Mkulima wa Kahawa retweeted
1. Kiri umetenda kosa.
2. Omba msamaha na utubu kwa maana umeua damu zisizo na hatia.
3. Wajibika, hukumu wote waliotenda makosa (walioua ndugu zetu).
4. Futa kesi na fungulia wote wenye kesi za kisiasa.
5. Eleza uma waliotekwa wako wapi, kama wako hai warudishe, kama hawapo hai hukumu waliowatoa uhai.
6. Itisha maridhiano, yaambatane na tume huru, katiba mpya na mchakato wa uchaguzi upya!!
NA HAYO NDIO YATAKUWA MARIDHIANO YA KWELI NA HAKI
Mkulima wa Kahawa retweeted
Naingia kulala naomba niwaache na hii clip…..
1. Zingatia “Huyo mtu wa kati aliekuwa anafanya huo uratibu ”. Yani dalali.
Kelele zote alizopiga kwa Zitto, na yeye kaishia kufanya kile kile.
2. Zingatia alipewa nauli na gharama za huko Dar, Sasa connect dots na issue ya sea cliff.
I think mpaka sasa nchi nzima inajua huyo “Mtu wa kati” ni Godbless Lema.
Kuna siku hii familia itamtaja kwa jina…..
Nna swali, Chadema kama chama walitoa ahadi na msimamo kwa wananchi kuwa hawatopiga magoti kwa wauwaji, sasa imebainika kuwa mmoja wao anafanya kazi na wauwaji na alijaribu kuishawishi familia ya Lissu ikapige magoti kwa wauwaji, hatua gani zitachukuliwa???
Pia wananchi inabidi wampige marufuku Lema kutaja jina la Lissu kuanzia Leo. Anatumia mateso ya Lissu kuhalalisha usaliti wake.
Lissu kasema hadharani, hataki huruma anataka haki, Lema why anafosi kufanya kitu Lissu amekikataa? Yeye ndio anampenda sana Lissu kuliko sisi?? Wasaliti waache kumtumia Lissu kwenye ushetani wao.
Moja ya somo tulilopata kwenye hili sakata, dada yenu siwezi kuongea vitu sensitive au kuongea jambo la kumchafua mtu bila kuwa na uhakika wa 100%. Imagine inteview zote zilizofanywa ili nionekane muongo kwa wananchi na Lema aonekane sio msaliti ila leo Mungu kawaonyesha Watanzania dada yao waliemwamini miaka yote hajabadilika.
Mkulima wa Kahawa retweeted
Today, the U.S. Embassy community joined me to honor the memory of all those who lost their lives in the violence surrounding Tanzania’s October 2025 general elections. We remember them, and the families who still grieve and seek answers. As I said to the U.S. Senate during my confirmation hearing, this will not be swept under the rug.
Tunatambua wao wametangulia lkn wameacha nyuma kumbukumbu zisizofutika katika mioyo ya familia, ndugu, jamaa na Taifa kwa ujumla.
Wameacha maumivu yasioelekeza katika Taifa.
Pamoja na kuwaombea pumziko jema, tunawashangilia kwa kulinda Imani na kupigania kesho bora ya Taifa leo.
Damu zao zisizo na hatia yoyote na ziendelee kulia na wote waliowadhulumu uhai na vizazi vyao vyote. AMINA
Mkulima wa Kahawa retweeted
Tanzanian human rights defender Twaha Mwaipaya was reportedly abducted at approximately 2:00pm today in Kamulu, Machakos County, by individuals travelling in three vehicles, one of which was a Toyota Land Cruiser hardtop.
Twaha was en route by taxi to visit friends when the incident occurred. There is an urgent need to establish his whereabouts. Anyone with relevant information is encouraged to come forward immediately. We call on Kenyan authorities to take swift action to locate him and ensure his safety and protection.
Please share widely and help spread the word. #FreeTwahaMwaipaya #EndAbductionsEA #FreeAllPoliticalPrisoners
Mkulima wa Kahawa retweeted
Tanzanian opposition figure Twaha Mwaipaya abducted in Kamulu, Machakos, Amnesty International says as rights group warn of cross-border repression.
Mkulima wa Kahawa retweeted
Another powerful message from Tundu Lissu. The TZ Judiciary is also on Trial.
Mkulima wa Kahawa retweeted
Our beloved Mwalimu Julius Kambarage Nyerere is turning in his grave at how low and despicable the leadership of the once indomitable Tanzania has fallen. #RestInPowerMwalimuNyerere
It is with great sorrow that I mourn the passing of Zimbabwean businessman Mr Wicknell Chivayo, his beloved wife, and three other people who tragically lost their lives in a helicopter crash in Marondera.
Zimbabwe and Africa have lost a young and visionary entrepreneur who touched the lives of many.
On behalf of the Government and the people of the United Republic of Tanzania, I convey our deepest and heartfelt condolences to His Excellency Emmerson Mnangagwa, President of the Republic of Zimbabwe; the Chivayo family, the families of all those who lost their loved ones and the people of Zimbabwe.
May their souls rest in peace.
Amen.
Mkulima wa Kahawa retweeted
Congratulations, comrade @CapitaineIb226. Pan-Africanists are proud of your example and efforts.
You have demonstrated that only a revolution can liberate neocolonial African states before our people can have genuine DIGNITY and DEVELOPMENT. Viva!
