Dr. Sam retweeted
Leo nikikutana na post inasema tu kuhusu tarehe 29/10 nachapa repost yangu haraka sana.
Hatutasahau
Hatutasahau
💔🕊
Dr. Sam retweeted
Nimemsikia Asha Rose Migiro akisema CCM inastahili kuwajibika Kwa yaliyotukia Oct 29,30,31... Na nimemwelewa vizuri.
Dr. Sam retweeted
“Mom, who was Messi?”
"Son, he was the guy who made defenders fall over without touching them, won 8 Ballon d'Ors, completed football, and made an entire generation fall in love with the sport😭
Mom, who was Messi
Mom, who was Messi
Mom, who was Messi
Mom, who was Messi
Mom, who was Messi
Mom, who was Messi
Mom, who was Messi
Mom, who was Messi
Mom, who was Messi
Mom, who was Messi
Mom, who was Messi
Mom, who was Messi
Mom, who was Messi
Mom, who was Messi
Mom, who was Messi
Mom, who was Messi
Dr. Sam retweeted
Nimejifunza darasa kubwa sana kuhusu mkopo, Hivi kwa nyakati za sasa kuna mtu anaishi bila mikopo??
Dr. Sam retweeted
29.10.2025💔
Ni siku ambayo imenifanya nichukie kuzaliwa Africa.
REST IN PEACE NDUGU ZETU WOTE MLIOPOTEZA MAISHA SIKU ILE, we shall meet in heaven. 🕊
Dr. Sam retweeted
Hii siku ni ngumu sana kwa ndugu jamaa na marafiki waliowapoteza wapendwa wao 29.10.2025, Mungu wa Mbinguni aendelee kuwapa faraja ya kweli kwa wale wote walio sababishiwa maumivu makali siku hiyo.🙏
Dr. Sam retweeted
This match is bigger than El Clásico and the Champions League final put together.
Ensure your presence, y’all.
THIS IS THE NIGERIA VIEWING CENTER CIVIL WAR 😂🔥
Dr. Sam retweeted
Huyu ndiye muumini halisi wa UISLAM achana na wale wazee wa ubwabwa...
Asante sana Mufti.
Dr. Sam retweeted
MAREKANI: VIFO VYA UCHAGUZI TANZANIA HAVITAFAGILIWA CHINI YA KAPETI
Oktoba 29, 2026
Balozi wa Marekani nchini Tanzania amesema vifo vilivyotokea wakati na baada ya uchaguzi mkuu wa Oktoba 2025 havitasahaulika wala kufichwa, akisisitiza umuhimu wa uwajibikaji na majibu kwa familia zilizopoteza wapendwa wao.
Katika ujumbe wake wa leo, balozi huyo amesema jumuiya ya Ubalozi wa Marekani imeungana kuwakumbuka wote waliopoteza maisha katika vurugu hizo, pamoja na familia zinazoendelea kuomboleza na kutafuta majibu.
Kauli hiyo inarejea msimamo alioutoa mbele ya Seneti ya Marekani wakati wa kusikilizwa kwa uthibitisho wa uteuzi wake, akisisitiza kuwa suala hilo halitafagiliwa chini ya kapeti.
Kauli hiyo inaashiria kuwa matukio ya uchaguzi wa Oktoba 2025 yanaendelea kuwa sehemu ya mjadala kuhusu uwajibikaji, haki za binadamu na mustakabali wa uhusiano kati ya Marekani na Tanzania.
Hata hivyo, familia zilizopoteza wapendwa wao bado zinahitaji majibu kuhusu mazingira ya vifo hivyo na hatua zinazochukuliwa kuhakikisha uwajibikaji.
Ukipata muda kumbuka kuwaombea siku hii ya leo ameen🙏
































