Msiba wa binti Angel umeniumiza sana💔😭. Najitahidi kusahau ila bado. Naumia utadhani ni mtoto wangu au ndugu yangu.
Walahi ipo siku itafika hakuna muovu hata mmoja atasalia.
Ipo siku.💔😭
Msiba wa binti Angel umeniumiza sana💔😭. Najitahidi kusahau ila bado. Naumia utadhani ni mtoto wangu au ndugu yangu.
Walahi ipo siku itafika hakuna muovu hata mmoja atasalia.
Ipo siku.💔
107
Hello @ChademaTZ2 , hivi huyu Freddie hawezi kufutiwa uanachama ?
1
2
310
#NiYeye retweeted
Sifuna ana ngome mbili, ambayo ni Nairobi County ambapo yeye ni seneta ma Western Kenya kwa kiasi fulani kwa sababu ndio eneo linalotawaliwa na kabila lake la Luhya. Ana jaribu kuikamata Nyanza ambayo ilikua moja ya ngome za Raila Odinga na ODM lakini bado hajaikamata kwa sababu kuna Fred Matiang'i ambae ni "homeboy" wa eneo hilo.
Uzuri Nairobi County ina wapiga kura 2,415,310 ambao ni karibia 11% ya wapiga kura wote wa Kenya ma Western Kenya ina changia wapiga kura wengine 2,217,948. Hapo tayari ni karibia wapiga kura 4,000,000 au 20% ya wapiga kura milioni 22.1 wa Kenya. Akifanikiwa kuikamata vizuri Nyanza hizo ni kura 3,120,732 zingine.
Sasa tukija kwa Baba Mkwe, yeye ngome zake ni Rift Valley, Mt. Kenya na Northern Kenya. Rift Vally ina wapiga kura 5,349,889, Mt. Kenya ina wapiga kura 4,453,108 na Northern Kenya ina wapiga kura 882,677. Hizo ni kama kura 10,600,000 hivi au takriban 47% ya wapiga kura wa Kenya.
Kimahesabu bado Baba Mkwe ana nafasi kubwa ya kurudi pale Kilimani. Mengi yatategemea sana coalition zitakazotengenezwa kwa ajili ya uchaguzi ila Sifuna nae sio nyonge. It will all come down to political coalitions na mobilization eneo ambalo Baba Mkwe yuko vyedi.
Replying to @EsirEid
Sio kweli, sifuna ana watu Wengi vibaya mno kihalali kabisa sifu boy ataongoza Kwa kura ila atakaetangazwa ni baba mkwe😎😂...
Ruto wakenya washamkataa kitambo hayuko mioyoni mwao tena ila Hilo halimzuii kasongo kutangazwa kuwa ameshinda
#TajiriLaKihaya NI MMOJA TU
#NiYeye retweeted
Jamaa anatema madini matupu aisee, nchi bado ina watu hii,
Chukua dakika zako 10 utatoka na kitu!
#NiYeye retweeted
Kuna kitu kimoja kinaniumiza sana kuhusu Twitter kufungiwa Tanzania.
Na nataka kuwaambia kwa nini.
Mimi binafsi, Twitter imebadilisha maisha yangu.
Vitu vingi nilivyojifunza kuhusu teknolojia, startups, AI na kujenga biashara, nimejifunza kupitia Twitter.
Na sio kujifunza tu.
Kupitia Twitter nimepata wawekezaji kutoka Marekani ambao wamewekeza kwenye kampuni yetu ya NALA.
Nimekutana na watu ambao nimewaajiri. Nimejenga urafiki na mahusiano na watu ambao leo tunafanya nao kazi NALA.
Watu ambao pengine nisingekutana nao maishani mwangu!
Na mpaka leo, natumia Twitter kujifunza kila siku.
Hasa sasa hivi, natumia Grok bot, AI ya Twitter, zaidi na zaidi. Naendelea kujifunza, kuuliza maswali, na ku-connect na watu wenye maarifa kutoka duniani kote.
Sasa fikiria kijana wa miaka 20 aliyepo Mwanza, Mbeya au Kigoma.
Ana simu. Ana internet. Hana connection za Silicon Valley. Hana pesa ya kwenda vyuo vikubwa duniani.
Lakini kupitia Twitter anaweza kujifunza, kukutana na investors, kupata kazi, au hata kupata mtu wa kujenga naye kampuni.
Hiyo ndiyo nguvu ya Twitter!