#RevoluionNow
Mkulima wa Kahawa retweeted
*MANENO YA MWISHO YA TUNDU LISU, leo:*
“Waheshimiwa Majaji miaka 60 iliyopita, kuna mhaini mwingine alifungwa kifungo cha maisha nchini Afrika Kusini, kabla hajahukumiwa alisema maneno yafuatayo ambayo naomba kuyafanya yawe maneno yangu leo, "I have fought against white domination and I have fought against blood domination, and my Lords, it is an ideal I am prepared to die for"
Nimepigania haki na demokrasia kwa sehemu kubwa, kuwa na nchi ya demokrasia, imekuwa ni ideal kwa nchi yangu, msimamo huo umenigharimu sana, umeniletea madhira mengi sana, msimamo huo kwa siku zilizobaki kwa maisha yangu ni msimamo ambao nitaendelea kuusimamia, na kama ikibidi kufa ni msimamo ambao nipo tayari kufa.
Namalziia kwa neno moja:
waheshimiwa majaji, kosa la uhaini halina kosa dogo, halina kosa ambalo ukishindwa kuthibitisha uhaini unahukumu kwa kosa dogo, it is either death sentence or acquittal, hakuna kakosa kadogo kwenye uhaini, waheshimiwa majaji, mzigo ambao mmekabidhiwa mabegani mwenu ni
kuamua kama kwa ushahdii huu kuna uhaini, kama mkiona kuna uhaini you should not hesitate to convict and punish me appropriately, do not hesitate, msiogope, kama mtaona kuna uhaini msiogope kunihukumu, kama mkiona hamna uhaini
msiogope kuniachia huru.
You have God before you, msije mkaletewa maneno kuna kosa dogo, hakuna kosa dogo kwenye uhaini, if the evidence doesn't fit— acquit, huo ni mzigo ambao ni wa kwenu peke yenu waheshimiwa majaji. Nimemaliza”
Tundu Antiphas Lissu, September 28, 2026. Mahakama Kuu, Dar.
Mkulima wa Kahawa retweeted
Kejeli kama hizi tunapokea with thanks. But this generalisation is not great. You could’ve landed your point without throwing all of us under the tree. Siku ukiwa upande mbaya wa sheria you may need activists more than your relatives. Usiwe fala, Octavian!
Mkulima wa Kahawa retweeted
Msikilize kwa umakini Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA @HecheJohn
Mnaojaribu kusema chama imekuwa ya wanaharakati kasema poa tu ila ameeleza wazi hata mtoto mdogo anamwelewa kwa nini hakuna mazungumzo (siyo maridhiano) ya aina yoyote watakayokubali kwa mazingira ya sasa - msimamo bora ambao ndo tunataka wananchi!
Akili kubwa and very eloquent 🙌🏽
I am so proud of Heche! He is focused and articulate! Leaves no room for doubt hakuna konakona
Stay the course ✊🏽 soon #TutaelewanaTu
#FreeTunduLissu
Mkulima wa Kahawa retweeted
Huu ndio msimamo wa wananchi kwa kweli……..
Haki CHADEMA mkiweza kusimamia huu msimamo hadi mwisho, Watanzania tutakuwa na deni kubwa kwenu.
Msikilize kwa umakini Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA @HecheJohn
Mnaojaribu kusema chama imekuwa ya wanaharakati kasema poa tu ila ameeleza wazi hata mtoto mdogo anamwelewa kwa nini hakuna mazungumzo (siyo maridhiano) ya aina yoyote watakayokubali kwa mazingira ya sasa - msimamo bora ambao ndo tunataka wananchi!
Akili kubwa and very eloquent 🙌🏽
I am so proud of Heche! He is focused and articulate! Leaves no room for doubt hakuna konakona
Stay the course ✊🏽 soon #TutaelewanaTu
#FreeTunduLissu
Mkulima wa Kahawa retweeted
.... Leo nimepata bahati kuongoza maombi kabla ya kunaza kwa Kesi ya uongo inayomkabili Mwenyekiti Tundu Lissu.
Nimerejea kitabu cha Issaya 33:22, nakuukumbusha umma kuwa Bwana ndie Mfalme, Mwamuzi na Mtunga sheria wa Haki.
Wamtumainiao hawataachwaa.
For the Record! Vijana wa Tanzania tunaunga mkono na kuheshimu yeyote anaebeba ujumbe wa ukweli na haki katika jamii.
Vijan wa leo wa Kitanzania tulishaondoka kwenye kuabudu watu, taasisi n.k
Tunaunga mkono ujumbe sio Mjumbe.
Hata wewe ukihubiri message yeyote inayoangazia kweli na haki katika jamii tutakuunga mkono.
Vyama vitazaliwa na kufa, dini na watu vilevile lakini ujumbe wa haki na kweli utakuwa kama Mtende, utastawi vyema kama mwerezi wa Lebanoni.
This is even biblical
Moja ya jambo la kijinga ila lina ukweli kwa 100% ni kwamba viongozi wa CHADEMA wanamuogopa Mange sana. Hawapo tayari kuchukua hatu muhumu kwa maslai ya chama na Taifa kwasababu wanaogopa wanaharakati hawatakuwa upande wao. Pili,wanachama wa CDM hasa vijana wanamheshimu zaidi Mange na wanaharakati kuliko viongozi wao. Imagine mjumbe wa kamati mkuu anaweza kutukanwa na vijana wa BAVICHA😃 aibu kabisa.


























