Pinned Tweet
Sitaki kujua ilikuaje
Sitaki kujua ilikua vipi
Ninalojua nilikua kipofu
Sasa naona
Ninaonaaaa🎵
Ninalojua nilikua kiwete
Ninatembea
Sasa naona ninatembea
Yesu ametenda
Amenitendea
[Sasa ninaona natembea
Ametendq kwangu,atakutendea]×2
Amefanyaje sijui
Ilikuaje sijui🎶
KKKT-keko – at Tanzania
Kuna watu katika jamii yetu hawapati heshima wanayostahili. Hawa wanafanya kazi kubwa ‘nyuma ya pazia’ inayoishia kuwapa sifa wengine.
Fikiria muuguzi anafanya vingapi kwa mgonjwa. Mgonjwa akipona nani anasemwa kirahisi? Mganga. Fikiria kazi kubwa anayofanya fundi mitambo studio na mpiga picha nyuma ya kamera. Kipindi chote hawa huwasikii zaidi ya majina ya mchambuzi na mwandishi wa habari.
Fikiria mwandishi wa hotuba (msaidizi wa kiongozi) anatumia muda gani kutafiti na kuandika. Hotuba ikigusa maeneo muhimu hadhira ikaipokea vizuri nani anayepigiwa makofi? Kiongozi aliyeandikiwa.
Fikiria hatari anazokutana nazo mwanajeshi anayekesha kulinda mipaka. Nchi ikiwa salama mwanasiasa nani anatajwa? Wanasiasa. Husikii majina ya wanajeshi. Fikiria watafiti wanaoshinda vijijini na maporini. Hawa hata majina yao hayafahamiki kwa umma lakini wako nyuma ya maamuzi mengi ya kisera na pongezi zinazoelekezwa kwenye taasisi.
Fikiria dada mlezi (housegeli) anapitia mangapi kuhakikisha mtoto yuko salama wakati mzazi akiendelea na vipaumbele vingine. Mtoto akiwa na afya akakua vizuri, akawa na tabia njema nani anajisifu? Mzazi. Fikiria mlezi wa bweni anayekaa karibu na watoto akisikiliza shida zao na kuwafanya wajisikie salama kusoma. Shule ikifaulisha husikii majina yao yakitajwa kokote.
Nikuulize, mwenzetu, unafikiri unapata sifa kwa mgongo wa nani? Nani anafanya kazi nyuma ya pazia lakini sifa unapata wewe zaidi? Unafikiri kuna madhara gani hutokea tusipowatambua watu hawa? Tujifunze kuwatambua watu hawa wanaofanya kazi kubwa isiyoonekana na wengi. Tujifunze kuwawekeza mazingira ya kujisikia kazi zao zinaheshimiwa. Saa nyingine hata, ‘asante, nakushukuru,’ inatosha.
Modesta Z retweeted
Mguu wangu unaoza, nakufa huku najiona, naomba msaada maana nimekata tamaa. Naitwa Pascal James Mayalla, mkazi wa Kahama Shinyanga. Mwaka 2023 nilipata ajali ya pikipiki nikiwa Zanzibar nikielekea kazini. Kwa bahati mbaya nikavunjika mguu mara 2. Nikatibiwa Zanzibar na kuwekewa vyuma. Nilipopata nafuu niliomba kurudi nyumbani Kahama maana Zanzibar sikuwa na ndugu.
Hali yangu ikatengemaa kidogo na mwaka 2024 nikarudi Zanzibar kuendelea na kazi. Lakini kwa bahati mbaya mwaka jana, chuma nilichowekewa kilichomoka screw hivyo kikatoka sehemu husika na kuchoma nyama kwa ndani na kutengeneza kidonda kipya.
Nilipata maumivu makali sana. Nikaenda hospitali kikatolewa na kuwekwa kingine. Lakini Oktoba 2025 nilipata mtikisiko uliosababisha chuma nilichowekewa mguuni kukatika na kusababisha mfupa kuachana na mguu kupinda. Niliomba nirudishwe nyumbani Kahama. Hata hivyo sikuweza kwenda hospitali kutokana na kukosa pesa za matibabu.
