Pinned Tweet
Replying to @iamKaga
I work with both Nationals and International companies as a Bid Consultant in helping them preparing winning bids, I can guarantee u a gud proposal can make u win a tender, kuna tender nyingi sana nimewafanyia wateja, na wamekua wakishinda bila kuwa na connection yoyote.
As the Managing Director, I was overjoyed to celebrate the first marriage among our staff @Tenderbank_, a milestone that marks the growth of our Tenderbank family.
Congratulations to our General Manager 👏
8
477
Baba wa mbinguni, nakuomba neema na kibali chako viniongoze leo. Fungua milango ambayo hakuna mwanadamu atakayeweza kufungua, na unifanye nisimame mbele ya watu wakubwa. Nipatie ushindi katika kila changamoto nitayokutana nayo. Kwa jina la Yesu.
Amen
Internship Opportunity – Graphic Designer
We’re looking for a talented graphic design intern! If you’re interested, kindly share 3-4 of your best designs down here or DM us.
We are taught not to burn bridges because we might need people later. But I pray I never have to depend on anyone who has hurt or humiliated me. May God bless me with abundance so I never have to be in that position.
Earlier today we had a good session with ITV tukiongelea mchakato mzima wa Tendering katika sekta binafsi na serikali, na namna vijana wanaweza kuzikamatia fursa hizo.
@Tenderbank_ #WinMoreBidLess
Hello my friends,
Siku ya leo Mungu asikupungukie wala kukuacha katika shughuli zako, masomo yako, afya yako hata familia yako.
Chochote kitakachosimama mbele yako kwa ajili ya kukurudisha nyuma au kukuvunja moyo. Mungu akutetee na kukupigania.
Ameen
Be Blessed ❤️🙏🏼
Thank you all for the warm birthday wishes!
I truly appreciate the love and support.A special thanks to my incredible @Tenderbank_ team,they have always been outstanding.
Mungu azidi kuwabariki wote na kuwapa kibali cha uzima 🙏
Ni mwaminifu sana anafanya kazi nzuri, pia amesaidia wateja wa tenderbank upande wa compliance katika kupata Leseni, na kuwafungulia makampuni
Nimemtagi ili wampate kirahisi pia
@Norberkim
Helping Businesses secure Private and Government Tenders
🫱🏽🫲🏾 LET’S CONNECT and WIN MORE TENDERS 💰🥂
The best career advice I can give anyone is to try and be a good person. Work is so much easier when people like you.
Nipatie namba zake au share design zake
This Post is from an account that no longer exists. Learn more























