Pinned Tweet
Jizoeshe kuamka mapema hata kama huna mchongo!!kama una jero nenda zako hata kwenye kijiwe Cha kahawa zuga zuga....huenda Kutoka kwako ndiyo kukutana na mchongo wako!!
JICHANGANYE ✍️
Jay-Go retweeted
DREAMS ft FID Q,, hii Ngoma mjadala ulianzia hapa enzi za Twitter ,, Kwa sasa Deni tushalikamilisha!! Ahsanteni ipo kwenye all Digital platforms!
Nukuu hii inasisitiza kwamba,BUSARA ya Mtu yeyote yule,
Haiko kwenye kuzungumza au kukaa kimya pekee, bali kwenye uwezo wa kutambua wakati unaofaa kwa kila jambo🫵
#DarkSideLogic #JayGoThoughts
Talk or be Quiet
Argentina wakifika nusu Fainali tu,basi nina uhakika L-Messi anakwenda kukaa on top of the list 😆Kuna anayebisha?
#MtaonaNionavyo 🫵
Kwenye Boxone ya Mullaobbo, Kuna mstari anasema "Hata washkaji tukikutana,lazima Utani na jokes "
SWALI 👇
Kwani Utani na Jokes,ni vitu viwili tofauti wakuu?🤔
#SiyoKwaUbaya 🫵
Jay-Go retweeted
BAVICHA hatujaja kufanya siasa za mazoea — tumekuja na moto mpya, mbinu mpya na nguvu mpya
Vijana wa Tanzania sahani imeshaandaliwa sasa ni muda wa kula matokeo ya maandalizi makubwa yaliyofanywa kwa weledi na uthubutu
Hongera sana @AdvMahinyila, @FeliusFesto na Kamati Tendaji yote ya BAVICHA taifa
The movement is alive again. We are so BACK ✌️
Jay-Go retweeted
MAHAKAMA KUU YA TANZANIA YAIZUIA OFISI YA MSAJILI WA VYAMA VYA SIASA KUISIMAMISHA CHADEMA AU KUITOZA FAINI
Katika hoja zilizowasilishwa Mahakamani, Mawakili wa CHADEMA walidai kuwa Msajili tayari ameonyesha msimamo dhidi ya chama hicho kabla hata hakijajibu barua ya tuhuma
Mahakama ilinukuu hoja hiyo ikisema
“the Registrar has already formed a decision to ban CHADEMA’s political activities by suspension of its registration or take punitive measure irrespective of the defence CHADEMA would advance.”
Pia Mawakili walieleza kuwa mchakato huo unaonesha ukosefu wa haki kwa sababu Msajili ndiye mlalamikaji, shahidi na wakati huohuo ndiye anayepaswa kutoa uamuzi
Mahakama ilinukuu hoja hiyo kwa kusema
“the Registrar is the complainant, the intended witness and the judge of his own cause…”
Baada ya kupitia hoja hizo, Mahakama Kuu iliona kuna hoja zinazostahili kusikilizwa na kuamua kutoa zuio la muda dhidi ya Msajili. Katika uamuzi wake Mahakama ilisema
“An interim order prohibiting the first respondent from taking any adverse action against CHADEMA… is granted.”
Hivyo kwa sasa Msajili amezuiwa kuchukua hatua yoyote dhidi ya CHADEMA ikiwemo kukisimamisha au kukitoza faini hadi shauri hilo litakaposikilizwa na kuamuliwa kikamilifu













