Brian Tech (@Brian_tech_) header
Brian Tech (@Brian_tech_) profile picture

1 TB🧠……………………………………………………………………MuLtIpUrPoSe MaChInE😎…………………………………………………………………………………………MaNcHeStEr__UnItEd__FaN c_O_n_T_e_N_t__C_r_E_a_T_o_R 📸

Tanzania
Joined November 2023
Photo by Brian Tech (@Brian_tech_)Photo by Brian Tech (@Brian_tech_)Photo by Brian Tech (@Brian_tech_)Photo by Brian Tech (@Brian_tech_)Photo by Brian Tech (@Brian_tech_)Photo by Brian Tech (@Brian_tech_)Photo by Brian Tech (@Brian_tech_)Photo by Brian Tech (@Brian_tech_)Photo by Brian Tech (@Brian_tech_)Photo by Brian Tech (@Brian_tech_)
𝗪𝗔𝗛𝗜𝗡𝗗𝗜 𝗵𝗮𝘄𝗮𝘁𝗮𝗸𝗶 𝘂𝗷𝘂𝗲 𝗦𝗜𝗥𝗜 𝗵𝗶𝘇𝗶 𝗭𝗮 𝗕𝗶𝗮𝘀𝗵𝗮𝗿𝗮 𝗶𝗹𝗶 𝘂𝘇𝗶𝘁𝘂𝗺𝗶𝗲 Hii pdf ina kurasa 6 🔥 Nakutumia sasa hivi inbox kwako Hakikisha 1. Umenifollow 2.Repost 3. Comment "Done"
235
184
3
247
25,040
Brian Tech retweeted
I appreciate mkuu🫡, Next time nipigie honi nitasimama tusalimiane na kuongea🤝
Leo katika matembezi nikakutana na chuma ya tajiri @amrisaly Tajiri siku ingine usitembee na mwendo mkali sisi wafuatiliaji wako tuna mengi ya kuongea na ww tunapokuona maana tunavitia na the way mnavotu insipre kumbana sio kwenye forex tu @amrisaly @Mike_IFX keep up brother
1
4
94
4,550
Brian Tech retweeted
Kiss or pass🥰🥰
1
1
4
267
Brian Tech retweeted
Where else in the world can you see this than in the @intelligencefx community?
2
5
1
50
3,475
FOREX Beginner To Pro Course GIVEAWAY Kwa lugha ya KISWAHILI Thamani ya course ni $1200 But nakupa Bure imagine COURSE INAZUNGUMZIA MAMBO YAFUATAYO 1. Forex trading ni nn? 2. Kinanani wanafanya forex trading ? 3. Wakati gani forex inafanyika? 4. Forex trading inafanyika wapi? 5 . Faida na Harasa za kufanya forex Trading? 6. Misamiati muhimu Kuhusiana na Forex Trading. EPISODE 9 ZA VIDEO NI NYEPESI NA ZINAELEWEKA HUNA CHA KUPOTEZA EVERYTHING IS FREE KABISA VIGEZO ILI UPATE COURSE FOLLOW ME, REPOST HII TWEET LIKE Kisha Dm Neno GUIDE Asante Sambaza iwafikie wengi
21
67
101
9,615
Brian Tech retweeted
I’M GRATEFUL🙏 Mwanzoni mwa 2025 nitapick followers watatu kat ya followers wangu niwape maarifa ya Forex Marketing kwa kujifunza Market structure methodology kwangu NB:Sina shida na pesa ya mtu Nitawapick wale nawaona wako na page mara nyng kwa ajl ya kujifunza Insha allah🙏
74
39
3
303
22,764
18 Timeless Lessons from the Book The Psychology of Money:
39
454
15
3,116
454,505
Brian Tech retweeted
Repost bila sababu.❤️😭
95
1,772
28
7,569
266,667
Brian Tech retweeted
Nawaambia ukweli mchungu... Kwa wenye MAONO (+ve minded):- WAHINDI ni watu muhimu sana watakao kufundisha maisha in negative way ili uishi vizuri in positive way Kwa wasio na MAONO (-Ve minded):- WAHINDI ni wanyanyasaji, hawafai hata kidogo. Ukitaka kampuni yako inyooke omba kufanya kazi na Muhindi then uwe na Positive Mentality. Utanishukuru siku moja.
