Ray Asel (@rayasel94) header
Ray Asel (@rayasel94) profile picture

Lutheran Church ✝️

Kilosa Morogoro, Tanzania
Joined February 2021
Photo by Ray Asel (@rayasel94)Photo by Ray Asel (@rayasel94)Photo by Ray Asel (@rayasel94)Photo by Ray Asel (@rayasel94)Photo by Ray Asel (@rayasel94)Photo by Ray Asel (@rayasel94)Photo by Ray Asel (@rayasel94)Photo by Ray Asel (@rayasel94)Photo by Ray Asel (@rayasel94)
This was the life changing signing. He made us believe we can compete @gabrieljesus9 ❤️
40
647
49
6,904
396,665
29 October 2025 ❤️
2
26
96
938
The King of Ugly goals
Gyökeres how did you manage to score from this position 😭
1
23
1,105
The Greatest Striker Ever played
Someone should commission a study on Harry Kane's tracking back.
5
2
52
1,852
Swali la Muhimu ni kwanini Mungu alimuumba Adam akiwa na Mboo wakati plan ya kumpa msaidizi ilikuja baadae?
Kwanini Mungu hakumtafutia Adam Msaidizi wa kiume?
19
7
4
117
15,175
We Got Fleetwooded 🥲 Thanks God siku hizi sina internet access most of the time
9
10
2
82
2,169
Jana nilimuona mpaka Manzambi anasikilizia Puto 😃
6
4
83
2,191
Wewe unahisi Salah alistahili Ballon D'or ya mwaka gani? 😂
Hao top 3 wenu wa puto hamna hata mmoja anamfikia prime Salah hizo tuzo ni uchafu kuzifatilia🚮
19
1
98
4,679
Na kama unaamini Mariam alikua Bikra na akapata mimba ya kumzaa Yesu Hiyo mimba ni Ya nani? Kwanini usikubali ni mwana wa Mungu sasa 😃
Kama Yesu(Issa a.s) Hakuwa na Baba ila ana Mama mnamwita Mungu, Vipi Adam ambaye hakuwa na wote hao yeye Tumwite nani?😁
9
1
23
3,720
Bonny >>> Hansi Flick
Basi tu sometimes makocha wana EGO, lakini hakukuwa na ulazima jana Barca kuwapress Madrid kuanzia juu (highline), kosa pia walilifanya dhidi ya PSG. Kwa timu kama Madrid ambayo ina passers kama Tchou, Arda Guler & jude, then ina runners kama Diomande & Mbappe. Kufanya highline unatakiwa kuwa sure 100% kwamba watautupa ule mpira. Ila huyu Mbappe yupo daraja la juu sana asee, akifyatuka kumpata ni ngumu sana 😂, ile position awareness yake kunusa maenek ya hatari ananikumbusha Edinsoni Cavani, Exceptional footballer
4
2
53
1,655
Uzuri mimi ni Arsenal
13
7
1
83
1,533
Huyu Rodri kibonge naye hakuna kitu
26
11
2
180
6,054
Sidhani kama kuna dhehebu lenye litrugia nzuri kama Lutheran Ikifika ile kipande mchungaji anasema “UTUKUFU NI WA MUNGU JUU MBINGUNI...” Hiyo uwa ni peak ya kuimba Litrugia unahisi upo mbinguni 😂
17
13
8
114
6,588
Tulianza kujenga timu pamoja nao Tukasajili wachezaji wenye umri mdogo ili tuanze moja wao wakawa wanavuta Varane, Ronaldo, Casemiro Ile project ilikufa, wakaanza nyingine hii ya wachezaji machaguo ya tatu 😃
United is so gone basi tu tutabishana hawa wanataka warudi on top kwa miujiza hawataki kupitia hatua za kujenga timu
5
5
55
2,054
Piga sana ndumbaa, gonga sana ramli, fukuza mapepo yotee LEO lazima tushinde, tucheze chachacha.. Mbumuuu 2 goals!! #GGMU
3
1
20
526
Vya bei chee ni midosho 😃
9
9
1
66
1,097
Looks like Casemiro was the system after all
2
3
84
5,659
😂😂🖕
🚨🌟 | There are people at #MUFC who believe Ayden Heaven and Leny Yoro will develop to be AS GOOD a partnership as Arsenal pair Gabriel and William Saliba. [@lauriewhitwell/@TheAthleticFC]
3
1
19
832
Dah Carrick asifukuzwe please 🙏
22
9
119
2,611
Watu wa Dar mnalalamika sana, Tanzania ni kubwa
Mimi kuna mambo yananishangaza sana, hope am wrong. Hii Dar nimetembea sehemu nyingi sana, Dar ni mji unaokuwa kila siku, Dar watu kila siku wananunua magari mapya. Kwanini kusiwe na utanuzi wa barabara kubwa za kimkakati?? Mfano barabara ya Ali Hassan Mwinyi hasa kuanzia mataa ya Ubalozi kwenda hadi Mwenge, kulitakiwa kuwe na Njia 3 kwenda na njia 3 kurudi bila kujali kuna mwendokasi au hakuna. Barabara ya Mandela road, hii ya kutokea bandarini mpaka Ubungo hii ilitakiwa kuwa na njia 3 kwenda na njia 3 kurudi. Hata hii ya kutokea mataa ya ubungo hadi mwenge ilitakiwa kutanuliwa. Barabara isiyo na msongamano mkubwa atleadt ni hii Nyerere Road.
3
1
19
1,394
Spurs are just that Good mzee 😃
Na nyumbu watatugonga tukicheza ufala kama wa leo huu, that was pathetic from Xabi.
4
3
63
2,106