Hali yangu inazidi kuwa mbaya kwani sehemu ya chuma kilichokatika imesababisha infection kwenye mfupa na kuendeleza kidonda kisichopona (Chronic Osteomyelitis).
Nimeelezwa kuwa hali hii inaweza kunisababishia kansa inayotokana na kidonda cha muda mrefu kisichopona (Squamous Cell Carcinoma).
Matibabu ninayohitaji kwa sasa ni operation ya kunyoosha mguu, kusafisha kidonda na kuweka chuma kingine. Gharama ni TZS 2.8M tu lakini nimelala kitandani mwaka mzima kwa kushindwa kumudu gharama hiyo. Naomba msaada niweze kupata matibabu mapema ili niepuke risk ya kupata saratani.
_____
Kama unaguswa kuokoa maisha ya ndugu Pascal Mayalla tuma sadaka yako kwenda M-PESA #0752581983, YAS #0719744954, CRDB #0150633516500, NMB #24110012109 Gifted Hearts Foundation | RudishaTabasamu | LetLoveLead
Modesta Z retweeted
Leo zimetimia siku 13 tangu ndugu yetu Twaha Mwaipaya atekwe mpaka sasa bado hatujui watekaji wamempeleka wapi.?
Tusiache kumpazia sauti. #FreeTwahaMwaipaya
Modesta Z retweeted
Jamii inabidi ipate elimu kuhusu PPD.
Kuna Dada katoka kujifungua ni mtoto wake wa kwanza anakataa mtoto hataki kunyonyesha wala kumuona cha kushangaza wanasema anajifanya kichaa.
PPD is not a joke.
Modesta Z retweeted
Replying to @queeen_minah @MarekaMalili
wababa msiwe busy kutengeneza vikundi vya barbeque weekend na vijiwe vya kulewa bar je geni pia community ya kuinuana kimaendeleo ukipata tatizo ghafla huna ata community of fellow men wa kukushika mkono haipendezi
Modesta Z retweeted
Send Off Guest glam🥰
📣Book your makeup appointment NOW
Piga simu/ Whatsapp 📲 0676335537
📍Sinza, Ahadi St
#glammedbyqueeenminah
Modesta Z retweeted
Mwezi huu #BajabirLogistics imetimiza miaka 6 kwenye game ya usafirishaji.
Tulianza kusafirisha parcels kama Bahasha, na sasa tumefika hatua ya kusafirisha mzigo wa tani 32.
Asanteni wateja wetu kwa kutuamini....kiu yetu ni kuwa wawekezaji kwenye Klabu ya SIMBA
#BajabirAt6
Modesta Z retweeted
sifa moja ya watu wote wanaokaliwa kimabavu duniani ni kwamba haki yao ya kupata taarifa siku zote inaingiliwa sana na mamlaka zinazowakalia. hii ni kwa sababu watu kupata taarifa sahihi zinazohusu maisha yao ni msingi wa uhuru wao kama watu wa kujiamulia mambo yao:
Modesta Z retweeted
🚨 *MEDIA INVITE | WHERE IS TWAHA MWAIPAYA?!* 🚨
The High Court has issued urgent orders requiring senior Kenyan police authorities to produce abducted Tanzanian human rights defender Twaha Mwaipaya — alive or dead — and answer questions concerning his arrest and detention.
His whereabouts remain unknown, and every passing day without answers raises grave concerns for his life and safety.
We invite all journalists and media partners to cover tomorrow’s critical court hearing, where senior police officials and other respondents have been called upon to account before the Court.
✨All details on the poster above. Thank you for your solidarity.✨
#FreeTwahaMwaipaya #EndAbductionsEA #EndTransnationalRepression

































