
Social Entrepreneur l Leadership Impact Award Winner @WashFellowship l Builders of Africa Future Awardee #Chevener #SoaringEagle 🦅
Tanzania, East africa
Joined August 2010
- Tweets16.2K
- Following2.5K
- Followers2K
- Likes29.9K
Pinned Tweet
"It takes a village to raise a child" ~ African proverb.
Grateful to my team @taitanzania @taiplustz, our partners, fans and everyone who is supporting our work.
Together, we can do so much! – at Washington, DC
Soaring Eagle 🦅 retweeted
Mahojiano kama haya yanayofanywa na Waziri wa Elimu mwenyewe Prof Mkenda, kwa kiasi kikubwa, yanachangia kubadilisha mtazamo wa jamii kuhusu elimu, wasomi na nafasi ya sayansi na tafiti katika kutatua matatizo yanayowagusa watu.
Tunahitaji juhudi kama hizi kuondoa mawazo yanayopandikizwa kwa vijana kuwa kama ‘ujanja ujanja’ unalipa basi hatuhitaji elimu. Hongera kwa Waziri Mkenda na Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia.
Soaring Eagle 🦅 retweeted
sisi tanzania kama nchi, na afrika kama bara, “engagements” zetu na sehemu zingine za dunia, lakini na dunia yenyewe inayozidi kubadilika kila uchao, zinakuwa “informed” na nini haswa?
Soaring Eagle 🦅 retweeted
Wananchi watoa maoni yao juu ya pendekezo la Tume kuwa serikali itenge siku ya maombolezo kuwakumbuka waliopoteza maisha Oktoba 29
Soaring Eagle 🦅 retweeted
Tunalea vitu vya ajabu kichizi kwenye hii nchi. Hivi huwa hatufeel hata ile aibu tu inayoletwa na kustaharabika kwetu?
Soaring Eagle 🦅 retweeted
Hizi ni baadhi tu ya nyumba zinazojengwa Kenya nzima kupitia mpango wa Rais Ruto wa kuwapa Wakenya makazi kwa bei nafuu. Jana Rais Ruto alizifungua rasmi nyumba hizi zilizopo Eldoret, ambazo jumla zipo 2157. Watu tayari wamekabidhiwa funguo zao na miji inaendelea kujengeka vizuri
Soaring Eagle 🦅 retweeted
The United strand has given up on the challenge of Manchester United winning 5 games in a row and is set to barb his hair , so Bruno fraudnedes couldn’t captain Manchester United to 5 wins in a row for over 1000 days plus alright man this is a big shame for a club as big as Manchester United 😭😭😭
Soaring Eagle 🦅 retweeted
One thing that i will cherish about BABA Whenever he was abroad he preached unity, how to build and invest in our nation back home and panafrcansim,
Continue resting in peace Baba
Soaring Eagle 🦅 retweeted
Uhuru na maendeleo ni kama pande mbili za sarafu. Kama hakuna uhuru hakiwezi kuwa na maendeleo
Soaring Eagle 🦅 retweeted
Kisha mwalimu akasema;
“Watu wanaoogopa mabadiliko ni wanyonyaji; ni watu walioshiba.
Mnyonge lazima atake mabadiliko; mnyonge lazima adai mabadiliko.
Mnyonge hawezi kuwa conservative.”
#NyerereDay
Soaring Eagle 🦅 retweeted
"Jeuri ya ukoloni, ya utumwa, ya ujahili, ni hiyo ya kufanya kwamba binadamu wengine ama ni miungu, ama kuwafanya binadamu wengine kuwa ni wanyama. Na jeuri ya namna hiyo, inazidi jeuri nyingine yoyote duniani. Inapotokea, akili ya binadamu aliyekomaa inakataa; inakataa kabisa kukubali. Kwa hiyo lazima mpambane nayo jeuri hiyo popote inapotokea," Nyerere | Disemba 09, 1978
Soaring Eagle 🦅 retweeted
Huo wimbo umetungwa baada ya yeye kufariki. Wewe inawezekana uko kwenye kundi la wenye umri wa wastani wa miaka 27, au ulikuwa chekechea alipofariki. Unasambaza taarifa zisizo za kweli.
Replying to @MadarakaNyerere @Khan93Ramzan
Nyerere alikuwa mnafiki kiasi kwamba alijitungia na nyimbo ziimbwe shule " kama sio juhudi zako nyerere na uhuru tungepata wapi" as if he was single handed gave us uhuru? Jamaa alikuwa kama makonda fulani, Kila kitu nyerere watu wengine walikuwa wap wakati uhuru unapiganiwa🤔
Soaring Eagle 🦅 retweeted
Vyuo vikuu vyahimiza kukuza fikra tunduizi,mijadala huru kwa vijana
Prof. Christine ameyasema haya wakati wa kongamano la Vijana lililoandaliwa na Kigoda cha Nyerere UDSM.
Dhima kuu ya mjadala ni vijana na maendeleo endelevu katika kuendeleza fikra za Mwalimu Nyerere.
Soaring Eagle 🦅 retweeted
600 years of involvement and resource extraction versus 24 years of outrage over a mayor. The double standard is obvious when you line the histories up.
Soaring Eagle 🦅 retweeted
NOW, WHO’S READY TO BE OUR NEXT CHAMPION IN 2027?
The journey to Swahili Komik Con 2027 starts NOW!
But before that, we are bringing the creative community together for something SPECIAL!
📅 14 NOVEMBER 2026
📍Alliance Franchise
FROM SWAHILI KOMIK CON TO THE AFRICAN STAGE!
WHAT A MOMENT FOR TANZANIA! 🇹🇿
A massive congratulations to Chiza, our 2026 Swahili Komik Con Cosplay Champion, for making history as the first winner to represent Tanzania at @comicconafrica 2026 in Johannesburg, South Africa 🇿🇦























