Pinned Tweet
Moja ya dhambi kubwa na laana kwa binadamu ni kukatisha maisha ya mtu asiye na hatia hizi damu bado zinalia na zinahitaji haki
Mwanzo 4:9 (Biblia Takatifu):
Bwana akamwambia Kaini: “Yuko wapi Habili ndugu yako?”
Kaini akasema: “Sijui Mimi ni mlinzi wa ndugu yangu?”
Hii ni baada ya Kaini kumwua Habili (ndugu yake) shambani kwa sababu ya wivu,
Vunga retweeted
Special kumanina kwa wengine mnaotumia hii siku kama siku ya kupata engagement au impression za Elon.
Kumamae zenu, acheni maigizo.
Mtu unapost kitu na kuomba "repost" kabisa🚮🚮🚮
Vunga retweeted
🚨ADHABU YA JUA KALI NA MVUA YA EL NINO SABABU NI DAMU YA OCT 29:
Mwanzo 4:10
“Akasema, Umefanya nini? Sauti ya damu ya ndugu yako inanililia kutoka katika ardhi.”
Vunga retweeted
Hawa ni kama vampires anasaka damu za watanganyika! Akili zero! 🚮
Polisi, jeshi wenye silaha za moto watanda katika jiji la Dar es Salaam
bbc.in/4iqQ0x9
Vunga retweeted
Kuwa sahau ndugu zetu waliowazalendo na waliojawa na upendo ni dhambi kubwa mno oct 29 watu mashujaa kweli kweli
Vunga retweeted
Siku kama ya leo "29th Oct" maelfu ya watanzania wenzetu walipotez maisha💔
Tusiache kuwaombe huko walipo 😑🙏🏽 – at Mwanza, Tanzania
Vunga retweeted
Ilikua siku kama ya leo mwaka uliopita damu za watanzania wenzetu zilimwagika roho zisizo na hatia zilitoweka maumivu niliyonayo hayaelezeki zaidi ya kuziombea kwa MUNGU roho za Marehemu wote ziendele kupumzikaa kwa amani continue to rest in peace our champions 😢🕊️
#29.10.2025.
Vunga retweeted
🚨MASHUJAA OCT 29🕯🇹🇿🕊
Siku taifa liliwaua watoto wake.
Hamkuwa takwimu, mlikuwa na majina, na ndoto.
Mlitoka mkiwa hai, hamkurudi.
Damu yenu bado inalia.
Hatutasahau. Hatutanyamaza.
Vunga retweeted
29.10. 2025 ni siku ambayo hatutakaa tuisahau hata mara moja. 💔
Tulipoteza ndugu zetu ambao waliuliwa kifo cha kikatili sana kisichokuwa na hatia.
Mbaya zaidi waliohusika na mauaji ya ndugu zetu hawajawi wajibishwa.
Tunaamini ipo siku damu zilizomwagika zitalipwa 🙏.
#RIP
Vunga retweeted
Kusahau labda injection ya Sindano za kupoteza kumbukumbu, Tulisamehe ila bado hatujawahi kuheal,
A Quite Remembrace and Commemoration, Forever in our hearts 🕊 🕊 🕊 🕊 🕊 🕊 🕊 🕊 🕊 🕊 🕊 🕊
Vunga retweeted
October 29 ni tamaa za madaraka za watu wachache ziliondoka na roho za watu wenye ndoto na wazalendo wa kweli 🕯🇹🇿🕊
Vunga retweeted
29 OKTOBA...
Kuna siku zinaingia kwenye kalenda, lakini haziondoki kwenye mioyo ya watu.
Leo tunawakumbuka Watanzania wenzetu walioondoka, ndugu, watoto, wazazi na marafiki ambao mwaka mmoja uliopita walitoka nyumbani wakiwa na matumaini ya kuendelea na maisha, lakini hawakupata nafasi ya kurudi kwa wapendwa wao.
Nyuma ya kila aliyepoteza maisha kuna familia iliyobaki na pengo.
Mama anayemkumbuka mwanawe, mtoto anayemkosa mzazi wake na ndugu anayejiuliza kwa nini maisha yalibadilika ghafla kiasi kile.
Tunaweza kuwa na mitazamo tofauti, tukatofautiana katika mawazo na tukawa na njia tofauti za kuiona nchi yetu.
Lakini hakuna tofauti inayopaswa kutufanya tusione thamani ya uhai wa binadamu.
Nchi si majengo pekee, wala si mipaka inayoonekana kwenye ramani.
Nchi ni watu wake.
Tunapowakumbuka waliotangulia mbele ya haki, tuwakumbuke pia walioachwa nyuma wakibeba maumivu ambayo hayaonekani kwa macho.
Mungu awape pumziko la amani wote waliopoteza maisha, awatie nguvu familia zilizoachwa na wapendwa wao.
MAISHA YA BINADAMU YANA THAMANI.
TUSISAHAU. 🕊️





