Na ndiyo maana nimesikitishwa sana kwamba Twitter imefungiwa Tanzania.
Kwa sababu kwangu, Twitter haikuwa tu social media.
Ilikuwa darasa langu. Ilikuwa sehemu ya kujenga biashara. Ilikuwa sehemu ya kupata marafiki na connections duniani.
Na naamini kuna vijana wengi wa Tanzania ambao wanaweza kupata fursa kama nilizopata mimi.
Swali langu kwenu ni hili: Twitter imewahi kukufungulia mlango gani kwenye maisha yako?
#NiYeye retweeted
Kilimanjaro: Dereva wa Jeshi la Polisi, SSGT Hussein Rashid aliwaasa madereva wanafunzi wa jeshi hilo kuwajibika, kuwa na nidhamu, kuzingatia ubinadamu na kutoendeshwa na madaraka waliyonayo wanapokuwa barabarani akitolea mfano uzoefu wake wa kuwaendesha viongozi mbalimbali wa Jeshi la Polisi toka mwaka 1992 bila kupata ajali barabarani.
Hussein aliyasema hayo Novemba 17, 2026 katika shule ya Polisi Moshi, kambi ya Kilelepori wakati wa mafunzo ya udereva yanayosimamiwa na VETA kwa kushirikiana na Jeshi la Polisi.
Nini maoni yako?
Fuatilia zaidi jamii.app/PolisiHusseinRashi…
#JamiiForums #Utawala #Governance #Uwajibikaji
Huyu anafaa awape semina mpaka wakubwa zake, ana hekima sana.
Kilimanjaro: Dereva wa Jeshi la Polisi, SSGT Hussein Rashid aliwaasa madereva wanafunzi wa jeshi hilo kuwajibika, kuwa na nidhamu, kuzingatia ubinadamu na kutoendeshwa na madaraka waliyonayo wanapokuwa barabarani akitolea mfano uzoefu wake wa kuwaendesha viongozi mbalimbali wa Jeshi la Polisi toka mwaka 1992 bila kupata ajali barabarani.
Hussein aliyasema hayo Novemba 17, 2026 katika shule ya Polisi Moshi, kambi ya Kilelepori wakati wa mafunzo ya udereva yanayosimamiwa na VETA kwa kushirikiana na Jeshi la Polisi.
Nini maoni yako?
Fuatilia zaidi jamii.app/PolisiHusseinRashi…
#JamiiForums #Utawala #Governance #Uwajibikaji
4
308
#NiYeye retweeted
🚨𝐔𝐏𝐃𝐀𝐓𝐄
MWANAUME ANASAIDIWA KIMYA KIMYA NA KUHESHIMIWA HADHARANI - Kheri James, Mkuu wa Mkoa wa Iringa.
#MeaMswahiliUPDATES
Sitaki kuwa mbishi wala kuonekana mjuaji ila Sifuna anapendwa mtandaoni na kwa ground kuliko Ruto
Ni vile tuu Wakina Rigathi wana uroho wa madaraka, hawawezi kumpa Sifuna nafasi agombee.
#TajiriLaKihaya
Kwa wale mnafuatilia SIASA za KENYA mtakubaliana na mm kwamba…
SIFUNA anapendwa saana na vijana wa mitandaoni…. Bahati mbaya saana RUTO anapendwa na Wapiga Kura!
Sifuna hata wapinzani wenzake hawamuamini…na yeye mwenyewe Hajiamini!
Sidhani Kama Upinzani watampa Ticket ya kuwania Urais… Maana wakifanya hivyo,Ruto atashinda saa moja kamili asubuhi!
Hussen Mwinyi na Kasim Majaliwa mmoja wapo alifaaa mwaka jana akae pale.
Licha ya Uccm wao ila wana kipawa cha uongozi.
#NiYeye retweeted
Watanzania hii ni golden chance ambayo hatutokaa kuipata tena.
Kutakuwa na wageni, hawawezi kujaza mabunduki barabarani, hawawezi kurusha risasi hovyo kuua watu….
Mechi ya kwanza ya AFCON NI SIKU YA MAANDAMANO YA AMANI YA NCHI NZIMA…….
Fursa imeongezeka! Lazima maandamano ya AFCON iwe kubwa kama makao makuu yatakuwa 🇹🇿👊🏽
#NoJusticeNoAFCON


























