Ntele B H (@ntele_bh) header
Ntele B H (@ntele_bh) profile picture

Secretary, CHADEMA Coast Zone ( DSM & Pwani ) | Power to the people | UDSM Alumni | Chelsea fan

Dar es Salaam, Tanzania
Joined February 2018
Photo by Ntele B H (@ntele_bh)Photo by Ntele B H (@ntele_bh)Photo by Ntele B H (@ntele_bh)Photo by Ntele B H (@ntele_bh)Photo by Ntele B H (@ntele_bh)Photo by Ntele B H (@ntele_bh)Photo by Ntele B H (@ntele_bh)Photo by Ntele B H (@ntele_bh)
Tukutane Kesho mapema Mahakama kuu Tanzania Masijala ndogo ya Dar es Salaam. #NOCASETOANSWER #LisuSioMhaini
4
27
59
1,360
On August 12, I had the privilege of representing @ChademaTZ2 Zonal Secretaries and speaking to young people on the commemoration of International Youth Day.
2
7
24
550
Katibu wa Kanda ya Pwani Benjamin Ntele @ntele_bh akizungumza na Vijana kwenye Maadhimisho ya Siku Vijana Duniani yaliyoandaliwa na @bavicha_taifa
2
33
199
9,167
Tukutane mapema kesho Mahakama Kuu. Usipange kukosa!
22
58
2,151
Ntele B H retweeted
Kikao cha USAILI Wa uchaguzi wa CHASO Mkoa wa Kilimanjaro unafanyika leo tarehe 18/07/2026 Chini ya usimamizi wa katibu wa baraza la vijana kanda ya Kasikazin Mh Beda Francis Uchaguzi utafanyika Kesho jumapili tarehe 19/07/2026 saa nane kamili mchana katika Ofisi za chama Mkoa
5
20
1,664
Pwani Chama Kipo Salama Sana
15
45
603
Ni leo tarehe 17/07/2026 Kikao na waandishi wa habari Muda: Saa 7:00 Mchana
1
17
107
2,231
Leo saa Saba mchana Kanda ya tutazungumza na waandishi wa Habari Stay tuned.
11
35
637
Mzee Pichani amejitambulisha Kama Shaban Ally Mchezo Mkt Jimbo la Kibaha Vijijini Ukweli ni kwamba mzee huyo anaitwa Mohamed Ngozi Mwanachama wa NCCR Mageuzi na mgombea udiwani 2025 Madalali wameshindwa kuingia Pwani wanatafuta Viongozi wa kuchovya. Tutachukua hatua zaidi.
28
64
5
182
10,221
BAVICHA Kanda ya Pwani imekanusha taarifa zilizotolewa na mtu aliyejitambulisha kuwa Katibu wa BAVICHA Mkoa wa Pwani, ikisema mtu huyo si kiongozi wa Baraza na hana mamlaka ya kuzungumza kwa niaba ya Baraza la Vijana CHADEMA. Tayari Baraza la Vijana Kanda ya Pwani limeanza mchakato wa kuchukua hatua za kisheria dhidi ya mtu huyo kutumia utambulisho wa kiongozi halali wa chama. Akizungumza na waandishi wa habari, Katibu wa BAVICHA Kanda ya Pwani, Raphael Magowa, alisema Katibu halali wa BAVICHA Mkoa wa Pwani ni Issa Ramadhani Mwaja, aliyechaguliwa Agosti 2024, na kwamba hakujawahi kufanyika mabadiliko yoyote ya uongozi katika nafasi hiyo. #SikuYaVijanaDuniani #FreeTunduLissu #KijananaKatiba #TukutaneDodoma
4
61
176
4,395
Huyu sio Katibu wa BAVICHA Mkoa wa Pwani kama alivyojitambulisha, pia sio Kiongozi kwenye ngazi yoyote, sio Mwanachama wa Chadema na hatumfahamu. Huu ni uhuni wa watu walioishiwa mbinu na maarifa. John Nguti. Mwenyekiti BAVICHA. Kanda ya Pwani.
72
139
8
540
28,674
TAARIFA KWA UMMA KUHUSU KUSHIKILIWA KWA WANACHAMA WA CHADEMA KATIKA KITUO CHA POLISI CHANG’OMBE
4
48
2
176
4,185
Taarifa kwa Umma
1
38
116
3,346
Kwa kuwa Jukumu la Serikali ni kuhakikisha ustawi wa wananchi wake,Hasara kwa wananchi ni kushindwa kwa serikali. Shtuka
Mjinga pekee ndiye anayeamini kuwa serikali hupata hasara shughuli zisipofanyika. Ukweli ni kwamba hasara kubwa huwapata wananchi, si serikali. Wananchi ndio hukosa kipato, fursa, na huduma zinazotegemea shughuli hizo.
1
7
644
Ni Kiongozi, Kaka, na Rafiki Mwema sana Kwangu, Nakutakia Kheri na Maisha Marefu @ntele_bh
2
12
110
1,526
Happy Birthday Askari Mpiganaji @ntele_bh To many more years of happiness and laughter
2
5
28
864
*CHADEMA *CHADEMA KANDA YA PWANI* Jana Jumamosi Juni 27 Katibu Chadema Kanda ya Pwani Ndg Ntele Benjamin, ameendelea na Ziara ya Ukaguzi wa uhai wa Chama Mkoa wa Kinondoni. Katika Ziara hiyo ameambatana na Wajumbe wa Secretariat ya Kanda #FreeLissu #KatibaMpya
35
187
4,166
📍Moshi- Tanzania
10
22
1
306
5,401