22
34
3
294
22,819
Ila hii video ya Isha Mashauzi ni ya moto sana yani pale alivyoipekechea ila ni mtaalam kinouma Waimba taarabu kumbe ni mafundi hivi 😋 kama bado ujaipata nifollow then njoo Dm chapu tugawane hii Dhambi 🔥 Like an retweet
16
4
18
15,520
Uvivu Huua Malengo. Hasira Huua Hekima. Hofu Inaua Ndoto. Ego Inaua Ukuaji. Wivu Inaua Amani. Shaka Inaua Kujiamini. SOMA TENA📌
3
3
4
209
Brian Tech retweeted
Unafanya vitu kwa juhudi mpaka hata kila anaekuzunguka ana-notice dedication yako, Ila wewe kuna wakati unajiona bado hufanyi kitu au unahitaji kufanya zaidi, Hiyo ni dalili ya kwamba una malengo thabiti
5
18
186
5,363
Brian Tech retweeted
Ni rahisi kukuza account yako ukiwa na aina moja ya setup ambayo umei-master vyema, i mean ukiwa na AAA+ setups Kuliko kufahamu vitu vingi ambavyo hauna competence ya kutosha,
5
15
176
5,853
Brian Tech retweeted
Mwaka umebakisha siku 65 kuisha, Ukianza kuzitumia vizuri kila lisaa na kila leo, unamaliza mwaka kwenye nafasi nzuri then Mungu akijalia uzima 2025 itakuwa mwaka bora kwako I wish you all the best!!
11
21
251
10,316
Brian Tech retweeted
Unatengeneza pesa kiasi gani haina nguvu kubwa kama unatengeneza vipi pesa yako, Then unatengeneza vipi pesa yako haina nguvu kubwa kama unabaki na kiasi gani baada ya expenses zako, Lakini pia ukubwa wa hicho kiasi kinachobaki haina nguvu kubwa kama utaenda kufanyia kitu gani hicho kiasi, Ukiielewa hii formula na ukaweza kui-implement vizuri maisha utayaona marahisi, ya furaha na long term goals zako zitatimia, Watu wengi wanabaki masikini na kuishi maisha ya kawaida kwa sababu tu ya kushindwa kutambua 1. Unaweza kuwa una-earn amount nzuri monthly ila njia unayotumia inafanya unakuwa busy kiasi kwamba huwezi kufanya vitu vingine vya ukuaji nje ya kazi yako, amount unayoingiza leo inafanya unakuwa busy 5 years haito-ongezeka japo kwa mara mbili, mwezi usipotoka ndani mkono hauendi kinywani, au unakuta hata kama utafanya unachofanya kwa discipline kubwa kiasi gani kupata 20M labda ukope au ustaafu, 2. ⁠Income yoyote unatayo kuwa nayo kama unashindwa ku-save pesa hata asilimia chache hilo ni tatizo kubwa na unatakiwa kulitatua haraka sana, na tatizo hili mara zote linasababishwa kuwa na double standards - yani kipato hakizidi hata 1.5M unataka uwe unakaa nyumba ya 400k, uende gym ya 300k, uweke ulevi, pesa za ku-hang out na marafiki wasio wa maana, pesa za kuhonga watu watatu, uweke internet ya 100k na haikuingizii chochote, etc 3. ⁠Unakuta mtu unajibana, unaishi maisha ya ajabu, una-save pesa alafu unakuja kutumia pesa yote au asilimia kubwa kunua simu, kununua gari, kwenda holiday au kununua vitu vingine ambavyo vinakuongezea mzigo wa matumizi na haviingizi chochote instead ya kuanzisha biashra, kuwekeza kujifunza uzuri mpya, etc ⟶yani huwa nashangaa mtu una-save kununua simu ya 2M na huna uhakika hata wakuingiza 1M kwa mwezi, yote ni ili kuendana na speed ya watu wa social media na marafiki, hizi sio theories yani kama mimi nakumbuka account yangu ya bank ilikuwa imeshiba vizuri sana lakini nlikuwa napanda bolt, nilikuwa na uwezo wa kununua gari ya ndoto yangu ila nikatafuta IST used na bila kuhofia nani atanifikiria vipi nikaiweka na sticker ya IntelligenceFx kwa nyuma, Angalia namna yako unayotumia kupata pesa, then tafuta namna ya kuongeza namna nyingine ya tofauti japo moja Tafuta namna ya kupunguza matumizi yako, leo ungekuwa unapata nusu ya pesa unayopata bado ungeishi, Regardless ya unapata kiasi gani, low your standards na una-save, Tumia savings zako kufanya strategical investments, Then ndio tumia return ya investments kuwekeza zaidi, kujipa maisha na standards unazotaka, na kununua hizo liabilities
16
40
181
7,630
We fb @FatimaBlonko @BlonkoFatima @Clinton_343 @muridhidun @Apostle_Kjna @engemma8 @AmosMuigai20 @SubodhK12190159 @1shelbycompany @BhojaramBe51288 @Dhyankaga @RasimArsla27704 @leumas_nathan @geenow_jereh @UstusUasasira @DonaldPrezi @saaw50 @Rosy_Myles @SukainaSofyan Add
31
11
27
555
Brian Tech retweeted
Side hustles 10
2
9
27
1,701
Brian Tech retweeted
They👇follow 🔙 @Mjumbe8529491 @_PhyscoSins @Nik_laus24 @VincentD4D @wanjikukee @Chastesande @utd_c_note @kipkemboi25 @CelebianR @morio_zenza1 @kagerpeer @Itskogey @GabbuwS @KentoddyM @munez2919 @UstusUasasira @1TOMMPANTHER @tash_ndei @gatatamwangi @andrewawire70
31
12
18
541