Revline Albert Mbugi. retweeted
TAARIFA KWA UMMA.
@ChademaTZ2 @HecheJohn @AdvMahinyila @NectoKitiga @duahamud @RevlineMbugi @FeliusFesto
Revline Albert Mbugi. retweeted
“Mauaji ya 29 Oktoba 2025 ni makubwa na yakutisha kuliko mauaji ya Sharpeville ya Afrika ya kusini ya 21 Machi 1960 kipindi cha ubaguzi wa rangi”
#UkweliHakiUwajibikaji
#FreeTwahaMwaipaya
#FreeCollethaNtidyicha
Revline Albert Mbugi. retweeted
Ndugu yangu Twaha Mwaipaya BADO hatujampata.
Tuendelee kuweka #FreeTwahaMwaipaya au kurepost bila kuchoka kama ambavyo alikuwa mtu asiechoka juu ya kupambania nchi yake.
#FreeTwahaMwaipaya
REPOST 200
Revline Albert Mbugi. retweeted
Tafsiri halisi ya chaso chanzo cha fikra bora, vijana wanawaza kwa kuufikirisha ubongo. Sio kama yule anayeongea kama amekatwa kichwa. Hii ndio tofauti yetu sisi na wao.
Revline Albert Mbugi. retweeted
Jeshi la polisi @tanpol nawambia kwa mara nyingine acheni kucheza na amani ya Nchi,narudia tena acheni kucheza na amani ya Nchi hii.Kila kituo tunachokwenda hayupo na waliomkamata ni polisi ina maana kuna polisi ngapi nchi hii.Kwa sababu kiburi chenu ni kikubwa endeleeni kuziba masikio,jueni hamna risasi za kuua watanzania wote.
Tangu Tarehe 14/10 mpaka leo @tanpol hamjasema alipo Mwenyekiti wa BAVICHA MKoa wa Kigoma.
Jeshi la Police @tanpol Yuko wapi Mwenyekiti wa BAVICHA MKoa wa Kigoma Coletha Ntinditya?
Revline Albert Mbugi. retweeted
Revline Albert Mbugi. retweeted
PUBLIC STATEMENT
@IPUparliament
Revline Albert Mbugi. retweeted
Lissu: Jana, "Mkiona Uhaini umethibitishwa msiogope kuninyonga."
Katuga: Leo anasema "sio Lazima hata mkimkuta na hatia mumnyonge. Adhabu ni kuanzia 0 hadi kifungo cha kunyongwa hadi kufa."
NB: Jamhuri wanaogopa kumnyonga Muhaini wao. Tulishtuka kitambo nia ni nini? UENYEKITI.
Nikiwa na Mwenyekiti wangu wa Kanda ya Nyasa Mhe.@TheRealJongwe .
#FreeTunduLissu
"Tujiandae Kazi iliyopo mbele ni kubwa "
Neno la Leo la Mwenyekiti baada ya mawakili wa Serikali kumaliza kutoa majumuisho yao.
Majaji wamepanga Tarehe ya hukumu ambayo ni Tarehe 6/11/2026.
#FreeTundulissu
Mapema leo kwenye Warsha ya Viongozi Edwin Mtei House Mikocheni.
#FreeLissu
#KijanaNaKatiba
Revline Albert Mbugi. retweeted
Happy birthday Naiku Katibu Mkuu BAVICHA Bara, kamanda @RevlineMbugi ishi sana ukiendeleza mapambano na kuilinda imani.
































