𝐁𝐫𝐚𝐢𝐧_𝐏𝐫𝐨💣 (@Brain_Pro63) profile picture

𝐄𝐯𝐞𝐫𝐲𝐭𝐡𝐢𝐧𝐠 𝐢𝐬 𝐚𝐛𝐨𝐮𝐭 𝐌𝐚𝐧'𝐬 𝐥𝐢𝐟𝐞 ✌️

Dar es Salaam, Tanzania
Joined November 2023
Photo by 𝐁𝐫𝐚𝐢𝐧_𝐏𝐫𝐨💣 (@Brain_Pro63)Photo by 𝐁𝐫𝐚𝐢𝐧_𝐏𝐫𝐨💣 (@Brain_Pro63)Photo by 𝐁𝐫𝐚𝐢𝐧_𝐏𝐫𝐨💣 (@Brain_Pro63)Photo by 𝐁𝐫𝐚𝐢𝐧_𝐏𝐫𝐨💣 (@Brain_Pro63)Photo by 𝐁𝐫𝐚𝐢𝐧_𝐏𝐫𝐨💣 (@Brain_Pro63)
Wewe Cheka Tu....SEMA naombeni mnifollow Baki wanangu! Hapa ni text tu sidhan kama ntarudia kushiriki dhambi alizofia Yesu!😭😭 @Brainpro36
😂😂😂kuna mwanangu account yake imeeenda kisa huu mzigo Nmecheka sana dah🤣🤣🤣🤣🙌
13
10
62
24,506
𝐁𝐫𝐚𝐢𝐧_𝐏𝐫𝐨💣 retweeted
Sema mwanetu Ashrafu Hakimi, alitusanua mapema.. Saivi wachezaji wengi wanakaa kitaalamu sana😁.
23
12
282
11,239
𝐁𝐫𝐚𝐢𝐧_𝐏𝐫𝐨💣 retweeted
Ufalme wa account ndogo ndogo zote ni wangu, 1-3k njoeni dm😁😋🤌
4
18
1
68
1,968
𝐁𝐫𝐚𝐢𝐧_𝐏𝐫𝐨💣 retweeted
Sijui kwanini nikiwa na 50M pale CRDB huwa naona kama kila mwanamke ni wa class yangu.
13
25
2
60
1,800
𝐁𝐫𝐚𝐢𝐧_𝐏𝐫𝐨💣 retweeted
Ukipiga mswaki baada ya kumaliza kusugua meno, weka dawa kidogo kwenye ulimi na paa la juu kisha sugua ulimi wenyewe. Utatema bonge la mlenda.
11
35
243
19,110
𝐁𝐫𝐚𝐢𝐧_𝐏𝐫𝐨💣 retweeted
11
21
48
1,146
𝐁𝐫𝐚𝐢𝐧_𝐏𝐫𝐨💣 retweeted
wanaume wameaminishwa kisaikolojia kwamba wao ndo wanahitaji zaidi sex kuliko wanawake. hiyo imewapa wanawake nguvu kubwa mno ya ku manipulate wanaume, upo tayari ufanye kazi siku nzima uchomwe na jua ili jioni umpe hela uyo mwanamke ndo upate sex. wewe ni fala kabisa.
