GNJ Maleko Jnr (@GoodluckjmN) header
GNJ Maleko Jnr (@GoodluckjmN) profile picture

Tech communicator |Content crafter & Negotiation wiz |Legal & history buff Administrator B.A. History & Poli Sci Snr Jobless #InmentalBattle #KindnessMatters

Dar es Salaam, Tanzania
Joined May 2020
Photo by GNJ Maleko Jnr (@GoodluckjmN)Photo by GNJ Maleko Jnr (@GoodluckjmN)Photo by GNJ Maleko Jnr (@GoodluckjmN)Photo by GNJ Maleko Jnr (@GoodluckjmN)Photo by GNJ Maleko Jnr (@GoodluckjmN)Photo by GNJ Maleko Jnr (@GoodluckjmN)
I lost everything. Honestly. I once had dreams, structure, a goal.And then life tore me apart, layer by layer. Until I thought: That's it. I can't get out of I prayed Yes. Not out of strength. But out of last hope. Not even with nice words. Just with breaths that said, "Help me
1
3
633
Huyuu Alikua main boyfriend
Unalia nini!!! Oyaa nimetamani niingiemo kwa simu nimchape bwana harusi vibao apate akili kwanza ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿซด๐Ÿ’”
2
1
2
161
GNJ Maleko Jnr retweeted
Long Story Short Jamaa Alipiga $40 Million January 2025 Then Akapotea Mazima Hata Rafiki Zake Wa Karibu Aliwakata. Jamaa hana interview yoyote mpka sasa baada ya kukusanya kibunda. So Usishangae Hiyo Attention Anayopata ๐Ÿคฃ
9
7
88
9,727
GNJ Maleko Jnr retweeted
2
15
1
64
4,729
GNJ Maleko Jnr retweeted
Jana, tulipokuwa tukihitimisha ziara yetu ya siku mbili Wilaya ya Ileje, tukiwa Kata ya Ibaba, nilimualika Kepher, mtumishi wa maabara katika Kituo cha Afya cha Ibaba, anayefahamika mitandaoni kama โ€œKijana wa Ibaba.โ€ Nilifurahishwa na namna anavyohamasisha vijana wenzake wa Gen Z walionufaika na ajira mpya za Serikali, maarufu kama Watamisemi, kupenda maeneo waliyopangiwa kazi na kutokimbilia kutafuta uhamisho. Juhudi za Serikali ya Awamu ya Sita chini ya Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan katika kuifungua Ileje zimeendelea kuboresha mazingira ya maisha. Pamoja na kwamba bado si maeneo yote yenye barabara za lami, kata zote zinafikika mwaka mzima, huku huduma kama umeme na intaneti zikiendelea kupatikana. Hali hii inawapa vijana sababu zaidi za kuona kuwa hata vijijini wanaweza kufanya kazi, kuishi vizuri na kutimiza ndoto zao. Hongera Kepher kwa kuwa balozi mzuri wa Ibaba na mfano wa vijana wanaopenda na kuthamini maeneo wanayolitumikia.
