Ibrahem F. Ganzo retweeted
Replying to @Ganzofi
Mwenyeheri Carlo Acutis, ni kijana wa kizazi kipya aliyezaliwa Mei 3, 1991 London, Uingereza, kwa wazazi wa Kiitaliano, na baadaye walihamia Milani Italia. Alifariki akiwa na umri wa miaka 15 mwaka 2006 kwa saratani ya damu. โ at Cascia, Umbria
Ibrahem F. Ganzo retweeted
Replying to @Ganzofi
Carlo ni mfano wa kipekee kwa vijana kwa sababu alitumia ujuzi wake wa teknolojia na mtandao wa intaneti kueneza imani ya Kikristo na umuhimu wa Ekaristi Takatifu. Alijitahidi kuishi maisha ya kiroho kwa ukaribu mkubwa na Yesu, akipenda mno kushiriki Ibada ya Misa kila siku. โ at Cascia, Umbria
Ila sasa watoto si wanafaa kulala ili wakue?
Replying to @xlusako
Mfugaji anahitaji kuwashtua vifaranga ili wachangamke, usipowawekea redio unaweza ukawa unagonga gonga bati ili washtuke hii inamsaidia mgugaji kujua maendeleo ya vifaranga kama wako Active au laa.
1
55
Ibrahem F. Ganzo retweeted
TAARIFA YA KUPOTEA KWA DKT. HASHIM TITHO KILOSA
Iwapo una taarifa yoyote kuhusu alipo, tafadhali wasiliana kupitia: 0745 151 930/ 0625 255 251/ 0784 437 530.
Au toa taarifa katika kituo cha polisi cha karibu yako.
Tafadhali sambaza ujumbe huu ili kusaidia juhudi za kumtafuta.
Ibrahem F. Ganzo retweeted
Congratulations to Professor Mohamed Yakub Janabi for being elected the World Health Organization Regional Director for Africa, for the term 2025-2030.
With decades of expertise and experience in the health sector, I have every confidence that you have all that it takes to serve our continent, and steer us all to greater heights.
The United Republic of Tanzania is thankful to every member state that believed in your skills, experience and vision for our continent.
Professor, you have my warmest wishes for a successful tenure.
Ibrahem F. Ganzo retweeted
Hongera Prof. Mohammed Janabi kwa kuchaguliwa kuwa Mkurugenzi wa Shirika la Afya Duniani (WHO) Kanda ya Afrika
Ibrahem F. Ganzo retweeted
On behalf of the Government and the people of the United Republic of Tanzania, I extend my congratulations to His Excellency Mr. Vladimir Vladimirovich Putin, President of the Russian Federation, on the occasion of Victory Day.
This day symbolizes the heroism, resilience, and sacrifice of the Russian people in the struggle for freedom and peace. Today, as then, the memory of this remarkable day continues to inspire all nations to uphold peace, justice, and cooperation. Tanzania deeply values its strong friendship with the Russian Federation, built on mutual respect and solidarity.
Please accept my heartfelt wishes for continued peace, prosperity, and success for you, your government, and the people of the Russian Federation.
Ibrahem F. Ganzo retweeted
UFAFANUZI WA MALALAMIKO DHIDI YA MITIHANI YA USAJILI NA TAALUMA KWA KADA YA FAMASI
Ibrahem F. Ganzo retweeted
Earlier today the Special Envoy of President @SuluhuSamia H.E @jmkikwete met with H.E Gen. Abdourahamane Tiani President of the Republic of Niger to present a special message of President Samia. #Janabi4WHOAfro
Ibrahem F. Ganzo retweeted
Strong foundations of diplomatic relations between Tanzania and other nations are a vital pillar in advancing shared development and the well-being of our people.
#Janabi4WHOAfro
@ProfJanabi @jmkikwete @WHOAFRO
Earlier today the Special Envoy of President @SuluhuSamia H.E @jmkikwete met with H.E Gen. Abdourahamane Tiani President of the Republic of Niger to present a special message of President Samia. #Janabi4WHOAfro

































