Kufikiria kwamba CCM wanahitaji maridhiano ni kujidanganya, CCM wanahitaji picha katika meza ya maridhiano zitumike kuadaa jumuiya za kimataifa.
Felius Festo retweeted
TAARIFA KWA UMMA.
@ChademaTZ2 @HecheJohn @AdvMahinyila @NectoKitiga @duahamud @RevlineMbugi @FeliusFesto
Mungu akupiganie na kukulinda kaka upatikane ukiwa mzima.
#FreeTwahaMwaipaya
Felius Festo retweeted
Tundu Lissu was charged with (politically motivated) Treason after calling for electoral reform.
The sentence for Treason in Tanzania is nothing else other than DEATH.
The world is waiting for November 06
Thanks Hon Pam Cox for raising this matter in the House Of Commons
Felius Festo retweeted
“Mauaji ya 29 Oktoba 2025 ni makubwa na yakutisha kuliko mauaji ya Sharpeville ya Afrika ya kusini ya 21 Machi 1960 kipindi cha ubaguzi wa rangi”
#UkweliHakiUwajibikaji
#FreeTwahaMwaipaya
#FreeCollethaNtidyicha
Felius Festo retweeted
Mwaka mmoja baada ya matukio ya Oktoba 29, 2025, maumivu ya waathirika bado hayajaisha na haki haijapatikana.
Tunasimama pamoja na familia za wahanga kudai ukweli, uwajibikaji wa Sheria , na haki thabiti kwa wote.
Kurejea kwa shughuli na maisha kama kawaida haimaniishi kuwa kila kitu kiko sawa.
#Oktoba29 #UtawalaWaSheria #HakiNaUwajibikaji #HakiZaBinadamu #TanzaniaMassacre
Felius Festo retweeted
Leo umetimia mwaka mmoja tangu mauaji yaliyofanywa kwa makusudi na vyombo vya dola vya Tanzania dhidi ya Watanzania wasio na hatia.
Mauaji ya October 2025 yalikua yanaweza kuepukika na uchaguzi ukafanyika kwa amani na usalama.
Kwasababu ya kiburi na uchu wa madaraka watawala waliamua kupuuza wito wa mda mrefu wa viongozi wa dini, vyama vya siasa, mashirika yasiyo ya kiserikali na hata watu maarufu ya kutaka mabadiliko ya katiba na sheria za uchaguzi ili kuwezesha uchaguzi huru na haki.
Mpaka sasa mwaka mmoja baadae Nchi iko kwenye mkwamo mkubwa wa kisiasa, watu wanaendelea kutekwa, kuuawawa na kupotezwa.
Kila anaetoa sauti ya kukemea uovu na kutaka maridhiano na uwajibikaji wa kweli anakabiliwa na kifo au mashitaka ya uongo.
Inaonekana hawa watawala wameshindwa kujifunza kwa yale mabaya yaliyotokea, Inaonekana wanafurahia kuendeleza utawala wa mkono wa chuma, udikteta na ubabe, mauaji, utekaji na kunyamazisha badala ya kushawishi na kutatua matatizo.
Kwa kutumia njia hizi mbele ni giza tupu, hakuna sehemu ambayo utawala wa kibabe Umefanikiwa kunyamazisha watu wote, Nchi hii ina watu zaidi ya milioni 70, hakuna siku watu wote hawa watanyamazishwa kwa uongo na kikundi kidogo cha watu kwa kutumia ubabe.
Njia pekee ya kutatua mkwamo huu ni.
1. Kumuachia Mwenyekiti Lissu na kufuta kesi za uongo dhidi ya wanachama wetu wote.
2. Kuachia mateka wote na kusitisha utekaji na mauaji ya kiholela.
3. Kuruhusu msuluhishi huru (mediator) kuleta watu pamoja na kuzungumza kwa ukweli na uwazi.
4.Uwajibikaji bila upendeleo kwa wahusika wa mauaji, kulipa fidia familia za wahanga, kutibu majeruhi wote na kuwapa fidia.
5. Kuruhusu Uchunguzi huru na kuomba radhi mbele ya Watanzania kwa makosa makubwa yaliyofanywa na vyombo vya dola dhidi ya raia wake.
6. Kuandika katiba mpya ya Nchi na sheria za uchaguzi ambazo zitarudisha umoja na haki kwa kila mtu.
7. Kutamka kwa uwazi kwamba makosa kama yale hayatajirudia tena kwenye Nchi yetu.
8. Kuhakikisha familia zinapata miili ya wapendwa wao na kufanya maziko ya heshima, kiafrika na kidini.
Kuendelea kutumia ubabe ni kuchochea chuki, uhasama na visasi kwa siku zinajazo…
Watawala badala ya kutumia chawa na ubabe kujaribu kuhujumu Chadema na uongozi wa Chadema, Tumia busara kufanya jambo sahihi la kuponya Nchi hii.
Tunajua mipango yenu dhidi yetu, lakini haki haijawahi kushindwa.
Endeleeni kupumzika kwa amani wote mliouwawa kikatili na kibabe, poleni majeruhi na wahanga wote.
Haki inaweza kuchelewa Lakini haki itapatikana tu.
Felius Festo retweeted
Today, the U.S. Embassy community joined me to honor the memory of all those who lost their lives in the violence surrounding Tanzania’s October 2025 general elections. We remember them, and the families who still grieve and seek answers. As I said to the U.S. Senate during my confirmation hearing, this will not be swept under the rug.
Kuwajibika......
Kuwajibishwa....
Kulazimishwa kuwajibika.....
Endeleeni kupumzika kwa amani wapendwa wetu 😭😭.
