzuiliwi na nguvu ya waliouonewa pekee, bali pia na dhamiri ya jamii inayokataa kuuzoea. Kukaa kimya mbele ya jambo linalogusa haki za msingi za binadamu kunaweza kuifanya jamii izoeane na hali ambayo kesho inaweza kumkuta yeyote kati yetu.
3
189
Sad day. A very sad day nchini. Hivi hakuna mwenye akili huko hata mmoja?😭😭😭
4
13
73
1,281
Walahi tusipokuwa makini, kuna siku, atakamatwa mtu na kushitakiwa kwa kosa la kumpa mkono wa salamu binti, na mahakama kumkuta hana hatia ya salamu ila ikamuhukumu kwa kosa la kubaka
99
Ni kweli Lema alisaidia sana uongozi wa sasa wa chadema kuingia madarakani. Lakini Lema anapaswa kuambiwa, in the absence of Lissu, Heche ndio top. Lema anapaswa kuona Lissu anamuamini Heche kuliko yeye na ilipofikia, na akienda CCM hakuna atakaeshangaa. Lema aache deko
1
93
Binafsi sijaweza kujua mantiki ya kutekana. Inatafutwa amani? Kutisha watu? Chochote kinachotafutwa, soo kizuri. Anaeshauri, anaepanga, anaetekeleza na anaefurahia haya, haipendi Tanzania. Hawa wanapaswa kulaaniwa kwa nguvu zote
58
Ukimsikiliza Balile, kisha ukamsikiliza Khalifa utagundua tatizo linaloikabili nchi hii. Watu wenye umri ulioendelea (ukitoa wachache kama mzee Warioba etc) ndio wanaowacheleweshea maendeleo vijana kama Khalifa. Huwa nasema heri kukaa kimya kuliko kumtenda Mungu dhambi ya unafiki
1
74
Abel Alfred Kinyondo, Ph.D. retweeted
The Citizen editorial cartoonist King Kinya, has died. He was renowned for his bold, thought-provoking cartoons, which used humour & satire to examine political, economic & social issues. His work often challenged those in authority and stimulated public debate.
2
10
771
Heche kaitwa mwizi wa tone tone hajaita press. Wewe kusemwa umeramba asali unaita press? Watakapojaa waandishi na keshokutwa uka-dominate front pages haitakuwa ushindi bali proof kuwa you are a sell out. Tunajua waandishi hawajagi bure wala space hotelini. Nani analipia press?
1
1
68
Japo nakiri kutoijua vyema CHADEMA, nahisi bila Lema, Lissu asingeupata uenyekiti na Heche asingekuwa makamu. Pia nahisi bila CHADEMA Lema atapotea kisiasa kama Freeman na kundi yake. Ni wazi Lissu, Heche, Lema na wafuasi wao wanahiitaji CHADEMA yenye nguvu kutoboa. Wajitafakari!
1
1
96
Abel Alfred Kinyondo, Ph.D. retweeted
Day three of ESKi took us into an important conversation on Local Economy and Benefit Sharing in the extractive sector. We explored how communities can meaningfully participate in and benefit from the resources within their areas, while strengthening local economic opportunities, inclusion, and sustainable development. A powerful reminder that responsible extractive governance is not only about what is extracted, but also about who benefits, how benefits are shared, and how local communities are empowered to thrive. A special thanks to Prof. @AbelKinyondo for facilitating this insightful session and sharing valuable knowledge and experiences with us. #ESKi2026 #HakiRasilimali
2
4
223
Imagine surprise ya Tundu Lissu kutolewa kolokoloni na kukabidhiwa ofisi ya Makamu wa Rais wa Jamhuri. Dunia itasimamia kwa muda aisee. Sema ndogo kama hizi hazitokeagi...
3
407
Ipo hivi. Kama kila Freeman anapotokea kwenye matukio anapewa airtime mpaka anaenda viral, nayeye kama bongofleva, bongo movie na machawa atakuwa anaachiwa in public kubadili upepo. Ni afadhali kuongelea Simba na Yanga kuliko Freeman. Mnampa umuhimu asioustahili.
1
4
202
Niwaulize mliosomea sheria @TitoMagoti. Hivi hawa wanaotoa maamuzi leo, iwe ni waendesha mashtaka au majaji, huko mbeleni wanaweza kutumia, 'shinikizo toka juu' kama excuse ya wao kuwa not guilty kwa wanayofanya leo? Naomba elimu
3
10
1
58
30,298
Kicheko cha Jusa kimeongea mengi sana leo
2
220
Abel Alfred Kinyondo, Ph.D. retweeted
Researchers @AbelKinyondo and Samson Mwalusamba from @AfricaExtractCM team presenting our research on critical minerals today
Panel Discussion: Artisanal and Small-Scale Mining (ASM) in Critical Minerals (3 Papers – Presentations) Session Moderator: Gibons Mwabukusi, @fadevtz Panel Speakers: Prof. Kiyondo Samson Mwalusamba Evans Rubara Dennis Nkwabi The panel discussion explored key issues, opportunities, and challenges surrounding Artisanal and Small-Scale Mining (ASM) in the critical minerals sector, highlighting pathways for responsible mining, improved governance, and inclusive participation in Tanzania’s mineral development. #ResearchSymposium
2
5
345
Ni wazi CHADEMA ina masalia ya Mbowe. Ni wazi pia baadhi ya wanasiasa wanaona vyama ni SACCOSS. Hawa ni wabaya kuliko CCM. Demokrasia ya nchi hii itakua tu, tukiondoa siasa kwenye vyama. Huu ni wakati sahihi kuwa na mgombea huru. Siasa ishikwe na wananchi sio kuhodhiwa na vyama
1
2
163
Kaa aina ya Bunge lililopo, nafikiri Ado Shaibu anastahili pongezi kwa uwakilishi wake. Kila bunge huwa lina star MP. Japo bado mapema, Shaibu anatoa taswira ya kuwa mbunge bora kwenye bunge hili. Ni matumaini yangu kuwa hatajichakachua
2
179
Kama ndio standard ya maadili ya civil service tuendelee na mambo mengine sio maendeleo
Kuna nguchiro wamechapisha namba yangu binafsi ya simu mitandaoni na kuanza kuhamasisha watu wanishambulie. Nataka kuwaambia huo ni upuuzi na ni uvunjaji wa Sheria. Ukiondoa watu wachache sana wanatuma meseji za hovyo, asilimia 99 wananitumia meseji za kunitia moyo na kueleza utayari wao wa kuilinda nchi yao dhidi wenye nia ovu. Wale wanaoeleza changamoto za ajira na mitaji ninawapa majibu na nafikisha kwa wahusika zifanyiwe kazi. Nguchiro na chawa wa nguchiro acheni kupoteza muda na rasilimali mkiporomosha matusi, tulieni na tuungane kujenga na kulinda nchi yetu.
1
160