23
32
90
2,151
𝐁𝐫𝐚𝐢𝐧_𝐏𝐫𝐨💣 retweeted
kuna demu nilimuomba namba jumatatu nimepanga kukutana nae weekend nimtongoze, i wish nikimtongoza anikatae niendelee na mambo yangu mengine🤝🏾😅
23
29
1
201
8,629
𝐁𝐫𝐚𝐢𝐧_𝐏𝐫𝐨💣 retweeted
Kimasikhara facebook itanipa mke walahi 😂😂😂🙏🏾🙌🏾
41
18
2
170
7,626
𝐁𝐫𝐚𝐢𝐧_𝐏𝐫𝐨💣 retweeted
""Unajua umenipoteza muda wangu bure, unge nambia mapema kama huji ili niendelee na shughuli zangu"" 😂😂 shughuli gani wewe, pumzika bro
26
50
2
194
4,481
𝐁𝐫𝐚𝐢𝐧_𝐏𝐫𝐨💣 retweeted
BRO TO BRO Don't waste your strength on women,in those who ruin king's". Proverbs🥷
2
5
6
122
𝐁𝐫𝐚𝐢𝐧_𝐏𝐫𝐨💣 retweeted
Sema wanawake wanazingua sana muda mwingine! Demu unamtext kila meseji yako anaijibu baada ya saa au NUSU saa. sometimes anakwambia yeye sio kazi yake kushika simu hovyo,which means wewe kiherehere. But,akiwa ana shida Sasa,every text replayed for 0.5X speed. Huu ni u🍑🚮
4
10
1
23
1,245
Sema wanawake wanazingua sana muda mwingine! Demu unamtext kila meseji yako anaijibu baada ya saa au NUSU saa. sometimes anakwambia yeye sio kazi yake kushika simu hovyo,which means wewe kiherehere. But,akiwa ana shida Sasa,every text replayed for 0.5X speed. Huu ni u🍑🚮
4
10
1
23
1,245
𝐁𝐫𝐚𝐢𝐧_𝐏𝐫𝐨💣 retweeted
Mi hamna watu wanaonishangazaga kama wanaotafuta acc afu unataka uikute na engagement uuziwe kwa bei ya nyanya Mara uikute na followers ila haina engagement unataka uchukue kwa hela ya nyanya, why not build that account from scratch yoself na hiyo engagement kwanini usitafute mwenyewe?! Yani nani akutafutie followers akutaftie na engagement?!😂 WHO ARE YOU?!😂 Watu tunapost kama wehu kutafuta hizo engagement let alone hao followers afu we unataka tu ukute account ishakua marinated uanze kubargain bei unayotaka sio?! TUTAKUWEPO😂🫵
7
23
59
1,858
𝐁𝐫𝐚𝐢𝐧_𝐏𝐫𝐨💣 retweeted
Hivi kwenye hii dunia iliyojaa wanawake wa kila aina, inawezekana vipi unaanza mwaka ukiwa Single na kumaliza ukiwa Single?🤔 . Binafsi sijawahi kuwa single toka mwaka 2015😅. Nb:nikiwa natongoza nipo single ✅
You started this year single and you’re ending it single again.😔💔
16
16
2
36
1,600
𝐁𝐫𝐚𝐢𝐧_𝐏𝐫𝐨💣 retweeted
Process ya kusubiri mwenye ela ni ndefu we uza mwanetu 🌚😒 – at Dar es Salaam, Tanzania
Mnaoana vizuri tu mnaanza maisha mna saportiana mnavumliana vzuri kabisa baadae men anakuwa na pesa zake sababu ikiwa upendo na uvumilivu wako piah juhudi ya pamoja then upendo unaisha na chanzo ni men. Mimi njoo na pesa tuoane no dissection.
14
8
35
2,019
𝐁𝐫𝐚𝐢𝐧_𝐏𝐫𝐨💣 retweeted
Kosa kubwa alilifanya Marioo kuhusu msanii wake ni kushindwa kutumia ule muda walitoa nyimbo inaitwa 2025 wakati ule wabongo walikua washamkubaki yule msanii itakua ngumu sana Kuja kupata tena attention ya wabongo.
6
17
50
783
𝐁𝐫𝐚𝐢𝐧_𝐏𝐫𝐨💣 retweeted
Huyo mtoto mwanetu Davis anaenda kumlea vipi😀.
17
25
70
2,355
𝐁𝐫𝐚𝐢𝐧_𝐏𝐫𝐨💣 retweeted
Kuna Mzee Hapa Kwenye Dala Dala,Anamwambia Mtoto Wa Chuo Cha CBE Soma Usidanganyike Halafu Mzee Ananiangalia Mimi.Sasa Mim Nimefanya Nini...?
11
23
44
892
Kuna askali hapo gogoni amegongwa na gari ya wagonjwa amefariki💔💔💔💔
42
25
4
343
22,752
𝐁𝐫𝐚𝐢𝐧_𝐏𝐫𝐨💣 retweeted
Nimemwambia kama nimemmiss kanijibu Kuna maisha baada ya nyege nimeumia sana😭😭
23
36
1
199
10,257