
Passionate about buses. We offer travel services that is up to date and reliable in TANZANIA and BEYOND #busworldtanzania πΉπΏ ONLINE TICKET https://teapaw.org/t.co/QFvw
Tanzania
Joined January 2019
- Tweets34.2K
- Following2.5K
- Followers10.8K
- Likes16.6K
BUS WORLD TANZANIA πΉπΏ retweeted
Katarama luxury
Powered by MAN
Mwanza : Dar es salaam
#mwanzabuses β at Tanzania
BUS WORLD TANZANIA πΉπΏ retweeted
β½ HATIMAYE SIKU IMEWADIA!
π₯π© Nani atatoka na matokeo ya ushindi, SIMBA au YANGA. Je, kutakuwa na sare?
β¨ Tutakuwa mubashara kupitia Azam TV kwenye mabasi yetu, USIHAIRISHE SAFARI HARAKISHA KUKATA TIKETI!
π civitoluxury.co.tz
#civitoluxury #simbascvsyangasc
BUS WORLD TANZANIA πΉπΏ retweeted
Heri ya Wiki ya Huduma kwa Wateja!
Wewe ni zaidi ya abiria, wewe ni familia yetu.
Asante kwa kuendelea kutuamini katika kila safari.
Tunathamini uaminifu wako na tunajivunia kuwa chaguo lako la safari.
Royal Liner Express, Experience Royalty π
π +255 655 939 687 β at Dar es Salaam, Tanzania
BUS WORLD TANZANIA πΉπΏ retweeted
BARAKA NYINGI KIDOGO NIMWAMBIE MUNGU, MUNGU AKUBARIKI ππ₯π« NI HAPO SOON
BUS WORLD TANZANIA πΉπΏ retweeted
β½ || ππππ πππππππ πππππππππππ πππ
πππ πππππππππ ππππππ ππππππ!
Watani wa jadi kwenye vuta ni kuvute ya Ligi Kuu!. Dabi ya Simba na Yanga itakuwa mubashara AZAM TV kwenye mabasi pendwa Kusini.
#civitoluxury #simbascvsyangasc
BUS WORLD TANZANIA πΉπΏ retweeted
Congratulations to @MozaicoCoaches on your first anniversary. Wishing you more successful miles connecting the East African region from Bujumbura to Nairobi
#Tanzania #rwanda #Kampala #daressalaam #Nairobi #EastAfrica #bustraveller #bustravel #buses #CrossBorder #busexplorer
BUS WORLD TANZANIA πΉπΏ retweeted
BINGWA WA DAR ES SALAAM KWENDA TANGA! π
Anza wiki yako kwa safari ya kifalme huduma bora, usalama na starehe kwa nauli ya TZS 25,000 tu.
π Dar es Salaam β Tanga
π +255 655 939 687 | +255 786 360 050
Royal Liner Express β Experience Royalty. π β at Dar es Salaam, Tanzania
BUS WORLD TANZANIA πΉπΏ retweeted
Tunawatakia Ijumaa njema na mwanzo mwema wa weekend
Endelea kusafiri nasi kutoka Dar Es Salaam kwenda Tanga Kila siku
Wasiliana nasi
+255 655 939 687 MBEZI
+255 786 360 050 TANGA
+255 717 548 214 MBAGALA β at Dar es Salaam, Tanzania
BUS WORLD TANZANIA πΉπΏ retweeted
Class of 2026 ft Banbros.
Tahmeed Express Limited
Powered by Scania F360 6x2
πππππππππ
BUS WORLD TANZANIA πΉπΏ retweeted
New units for Tahmeed
Powered by Scania F360 @ScaniaEA
Crafted by BANBROS LTD
BUS WORLD TANZANIA πΉπΏ retweeted
π₯ LEGENDS NEVER DIE ππ’
"T 226 EGK" LA WANAZI hadi SGR ahsante kwa kutuwakilisha Kaskazini hadi Kusini. Tunabaki na simulizi.
π Book us Online : civitoluxury.co.tz
Twen'zetu Southern favourite bus, basi Pendwa kusini
#civitoluxury #twendezetunacivitoluxury
BUS WORLD TANZANIA πΉπΏ retweeted
π Triptrans
Harare - Blantyre
ποΈ Sunday to Saturday
ποΈ USD45/MWK190000
π Road bus terminal (Harare)
π Wenela bus depot (Blantyre)
π 601 kilometres
π 8-10 hours
π @starlink wifi throughout the journey. β at Harare, Zimbabwe
BUS WORLD TANZANIA πΉπΏ retweeted
Shule zimefungwa, ni wakati wa kurudi nyumbani!
Likizo imewadia! Tunahakikisha safari ya mwanafunzi wako inakuwa salama, yenye utulivu na ya kuaminika kutoka mwanzo hadi mwisho.
Safiri na Royal Liner Express
Dar Es Salaam kwenda Tanga Kila siku β at Dar es Salaam, Tanzania
BUS WORLD TANZANIA πΉπΏ retweeted
Tunawatakia mwezi mpya ukawe wa baraka na mafanikio tele.
Endelea kusafiri na bus zako pendwa za Royal Liner Express β at Dar es Salaam, Tanzania
BUS WORLD TANZANIA πΉπΏ retweeted
Welcome to Anjeyo Truck Sales; Your one stop shop for Sustainable Transport solutions through sale of brand new and used trucks. I offer the following services.
β
οΈSell Brand New SinoTruk Howo, FAW and Tata Trucks
β
οΈ Sell and source for used trucks for a commission
β
οΈ Run Ads for used trucks for a nominal fee.
Catalogue: wa.me/c/254720586035
Contact: Call/Text/WhatsApp: +254 720 586035
π€ Made with AI
BUS WORLD TANZANIA πΉπΏ retweeted
Tunawatakia mwanzo mwema wa wiki
Endelea kusafiri pamoja nasi
Tuna Bus za Asubuhi, Mchana, Jioni na Usiku
Wasiliana nasi
+255 655 939 687 MBEZI
+255 786 360 050 TANGA β at Dar es Salaam, Tanzania
BUS WORLD TANZANIA πΉπΏ retweeted
Tunawatangazia kutakua na Huduma ya shuttle bus kutoka Mbagala kwenda Magomeni hadi Mbezi Magufuli Bus Terminal kwa abiria wetu wote watakaochagua kusafiri nasi
Huduma hii ni bure kabisa na haitasababisha ongezeko lolote la gharama
Tunawakaribisha kusafiri nasi β at Dar es Salaam, Tanzania
BUS WORLD TANZANIA πΉπΏ retweeted
Tunawatakia Kheri ya siku ya Nane Nane
Endelea kusafiri nasi
Dar Es Salaam kwenda Tanga Kila Siku β at Kenya






































