ochola..🦅⚠️ retweeted
Help me and congratulate my workmate with a Bachelor's degree in Business Administration 🎓🙏♥️
ochola..🦅⚠️ retweeted
Oktoba 29 😥😥🤲
Mungu TUNAOMBA DAMU Zao zikawalilie waliohusika na Kuondoa Hatma ya Wapambanaji wetu..
HATUTASAHAU..🕯️🕯️
WAPUMZUKE KWA AMANI🙏🕯️
ochola..🦅⚠️ retweeted
Mbunge wa Kigoma Mjini, Clayton Revocatus Chipando, ameitaka Serikali kuangalia uwezekano wa kuongeza kiwango cha miamala ya fedha kupitia simu za mkononi kutoka Shilingi milioni 10 hadi milioni 50 au hata milioni 100, ili kurahisisha malipo na kuendeleza juhudi za kupunguza matumizi ya fedha taslimu Nchini.
Akizungumza leo Oktoba 29, 2026 Bungeni Jijini Dodoma, Chipando amesema Wananchi na Wafanyabiashara wamekuwa wakikumbana na changamoto ya kufikia ukomo wa miamala ya simu, hali inayowazuia kuendelea kutuma au kupokea fedha wanapofikia viwango vilivyowekwa na watoa huduma.
Akijibu hoja hizo, Naibu Waziri Mhandisi Mshamu Ali Munde, amesema Serikali inatambua umuhimu wa kuongeza viwango vya miamala ya fedha kwa njia ya simu ili kurahisisha malipo, kuchochea biashara na kupunguza matumizi ya fedha taslimu, hata hivyo, amesema mifumo ya malipo ina taratibu tofauti za usimamizi, utambuzi wa Wateja na usalama wa miamala.
“Serikali inatambua umuhimu wa kuongeza viwango vya miamala ya fedha kwa njia ya simu ili kurahisisha malipo, kuchochea biashara na kupunguza matumizi ya fedha taslimu.” Amesema Naibu Waziri. #MillardAyoUPDATES
ochola..🦅⚠️ retweeted
🚨 Bayern CEO Dreesen: “I'm 100% convinced that Michael will win the Ballon d'Or in his career”.
ochola..🦅⚠️ retweeted
Samia anasema alimuua huyu mtoto kwa risasi kwa sababu alijaribu kupindua Nchi💔
#MO29
🤖 Made with AI
ochola..🦅⚠️ retweeted
Media za bongo hata zikae kimya vp uzuri ni kwamba hazina influence kubwa Duniani kama BBC, CNN, Aljazera na nyingine nyingi. Lazima dunia itajua na itaungana na sisi kuwakumbuka makamanda wenzetu 💔🕊️
ochola..🦅⚠️ retweeted
"usinene ukamala"🕊️🕯️ waiting for "KARMA"
wakristo tuseme-AMINA
ndugu waislam tuseme-kheri
Tunao abudu mizimu tuseme-Tawile
ochola..🦅⚠️ retweeted
Mwanamke mmoja nchini Kenya, anayefahamika kwa jina la Roselyn Ashanti Mchuna, ameripotiwa kuwa katika hali ngumu kiafya baada ya kudaiwa kupewa sumu wakati wa sherehe ya siku yake ya kuzaliwa iliyofanyika Februari 14, ambapo pia ilikuwa ni valentine's day.
Roselyn, ambaye alikuwa akiendesha biashara mbalimbali za Airbnb, anadaiwa kuanguka ghafla wakati wa sherehe hiyo na kukimbizwa hospitalini, ambako alilazwa katika chumba cha wagonjwa mahututi (ICU) kwa miezi kadhaa.
Kwa mujibu wa taarifa zilizotolewa kuhusu hali yake, madaktari wanadaiwa kubaini kuwa amepata uharibifu wa asilimia 50 ya ubongo, hali iliyomfanya kupoteza uwezo wa kuzungumza, kutembea, kuona na kula mwenyewe.
Familia yake inadai kuwa iliripoti tukio hilo polisi kama jaribio la mauaji, lakini hadi sasa hakuna mtu aliyekamatwa kuhusiana na madai hayo.
Kwa sasa, Roselyn anaendelea kuhudumiwa na mama yake, huku familia ikiendelea kutafuta majibu kuhusu kilichotokea katika sherehe hiyo.
<<<<<
Aisee unaweza kukuta hapa ni rafiki alifanya hili!



































