Pinned Tweet
Hivi pale mteja na muuzaji wamemaliza mauziano ya bidhaa anayetakiwa kutoa shukrani ya ahsante ni mteja au muuzaji ?
PàChâ#1738 💫 retweeted
Kua mwanaume raha sana Ile moment umeshtuka usingizini usiku wa manane unatoka zako nje unawasha fegi yako huku ukitafakali future itakuaje wife na watoto wamelala ndani..🙌
PàChâ#1738 💫 retweeted
Ile video ya kale katoto cheupe (tattoo) mmeiona wakuu 😋 qmmke yule mtoto ana matako malaini kishenzi alafu laini mbili 🙌😃
PàChâ#1738 💫 retweeted
Jana nimekagua simu ya mpenzi wangu nimekuta kuna Jina kalisave " owner 🫀🔐" kufungua meseji zao wanachati kumbe ni sponsor wake anaishi zanzibar na juzi jumamosi walionana alafu hio siku alinambia anaenda kwa Shangazi ake kibaha 🥹💔🙌.
PàChâ#1738 💫 retweeted
Nimepitia comments za watu wanao post kuomboleza ndugu zetu waliouawa na wengine kudhulika na matukio ya October 29, 2025
Naona baadhi ya watu wanafurahia vifo na maumivu ya wengine kwa sababu tu wako mrengo tofauti niseme tu Mungu yupo
Uhai au mateso ya mwanadamu mwenzako hayapaswi kuwa shangwe kisa tofauti za kisiasa. Leo ni sisi kesho inaweza kuwa wewe au wajukuu zako
Tuwe na mioyo ya nyama na tutangulize ubinadamu kwanza, hakuna kitu cha thamani zaidi ya uhai duniani
PàChâ#1738 💫 retweeted
Oya jua uku street sio poa adi askali walio simama barabarani leo wametafuta vimvuli kupumzika oya hili jua lazima uache ndala qmmke 😁🙌🏿
PàChâ#1738 💫 retweeted
BRO TO BRO
Mjini hupendwi kwa maelezo au mlegezo unapendwa kwa vigezo tafuta pesa mkuu.
PàChâ#1738 💫 retweeted
Kila corner majonzi
Majonzi🥲🙌🏾
#29OCT🕊️
#Hatutasahau
PàChâ#1738 💫 retweeted
Akiona huna kazi anakupa ushauri ufanye nini ili utoboe, ukianza kufanikiwa ana kasirika. Sasa hii ni tabia gani mtu ana kuonyesha njia halafu anataka upotee.😣
PàChâ#1738 💫 retweeted
29.10.2025💔
Ni siku ambayo imenifanya nichukie kuzaliwa Africa.
REST IN PEACE NDUGU ZETU WOTE MLIOPOTEZA MAISHA SIKU ILE, we shall meet in heaven. 🕊
PàChâ#1738 💫 retweeted
Kwaio nikiweka 1m kwa Simba napata faida ya 150k+ ndani ya dakika 90 tu.
Kumbe biashara hata sio ngumu.
PàChâ#1738 💫 retweeted
Hii siku kuna mwaka tutaipa heshima yake inayo stahili endeeleni kupumzika kwa amani mashujaa wetu🕯️🕊️🇹🇿
PàChâ#1738 💫 retweeted
Mara ya kwanza kujiona nimekua nilitengeneza deal la 1.3million likatiki nikiwa na umri wa miaka 20 siku hizi najiona nimekua zaidi madeal ya hivyo siyapati ila naishi.
