7
6
31
3,753
Vijana Siku hizii Mnakulaa Mpaka Watoa laana Zenuu
6
209
GNJ Maleko Jnr retweeted
Nadhanii Airtel ndo Router ya kijinga na kipumbavuu kuwai kutokea katika Uso Wa Dunia
68
38
12
523
44,190
GNJ Maleko Jnr retweeted
Replying to @GoodluckjmN
SAHIHI๐Ÿ˜
1
1
3
2,563
Nadhanii Airtel ndo Router ya kijinga na kipumbavuu kuwai kutokea katika Uso Wa Dunia
68
38
12
523
44,190
You look beautiful together
Out and about with the love of my life ๐Ÿฅฐ
2
193
Ccm achienii huru uyoo father of modern Democracy
1
9
231
GNJ Maleko Jnr retweeted
Heshima kwa wanetu wotee Mnaodhanii mnatupa Ganji ya Bapa tuu But Ganjii hii kidogoo inalea mpaka familia zetu Senior Jobless Munguu awabarikii sanaaa
1
6
216
GNJ Maleko Jnr retweeted
Uko SAWA bro. Acceptance ni hatua muhimu sana siku unahisi kila kitu hakiendi SAWA. S/o to @doktanature #mentalhealthsupport #madiniyagaby #kaambalinakamba Cc.@gabyconscious
2
11
651
Heshima kwa wanetu wotee Mnaodhanii mnatupa Ganji ya Bapa tuu But Ganjii hii kidogoo inalea mpaka familia zetu Senior Jobless Munguu awabarikii sanaaa
1
6
216
GNJ Maleko Jnr retweeted
Moja ya faida ya bikra kwa mwanamke ni inamfanya awe na aibu. Bikra ikishavunjwa aibu inatoka na mwanamke anajiamini kupost uchi wake online. Hakuna bikra anaweza post content za kimalayamalaya kama hii teapaw.org/TherealBihemo/status/2โ€ฆ
22
19
90
5,167
GNJ Maleko Jnr retweeted
๐Œ๐€๐Š๐€๐Œ๐” ๐–๐€ ๐‘๐€๐ˆ๐’ ๐€๐€๐†๐ˆ๐™๐€ ๐“๐€๐Š๐”๐Š๐”๐‘๐” ๐Š๐”๐…๐€๐๐˜๐€ ๐”๐‚๐‡๐”๐๐†๐”๐™๐ˆ ๐Œ๐ˆ๐‘๐€๐ƒ๐ˆ ๐˜๐€ ๐“๐€๐‚๐“๐ˆ๐‚, ๐Œ๐“๐–๐€๐‘๐€, ๐Œ๐Š๐€๐๐ƒ๐€๐‘๐€๐’๐ˆ ๐€๐ƒ๐€๐ˆ๐–๐€ ๐Š๐”๐Š๐Ž๐’๐€ ๐”๐–๐„๐™๐Ž. Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Deogratius Ndejembi, ameagiza TAKUKURU mkoani Mtwara kuchunguza mchakato wa utoaji wa tenda ya shilingi bilioni 27, namna mkandarasi alivyopatikana na walioidhinisha tenda hiyo, baada ya kutoridhishwa na kasi na kiwango cha utekelezaji wa miradi ya uboreshajiMiundombinu ya Miji ya Tanzania (TACTIC) Mkoa wa Mtwara, licha ya mkandarasi kulipwa TSh bilioni 4 za awali. ย  Tenda hiyo inahusisha ujenzi wa soko, barabara yenye urefu wa kilomita mbili, mtaro mkubwa wa maji na eneo la wajasiriamali. ย  Akijibu maswali ya Makamu wa Rais kuhusu mwenendo wa mradi, mshauri wa mradi kutoka Norplan (T) Ltd JV Typsa amesema tangu mwanzo mkandarasi kampuni ya Serengeti LTD alionyesha kutokuwa na uwezo wa kutekeleza kazi, huku akiwa na vifaa duni. ย  Mshauri huyo amekiri kuwa baadhi ya kazi hazijaanza kabisa na kwamba kiwango cha kazi zilizofanyika hakiendani na fedha. ย  Kufuatia hali hiyo, Makamu wa Rais ameagiza ujenzi wa miradi hiyo ukamilike ifikapo Machi Mosi, 2027, bila nyongeza ya muda. Ameelekeza kuwa mkandarasi akishindwa kukamilisha kazi kwa wakati, atozwe fidia ya ucheleweshaji (liquidated damages) na kuchukuliwa hatua nyingine za kisheria.
2
4
432
Kwahiyoo Kesho Samia atakaa na Balaza la vya Vyama vya Siasa
3
190
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ
1
1
177
#TajiriLaKihaya Umeliweka vizuri saana hili๐Ÿ’ฏ๐Ÿ’ฏ๐Ÿ’ฏ Siongezi wala kupunguza chochote๐Ÿ™Œ๐Ÿฝ
Kiaina #2 anatupa version yake yenye flavors hizo ๐Ÿ–: 1. Elimu ๐Ÿ“š 2. Usela 3. Smartness 4. Accountability & 5. Respect He's setting an example worth following ๐Ÿค›๐Ÿค
9
6
44
4,600
GNJ Maleko Jnr retweeted
๐Ÿ˜Ž
Drop the hardest quote of all time.
2
8
539