Kuteka na kupoteza vijana wa Tanzania siyo jawabu la changamoto za nchi yetu. Tathimini yenu ilipaswa kuwaonesha tangu mlipoanza utekaji je Watanzania wamewapenda? Wameacha kuwakosoa? Wamekubaliana na maovu yenu? Majibu ni hapana. Acheni utekaji Muachieni Twaha Mwaipaya.
Nani atafuata kesho? Hadi wachukuliwe watu wangapi? Zile hasira za Umma kuitaka CHADEMA ikae katika misingi yake ziko wapi katika kuilinda CHADEMA na watu wake?
Kwa njia yeyote ile
Kwa njia yeyote ile
Kwa njia yeyote ile.
Inatosha. Hakuna zawadi inayoshinda uhai.
Felius Festo retweeted
Dear #Kenyans, we earnestly appeal to you to join and amplify the #WhereIsTwahaMwaipaya campaign. Our Tanzanian brother, Twaha Mwaipaya, was abducted on Kenyan soil.
Please, #KOT, stand with us in demanding his safe return, well-being, and justice. We need voices from both sides to speak out loudly!
HELP! #FreeTwahaMwaipaya
Cc; @edwinsifuna @HEBabuOwino @GeorgeNatembeya @RobertAlai @MarthaKarua @OleItumbi @DrBKhalwale @MarthaKarua @bonifacemwangi
Felius Festo retweeted
Twaha Mwaipaya, a Tanzanian national, was reportedly abducted at around 2pm today in Kamulu, Machakos County, by individuals travelling in three vehicles, including a Toyota Land Cruiser hardtop.
He was travelling by taxi to visit friends. Anyone with information on his whereabouts is urged to reach out immediately. Authorities must urgently establish his whereabouts and ensure his safety.
Please share widely. #FreeTwahaMwaipaya
Felius Festo retweeted
Kutoka DM
Habari madam, samahani naomba unipostie hili kwa watu X nipate msaada. Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 27 Nina pambana changamoto ya colon cancer nilifanyiwa operation wa mwezi kumi mwaka Jana na nikabadilishiwa njia ya haja kubwa now natumia mifuko pembeni ya tumbo inaitwa Colostomy bag, naomba mni support niweze kumudu gharama za matibabu pamoja na hiyo mifuko kwa sababu hali imekuwa ngumu kwa sasa nashindwa kumudu gharama hizo.
Kwa sasa nahitaji sana msaada Naomba kuwezeshwa niweze kumudu gharama za matibabu, mpaka sasa nimefanya mizunguko mitano ya chemotherapy na sijahudhuria clinic miezi minne sasa kutokana na changamoto ya kifedha. Hospital wamenambia itabidi nianze mizunguko upya kutokana nilipitisha mda mrefu bila Dawa. Naombeni support yenu chochote mtakachojaaliwa niweze ku pambania afya yangu.
Na pia naomba msamaha kama nitaleta taharuki yoyote maana nimewatumia ujumbe huu watu kadhaa Dm wanisaidie kupost hivyo na wewe ni miongoni mwao dada samahani kama nitasababisha taharuki ni matatizo tu ndy maana nimewatumia watu tofauti tofauti naona kimya ndy maana natapatapa.
Namba yangu: 0786 594 753 kwa mawasiliano zaidi ili iweze kuifahamu vizuri hali yangu na Kuni support ahsante.
Felius Festo retweeted
Mara hii @tanpol tunawahakikishia haitakuwa rahisi na hili halitapita hivi kama mnavyofikiri,endeleeni kujidanganya halitakuwa jepesi kama mnavyofikiria.
Leo ni siku ya saba @tanpol hawajasema ni kituo gani wanamshikilia Colletha na sababu zipi za kumshikilia. Tumezunguka kila kituo hakuna ushirikiano wowote. Polisi acheni kucheza na uhai wa vijana wenzetu, hatuko tayari kuruhusu kijana mwingine apotee mikononi kwenu.
Felius Festo retweeted
Inashangaza na kusikitisha kuona jinsi mlivyojaa unafiki wa kiwango cha juu. Leo hii, kaka @ComradeKawaida wewe wa kujilizaliza baada ya Waziri wa Serikali yenu wenyewe kuwalipua waziwazi kuwa UVCCM mmejaa wizi na rushwa!
Huu ni ushahidi wa wazi kuwa chama chenu kimeoza kuanzia ndani. Badala ya kutumia nguvu zenu zote kujisafisha na uozo wa wizi na rushwa unaowala, mnahangaika kupoteza vijana innocent wanaopigania haki za Watanzania!!!
Alichowakosea Waziri wenu ni kuwachambua nyie peke yenu miongoni mwa kundi zima lililooza,alipaswa kuchukua taasisi nzima ya CCM hivyo msituletee taharuki hapa,achieni vijana wenzetu mnaowapoteza kama mlivyoahidi kupitia Katibu Mkuu UVCCM na mnatekeleza hilo,na ukimya wenu unatuthibitishia kabisa kuwa ndo kazi yenu.
Mliwahi kutuambia bila woga wala haya kuwa Jeshi la Polisi ni mali ya CCM. Kama kweli polisi ni mali yenu na mnawamrisha mtakavyo, tunawapa maagizo haya mafupi na yaliyo wazi: Shirikianeni na hiyo "mali yenu" (Jeshi la Polisi) mara moja na kuhakikisha vijana wetu wote waliotekwa na kupotezwa wanarudishwa wakiwa salama na wenye afya tele,acheni kucheza na haki za watu tutafika pabaya.
Mapokezi ya Makamu Mwenyekiti wa @ChademaTZ2 Mheshimiwa @HecheJohn Moshi mjini. Moto unaendelea kupelekwa


































