Boom255 retweeted
“I still uses an iPhone 6 from over 10 years ago because I doesn't believe in upgrading something that still works”
~ Ice Cube
Ice Cube who's worth around $160M
Kwenye content za ishu za kidini kuna hii Comment maarufu “Takatifu Moja la Mitume”
Jmosi, Jumuiyani Tena🚀
Boom255 retweeted
#HABARI Mahakama Kuu ya Tanzania imefuta kisheria baadhi ya kanuni zinazoruhusu adhabu ya viboko shuleni, baada ya kuzitambua kuwa zinakiuka Katiba ya nchi kwa kukinzana na haki ya utu wa binadamu na uhuru dhidi ya adhabu za kikatili na zinazodhalilisha.
Katika uamuzi uliotolewa Novemba 3, 2026, kupitia usajili wake wa Dodoma, Mahakama Kuu imebatilisha Kanuni za 2, 3 na 6 za Kanuni za Elimu kuhusu Adhabu ya Viboko za mwaka 2002, zilizotangazwa kupitia Tangazo la Serikali Na. 294.
Jopo la majaji watatu, Amir Mruma, Hassan na Irene Musokwa, limebaini kuwa kanuni hizo zinakiuka Ibara ya 12(2) na 13(6)(e) ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, zinazolinda utu wa binadamu na kupiga marufuku adhabu za kikatili na zinazodhalilisha.
Kesi hiyo ilifunguliwa mwaka 2025 na Samweli Maduhu Mangu dhidi ya Waziri wa Elimu, kwa msaada wa Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC), kufuatia kifo cha Mhoja Maduhu, mwanafunzi wa kidato cha pili aliyefariki baada ya tukio la madai ya kuchapwa viboko shuleni.
Mhoja alifariki Februari 26, 2025, katika Shule ya Sekondari Mwasamba, wilayani Busega, mkoani Simiyu, baada ya kudaiwa kuchapwa na mwalimu kwa kushindwa kukamilisha kazi ya kikundi ya somo la Jiografia. Inadaiwa kuwa alipigwa sehemu mbalimbali za mwili, ikiwemo kichwani, alipokuwa akijaribu kujikinga, huku wanafunzi wengine waliokuwa hawajakamilisha kazi hiyo pia wakiripotiwa kuadhibiwa.
#EastAfricaTv #TogetherTunawakilisha
Madalali wa Mlimani pale wenye mguu kwa mguu wamegoma ni mwendo wa kurequest au nenda na usafiri wako
Boom255 retweeted
Idadi ya wanawake kukaa peke yao bar bila Wanaume na kulewa inaongezeka kwa kasi sana.
Ukitaka kujua Wanakwaya ni wakali muda watizi hata kama mzaha mzaha umetamda muda huo akatize Paroko
Boom255 retweeted
Kwaajili ya mateso makali ya bwana wetu Yesu Kristo, Utuhurumie sisi na dunia nzima 🙏











