Pinned Tweet
Twende mbele Turudi nyumà,, Mahari popote ukiwa unateea haki, kwa hii inchi yetu
Lazima Uitwe TUNDU LISSU
Na inamaanisha kweli aisee
Jossy care🏳 retweeted
WAKENYA hii ishu tunataka iishe salama kwa kutupa ndugu yetu akiwa mzima si vinginevyo.
REPOST 200
#FreeTwahaMwaipaya
Jossy care🏳 retweeted
Picha hii inastahili REPOST 500 kama salamu kwa mwenyekiti wetu TUNDU LISSU kwenye magumu yote anayopitia kuwa tupo nae pamoja.🙏🏾
Jossy care🏳 retweeted
Waliopo Dar es Salaam wamekushuhudia leo mahakamani.
Walio mbali na Dar es Salaam, pamoja na wale walioshindwa kufika mahakamani, wamekuona kupitia TV na mitandao ya kijamii.
Na wasio na uwezo wa kufuatilia huko, wameambiwa tu kuwa leo ulikuwa mahakamani.
Ninachotaka kusema ni kwamba kila wananchi wanapokuona au kusikia hata sauti yako, wanapata furaha, hamasa na matumaini mapya na makubwa.
Mwenyezi Mungu aendelee kukulinda, hasa afya yako iendelee kuwa imara, akupe moyo wa ujasiri na akuondolee hofu ya kukata tamaa.
Mitaa inaimba jina lako comrade🫡
af Faher Kitima akisema hawana Economic forvmcus wanasema anatumia vibaya Madhabahu,,
Et mharifu tumtaje aone aibuu😂😂😂😂🙌🙌
Tunatawaliwa na MIJITU MIPUMBAVU sana.
Sasa huyu yeye anafanya VIBAYA na kila siku tunamtaja anaona AIBU?
Yani mwizi ukimtaja ataona aibu na kesho hataiba. Hizi ni akili au MAVI?
Hili jitu la kizimkazi ni MZIGO sana, hapo linaona limeongea point—na misukule iliyovaa suti inapiga MAKOFI.
133
hakika, Umeenda kishujaa, bila unafki, kama Unazambi zozote najua kama binadam hujakamilika basi
wapewe CCM wauwaji Wa 29otober2025, hatuta kusahau mzee Pumzika kwa Amanii🙏🙏
1
5
178
Jossy care🏳 retweeted
Ndugu jamaa na marafiki.
Tunaomba msaada wenu kwa ndugu yetu Nicodemus Julius Loyore ambaye alipitia janga la kutekwa na kuumizwa sana kwa kupigwa. kutokana na tukio hilo alipoteza kazi na kwa sasa hana chanzo chochote cha kipato.
Pia anahitaji kusafiri mara kwa mara kutoka arusha kwenda dar es salaam kuripoti polisi, jambo linalohitaji gharama za usafiri na matumizi mengine.
Tunaomba support yako kwa hali na mali ili kumsaidia katika kipindi hiki kigumu. mchango wowote, hata mdogo, utakuwa msaada mkubwa sana.
Namba: 0791262588 Voda
Jina: Nicodemus Julius Loyore
Nikija tu Humu X, naona Betting ndio kazi itayo nitoa kimaisha kmmk.
Af nikiweka hela napigwa feza zotee,
Aisee bettingi sio kazi, tutafute kaz zakufanya🙌🙌
Af mbona kama huu mwandiko wako master
⚠️mkanye mwanao kabla hajafunzwa na ulimwengu 🤌🏾
Narudia ,mama mkanye mwanao kuliko kulalamikia viombo vya Dola na Sheria Hapo badae.
Mtoto wako anapoanza kuvunja Sheria unamchekea na unafurahi,subiri Sasa Sheria isimame utaanza kulalamika kwenye radio na TV🤌🏾
Upumbavu Huu ,Sio wakunyamazia ujinga hata kidogo ✅
2026THUBUTU,TUKUFUNZE
62
Sawaa, Tumeingia 2026,, lkn Hatujasahau mwaka 2025 ni wa Majonzi kwetu,
tumepoteza mashujaa wetu otober29 na tumewekewa utawala wa kishetan,,
Mungu Bariki 2026, Tuangamizie mashetani tubakie na taifa la hak na Amani 🙏
1
68
Napenda Kuutangazia umma, Nmeacha rasmi kubeti, Kama Mpira ndivo ulivo!
Hivo Basi Tukutane Dicember 9, Tuoneshane Makali, nan ni nani
I.e Who are You? D9 itajulikana ahsanten🙏
79























